Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Nitatoka kuvuta bangi zangu na nitaingia na kiapo ambacho dunia nzima haijawahi kukisikiaBora tuu waendelee na kile kilichopo bana maana wengine siku hiyo ukiambiwa utengeneze kiapo sauti inaweza kugoma kutoka
Hivi kiapo si kinafanywa ukiwa na akili timamu?Daah mpaka hapo utakuwa huna sifa ya kujiapiza kujiunga na hiyo taasisi, maana akili yako itakuwa si timamu kwa muda!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hivi Mbu mume aki-cheat, Je hajamtii mkewe au hajamuheshimu???

Mume? ...atakuwa hajamheshimu mkewe, na ni ishara kwamba amepungukiwa na mapenzi kwa mkewe.

Kwani Mbu nikitoka kupata konyagi na nikaingia kanisani na kuyatamka yale maneno nitakuwa siko kwenye akili timamu
tired-groom-funny-photo.jpg

...kama kuendesha gari vile, hiyo itakuwa Void!...under influence maaazee,..khaaa?
yaani unaingia nyumba ya ibada 'ushapendeza?'...

Imagine hizo vows zitavyotamkwa! he hehe...
 
Hivi kiapo si kinafanywa ukiwa na akili timamu?Daah mpaka hapo utakuwa huna sifa ya kujiapiza kujiunga na hiyo taasisi, maana akili yako itakuwa si timamu kwa muda!

How will they know that mimi nimelivuta natamka kile ambacho nataka mimi kifanyike bana
Si ni ndoa yangu sasa kwa nini wao waniingilie wakati nimepewa uhuru wa kusema na kutengeneza kiapo changu
 
Mume? ...atakuwa hajamheshimu mkewe, na ni ishara kwamba amepungukiwa na mapenzi kwa mkewe.

tired-groom-funny-photo.jpg

...kama kuendesha gari vile, hiyo itakuwa Void!...under influence maaazee,..khaaa?
yaani unaingia nyumba ya ibada 'ushapendeza?'...

Imagine hizo vows zitavyotamkwa! he hehe...

Hahahahaha Mbu balaa yaani jamaa yuko bwi na anatakiw akutamka kiapo
 
Mume? ...atakuwa hajamheshimu mkewe, na ni ishara kwamba amepungukiwa na mapenzi kwa mkewe.

tired-groom-funny-photo.jpg

...kama kuendesha gari vile, hiyo itakuwa Void!...under influence maaazee,..khaaa?
yaani unaingia nyumba ya ibada 'ushapendeza?'...

Imagine hizo vows zitavyotamkwa! he hehe...
Mbu huyo bibie hicho kikombe alichoshika kuna kahawa humo?? Usije kukuta nae ni wale wale kumbe kikombe kina GIN na TONIC au kuna TEQUILA ndani lol
 
Nitatoka kuvuta bangi zangu na nitaingia na kiapo ambacho dunia nzima haijawahi kukisikia
Bora tuu waendelee na kile kilichopo bana maana wengine siku hiyo ukiambiwa utengeneze kiapo sauti inaweza kugoma kutoka
Mkuu si amesema na akili timamu
Napata konyagi kuondoa aibu naingia kanisani na natoa kiapo je hapo nitakuwa kweli na akili timamu au vipi

...lol....utakuwa umeondoa aibu kwa hao ndugu, jamaa na marafiki...lakini kwa Bwana Mkubwa aliye Mbinguni ina maana kiapo chako hakijaswihi...!

Mbu jibu sasa....

....mwee!? ...leo ntaota mie!
 
Mume? ...atakuwa hajamheshimu mkewe, na ni ishara kwamba amepungukiwa na mapenzi kwa mkewe.

tired-groom-funny-photo.jpg

...kama kuendesha gari vile, hiyo itakuwa Void!...under influence maaazee,..khaaa?
yaani unaingia nyumba ya ibada 'ushapendeza?'...

Imagine hizo vows zitavyotamkwa! he hehe...
Mbu pia angalia macho ya huyo bi harusi inaonekana pombe imeishamkolea ila bado ufahamu upo sio kama huyo mwenzake hapo lol
 
...lol....utakuwa umeondoa aibu kwa hao ndugu, jamaa na marafiki...lakini kwa Bwana Mkubwa aliye Mbinguni ina maana kiapo chako hakijaswihi...!

