Kabla ya ndoa ujifunze lipi

NN usicheke bana nashindwa kuelewa kabisa, eti mnapendana na kuheshimiana halafu mmoja anataka kuwa boss wa mwenzie

hivi mkisha heshimiana na kuelewana kuna haja ya mmoja wenu awe juu

Kate, haya nafuta kicheko changu. Mimi na wewe tuko kwenye jahazi moja kabisa. Sijui kama wewe ni mcha mungu kivile lakini mimi si mnazi wa dini kwa sababu bado nina maswali yangu ya msingi ambayo sijayapatia majibu ya kuniridhisha ili nami niwe muumini.

Hizi dini zina mikanganyiko mingi sana. Na hizi hizi dini zimetumika na watu wengi tu kuwakandamiza watu wengine - hususan hizi dini tulizoletewa na wageni.

Hivyo basi, pindi upatapo mwenzako (kama hunae tayari) ni vema kutokuzitumia sana kama msingi au mwongozo wa uhusiano wenu manake mwisho wa siku wewe utakuwa chini tu kama mtumwa. Ni bora zaidi kutumia busara na hekima za kawaida kuwa ndo mwongozo wa uhusiano wenu.

Na kama wewe ni mkristo basi jaribu kwa kadri ya uwezo wako kuzifuata zile "amri" kumi. Ukiweza kufuata walau sita kati ya hizo kumi basi utaishi maisha mazuri tu.
 
lol,...hapo sasa mimi sitaki kufuru...Mchungaji The Finest ataliweka sawa hili na kwa wanandoa wote walioamua wenyewe kwa akili zao timaamu kabisa kujifunga kufuli la maisha wikiendi hii!
Mbu siku moja ukihudhuria harusi hasa kanisani wanapofunga ndoa angalia wakati wa viapo jinsi wanandoa wanavyokuwa wanatamka wengine wanakuwa kama vile wamelazimishwa lol

TF kapekue pekue bana unaweza kuja na version nyingine ambayo inaondoa huu ubwana na utwana
Hahaha!!! Nikiipata basi mambo mengi yatakuwa yamebadilika
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mwanajamiione kuna nidhamu ya woga yaani ni kama ile ya wewe na boss wako yaani akiwepo unajifanya mfanyakazi bora kweli ila akiondoka duh unarudi kuwa wa kawaida
Sasa hiyo ni nidhamu ya woga. Na kwa mwanamke anaweza kuwa anakuonyesha ana upendo wa hali ya juu kwako anakutii na kukuheshimu ila kumbe hakuna kitu ukigeuza mgongo anakuzomea

...lahaula!....ukiona mke/mume anajifanyia mambo yake (including cheating...) kwakuwa mwenza wake hayupo, maana yake hana heshima kwa mwenziwe huyo. Heshima ina fall kwenye daraja la utiifu - (mke) na Upendo (mme) kama maandiko yanavyotuambia....ppphhheeeewww, bht akinibishia na hapa wallahi 'nitamuona' haambiliki!

...
Sasa huoni hapo inaweza ikawemo nidhamu ya woga yaani anakuwa kama mwanafunzi na mwalimu. Huwezi sema pale kuna nidhamu ila nidhamu ya woga wa kuadhibiwa. Na ndoa haitakiwi kuwa hivyo mkuu
 
Mbu siku moja ukihudhuria harusi hasa kanisani wanapofunga ndoa angalia wakati wa viapo jinsi wanandoa wanavyokuwa wanatamka wengine wanakuwa kama vile wamelazimishwa lol Hahaha!!! Nikiipata basi mambo mengi yatakuwa yamebadilika
Lol....vile viapo si siyo vyao! Wanaigilizia tu maneno yalowekwa na wengine.....(sijakufuru hapa Mbu tafadhali sana)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu siku moja ukihudhuria harusi hasa kanisani wanapofunga ndoa angalia wakati wa viapo jinsi wanandoa wanavyokuwa wanatamka wengine wanakuwa kama vile wamelazimishwa lol

