Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

Aafu you tumbili, you joined JF less than a year ago, unajibu watu easily bila kujua lolote, wewee ni pumbaf, shithole kabisa
sasa join since 2010 na huna content, your only good to reply with useless point, while tone, rhythm and styles of your articles tells everything about the block you belong 🐒

Punguza mihemko, weka data, unaogopa hadi tumbili 🤣
 
Watanzania wanapenda sana kusikia vitu hasi hili litawauma sana
yafaa kubadilika, na kwakweli kuwa positive hata katika masuala ambayo ni negative. Na kwa kufanya hivyo tunaweza kuyaendea au kuyatafutia ufumbuzi masuala mengi sana na kupata Suluhu mujarabu sana za kudumu na tusonge mbele pamoja 🐒

hii ya kua very active na very good to reply without understanding itatuchelewesha sana 🐒
 
Upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu mtupu.
Ni hatari sana Taifa linapokuwa linapita kwenye hali ngumu ya uchumi halafu anakuja MPUMBAVU mmoja aliyevimbiwa anaanza kuwadanganya watu kiasi hicho.

Wakati wa JPM uchumi ulipanda mpaka tukafika uchumi wa kati, alipotutoka tu JPM, uchumi ulishuka ghafla.
 
Nadhani ungejitolea kutoa hii shule mkuu
 
Upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu mtupu.
Ni hatari sana Taifa linapokuwa linapita kwenye hali ngumu ya uchumi halafu anakuja MPUMBAVU mmoja aliyevimbiwa anaanza kuwadanganya watu kiasi hicho.

Wakati wa JPM uchumi ulipanda mpaka tukafika uchumi wa kati, alipotutoka tu JPM, uchumi ulishuka ghafla.
Sasa huu ni wakati wa JPM?
 
Ungeleta takwimu na wewe sio maneno maneno haya.

1. Huna takwimu hapa zaidi ya u chawa pro max kwenye ubora wako.

2. Hata kina Mandela, Nyerere achilia mbali kina Obama, Xi, Putin na wote hakuna popote wananasibiwa kwa maoato yoyote ya umma kama nguvu zao.

3. U chawa chawa huu si mngedanyana na kina konda boy Lumumba huko?

4. Nisiache kukwambia habari uchwara hizi hayupo wa kumdanganya nazo.

Habari yenyewe ndiyo hiyo ndugu.
 
1. Huna takwimu hapa zaidi ya u chawa pro max kwenye ubora wako.

2. Hata kina Mandela, Nyerere achilia mbali kina Obama, Xi, Putin na wote hakuna popote wananasibiwa kwa maoato yoyote ya umma kama nguvu zao.

3. U chawa chawa huu si mngedanyana na kina konda boy Lumumba huko?

4. Nisiache kukwambia habari uchwara hizi hayupo wa kundanganya nazo.

Habari yenyewe ndiyo hiyo ndugu.
Piga kazi mkuu
 
Sifia sifia gengi!
Ila anasifia huku anamrija anafyonza mahela!!
Sasa malofa yanayosifu huku hayana mia saana wakezao wanachukuliwa na wenyemrija nimalooofa kwelikweli.
 
Back
Top Bottom