Haya ndo maneno sasa....
BHT sio kwamba ndoa ni utumwa bana
Ndoa ni raha iwapo kila mmoja wenu ndani ya mahusiano ana raha na amani. Ndoa ni raha kama kila mmoja anaridhika na mwenzake na kufurahia uwepo wa mwenzake ndani ya nyumba na sio mmoja amenuna na mmoja ana raha na mnaaita ndoa.Ndoa ni raha ya pande zote mbili kusikilizana na kushauriana na kuheshjimiana na kupendana wote na sio utumwa na ubwana