Hahaha!!! Nikiipata basi mambo mengi yatakuwa yamebadilika

TF sidhani kama ni kulazimisha.
Huwa kuna excitement fulani unaipata ambayo hushindwa kujua inatoka wapi. japo mnakuwa mmejuana na huyo mtarajiwa wako kwa muda mrefu sana na mmeshafanya kila kitu ila ile siku ni balaa. So kiapo kile kinatoka kwa watu ambao hawajiamini na hawaaamini kama itatimia. Hapo inawezekana bwana harusi anawaza ukumbi haujamalizwa kulipwa au madeni anayokumbana nayo akitoka honeymoon huku Bi harusi akiwaza ndo anajifunga kimoja na wale vidumu wa pembeni wote hawana nafasi tena na mengine mengi
So sio woga ni hali ambayo humkumba kila mtu wakati anatoa kiapo
Na shuhudia kama ni ndani ya Kanisa au Msikiti kunakuwa kimya hata sauti za ndege zinatoweka wakati unatoa kile kiapo " Mimi TF naapa mbele ya usharika na mbele ya Mungu na mbele ya kanisa hili..... mpaka kifo kinitenganishe" ni noma mkuu
 
Lol....vile viapo si siyo vyao! Wanaigilizia tu maneno yalowekwa na wengine.....(sijakufuru hapa Mbu tafadhali sana)

BHT sasa hapo si unashika kitabu mwenyewe unayatoa as if umeyaandika wewe. Hata kama wangeruhusu uje na maneno yako ila utasema the same till death do us apart
 
...lahaula!....ukiona mke/mume anajifanyia mambo yake (including cheating...) kwakuwa mwenza wake hayupo, maana yake hana heshima kwa mwenziwe huyo. Heshima ina fall kwenye daraja la utiifu - (mke) na Upendo (mme) kama maandiko yanavyotuambia....ppphhheeeewww, bht akinibishia na hapa wallahi 'nitamuona' haambiliki!
Heheee hivi mi kumbe kazi yangu hapa ni kubisha sio Mbu?!Anyway....sasa hapo upendo wa dhati na heshima hakuna na ndio maana nyuma ya mgongo wa mwenzio (mme au mke) mtu ana cheat.Kama unapenda kwa dhati na kumheshimu mwenza wako hayo hayapo. Maana kuenenda nje ya mahusiano yako tayari ni dharau kwa mwenzio!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...lahaula!....ukiona mke/mume anajifanyia mambo yake (including cheating...) kwakuwa mwenza wake hayupo, maana yake hana heshima kwa mwenziwe huyo.
Heshima ina fall kwenye daraja la utiifu - (mke) na Upendo (mme) kama maandiko yanavyotuambia....ppphhheeeewww, bht akinibishia na hapa wallahi 'nitamuona' haambiliki!
Hivi Mbu mume aki-cheat, Je hajamtii mkewe au hajamuheshimu???
 
Lol....vile viapo si siyo vyao! Wanaigilizia tu maneno yalowekwa na wengine.....(sijakufuru hapa Mbu tafadhali sana)

....lol....hivi ee? wallahi mimi miaka yote nilidhani wanajua na wanakiamini wanachokisema japo ni maneno ya 'maigizo.'
Kwenye dhehebu langu unatakiwa utamke pia na maneno "kwa akili yangu timamu.,..!" lol...yaani hapo hata mke asipokutii ni kosa lako mwenyewe!
 
TF sidhani kama ni kulazimisha.
Huwa kuna excitement fulani unaipata ambayo hushindwa kujua inatoka wapi. japo mnakuwa mmejuana na huyo mtarajiwa wako kwa muda mrefu sana na mmeshafanya kila kitu ila ile siku ni balaa. So kiapo kile kinatoka kwa watu ambao hawajiamini na hawaaamini kama itatimia. Hapo inawezekana bwana harusi anawaza ukumbi haujamalizwa kulipwa au madeni anayokumbana nayo akitoka honeymoon huku Bi harusi akiwaza ndo anajifunga kimoja na wale vidumu wa pembeni wote hawana nafasi tena na mengine mengi
So sio woga ni hali ambayo humkumba kila mtu wakati anatoa kiapo
Na shuhudia kama ni ndani ya Kanisa au Msikiti kunakuwa kimya hata sauti za ndege zinatoweka wakati unatoa kile kiapo " Mimi TF naapa mbele ya usharika na mbele ya Mungu na mbele ya kanisa hili..... mpaka kifo kinitenganishe" ni noma mkuu
Mkuu hata kale kakitabu ulikoshika kanaweza kudondoka maana wengine huwa naona wanatetemeka mikono na wengine sauti inagoma kutoka lol!!
 