Hivi Bwana Mkubwa si kakataza kuapa sasa kwa nini tunajitengenezea vyetu hapo
Itabidi tuanzishe mjadala wa kufuta viapo bana tuingie tuu kwenye mkataba kimya kimya tusome terms and conditions then tunasign cheti

Kweli sina mchango hapa... ila hata mdiscuss page mia.... iwepo post mkieleza concl....

Natanguliza Shukrani...
 
Ashadii bado comments zinaendelea tunataka tupate mawazo mbadala kabisa

Ila karibu nimekumiss mbaya toka asubuhi sijakutia (mhhhhh sijui ni tusi) machoni

Leo kazi ilinibana mno, nikaona nitachemka... hata hivyo... mmmh! Naona mmefanya kazi nzuri,
na mmekazana kujirudia bila nyie kutambua... naona ni hali ya kutafuta conclusion... tena
toka saaaana kwa wakaka... maana sie ni wazi kua majibu yetu yafanana....

Weee PA unakimbia kwenda wapi hebu lete conclusion

PA... sina hamu... siyawezi jinsi mlivyokimbia... yaonesha kweli imegusa.... Bravo for an insight thread..
 
Leo kazi ilinibana mno, nikaona nitachemka... hata hivyo... mmmh! Naona mmefanya kazi nzuri,
na mmekazana kujirudia bila nyie kutambua... naona ni hali ya kutafuta conclusion... tena
toka saaaana kwa wakaka... maana sie ni wazi kua majibu yetu yafanana....

yeah ila tunahitaji tupate wa kutupa conclusion maana tumeenda sana
Pole sana kwa kazi
 
Thanks TF kwa kwa mistari ya bible,Lakini hii bible mpaka uisome na kuelewa kwa msaada mungu .
Ngoja nifunge 2 days nipate maono kisha nije nichangie sredi yako
 
mwanzo.2:24 inasema, "kwahiyo mwanamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja" ukiangalia (zaburi.45:10-11) anasema, "sikia binti utazame utege sikio lako, uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako na mfalme atautamani uzuri wako, maana ndiye bwana wako naye umsujudie".

Watu wengi wanataka waingie kwenye ndoa waoe au waolewe lakini uhusiano wao na wazazi wao usibadilike, haiwezekani. Biblia imeweka wazi unataka kuoa, mwanaume lazima aachane kwanza na baba yake na mama yake, maana yake kuna mabadiliko. Kuna mabadiliko mahali pa kuishi, kuna mabadiliko juu ya mtazamo wako wa kwanza wa maisha yako. Mke wako hawezi kuwa mama yako na mume wako hawezi kuwa baba yako.

Na kabla haujafikia maamuzi ya namna hiyo, ukiingia kwenye ndoa, ndoa yako itakuwa ngumu maana inawezekana unaishi vizuri na wazazi wako, kiasi kwamba maamuzi yote unayoyafanya lazima ushirikiane nao, hiyo hatua nzuri lakini ukiishaingia kwenye ndoa mtu wa kwanza kushirikiana nae ni mume wako kama umeolewa na mke wako
kama umeoa, na wazazi wengine wasingetaka kuona kwamba unakuwa mbali nao kwa jinsi hii, watataka waendeleze maamuzi yao na utawala wao waliokuwa nao juu yako mpaka kwenye ndoa yako haiwezekani.

Unapoamua kuolewa wa kwanza sio baba yako au mama yako, wa kwanza ni mume wako, ikiwa haujafikia uamuzi wa namna hii moyoni mwako basi basi bado haujafikia utayari wa kuolewa. Na ina madhara yake magumu, biblia inasema kabla haujawasahau watu wako na watu wa nyumba ya baba yako, mume wako hawezi kuutamani uzuri wako, ukitaka autamani uzuri wako lazima uwasahau kwanza watu wa nyumbani kwa wazazi wako.

nawatakia kila la heri wale wanaotarajia kuolewa na kuoa wikiendi hii mungu awabariki katika ndoa zenu.

tf.

asante kwa ujumbe mzuri sana .
 
Back
Top Bottom