....lol....hivi ee? wallahi mimi miaka yote nilidhani wanajua na wanakiamini wanachokisema japo ni maneno ya 'maigizo.'
Kwenye dhehebu langu unatakiwa utamke pia na maneno "kwa akili yangu timamu.,..!" lol...yaani hapo hata mke asipokutii ni kosa lako mwenyewe!
Pheewwww!!! Lol
 
Kwani Mbu nikitoka kupata konyagi na nikaingia kanisani na kuyatamka yale maneno nitakuwa siko kwenye akili timamu
 
BHT sasa hapo si unashika kitabu mwenyewe unayatoa as if umeyaandika wewe. Hata kama wangeruhusu uje na maneno yako ila utasema the same till death do us apart
'as if'.....lakini sio nyie!! Na wakiruhusu mtu aende na kiapo chake si lazima kiishie exactly with..till death do us apart! Mwaweza jichagulia maneno yenu tu ambayo pia yatamaanisha kuwa kifungo chenu ni cha kudumu mpaka kifo kiwatenganishe
 
Mkuu hata kale kakitabu ulikoshika kanaweza kudondoka maana wengine huwa naona wanatetemeka mikono na wengine sauti inagoma kutoka lol!!

Mkuu utafikiri ndo wamemuona yule mchungaji kwa mara ya kwanza na unaambiwa yatamke yale maneno ukimuelelea mwenzako na umtizame usoni sasa hapo utafikiri hawajawahi kuonana
 
...naam, naaam....na hivi tangu jana tupo na hii spiritual conscious, tungemaliza mistari yote ya
kuubariki muungano huu. The Finest, stop 'blushing' bro ...hhe hhe he!...

Dah....he was blushing eeh! Thats a good sign........

Like after few minutes from now?? Lol!!

Mbu umeniharibia Confidence yangu niliyokuwa nayo maana baada "will you marry me??" inafuata Je utanisujudu? Lol!!!

Kusujudu tena...? I might be havin a second thought here....

Hahahaha!!! Mbu wewe mtu mbaya sana unaweza kumfanya mtu aka-confess hadharani

A confession....would be a nice start!!

Hiyo ni kiboko yaani unasujudu wakati unataka kitu fulani ni kama pale " Will u marry me" ukitoka hapo ukishaambiwa "Yes" kibao kinageuka

Sasa happa am learning something......itanisaidia kufanya maamuzi!!
 
'as if'.....lakini sio nyie!! Na wakiruhusu mtu aende na kiapo chake si lazima kiishie exactly with..till death do us apart! Mwaweza jichagulia maneno yenu tu ambayo pia yatamaanisha kuwa kifungo chenu ni cha kudumu mpaka kifo kiwatenganishe

Nitatoka kuvuta bangi zangu na nitaingia na kiapo ambacho dunia nzima haijawahi kukisikia
Bora tuu waendelee na kile kilichopo bana maana wengine siku hiyo ukiambiwa utengeneze kiapo sauti inaweza kugoma kutoka
 
Kate, haya nafuta kicheko changu. Mimi na wewe tuko kwenye jahazi moja kabisa. Sijui kama wewe ni mcha mungu kivile lakini mimi si mnazi wa dini kwa sababu bado nina maswali yangu ya msingi ambayo sijayapatia majibu ya kuniridhisha ili nami niwe muumini.

Hizi dini zina mikanganyiko mingi sana. Na hizi hizi dini zimetumika na watu wengi tu kuwakandamiza watu wengine - hususan hizi dini tulizoletewa na wageni.

Hivyo basi, pindi upatapo mwenzako (kama hunae tayari) ni vema kutokuzitumia sana kama msingi au mwongozo wa uhusiano wenu manake mwisho wa siku wewe utakuwa chini tu kama mtumwa. Ni bora zaidi kutumia busara na hekima za kawaida kuwa ndo mwongozo wa uhusiano wenu.

Na kama wewe ni mkristo basi jaribu kwa kadri ya uwezo wako kuzifuata zile "amri" kumi. Ukiweza kufuata walau sita kati ya hizo kumi basi utaishi maisha mazuri tu.

mimi ni muumini mzuri tu, sema kuna baadhi ya vitu huwa sivifanyi kama sivielewi, off topic Nimekumisss sana
 
Back
Top Bottom