Kwani unadhani mfumo dume ulianzia wapi The Finest? No kwenye haya haya maandiko!
BHT umekomalia mbaya
haya tuanzishe mada ya kuammenda maandiko ila sijui ni bunge la wapi litakaa
Kwani unadhani mfumo dume ulianzia wapi The Finest? No kwenye haya haya maandiko!
Kwa mawazo yangu....... Mungu aliangalia ndani ya mioyo ........mwanamke kutii alijua tayari mwanamke anaupendo wa hali ya juu kinachokosekana ni utii ndio maana akasema amtii mumewe..........na mwanaume apende inamaa mwanaume upendo haupo ndani mwake........na ndio maana akasema na ampende mkewe
amendment inafanywa na Mungu mwenyewe, na akiona hilo hututimia muongozo wake mpya kabisa. (hapa sitaki kuingia ndani zaidi ntaanza kukufundisha dini yangu bure) Do your own investigation of the truth!BHT ile sio sheria ya nchi kwamba mkiona mapungufu mnapeleka muswada bungeni mnabadilisha kifungu kiendane na mazingira. Ukifanya hivyo watu watakuja na idea ya kuwa tuammend bible au kurani turuhusu ndoa za jinsia moja. Read between the lines BHT utapata maana iliyokusudiwa
Enheeee wewe ndo uko mstari mmoja na mimi!
Mimi kwenye mji wangu ndiyo itakuwa hivyo. Tutapendana na kuheshimiana kwa dhati. Mambo ya utii sitaki kuyasikia kabisa kwa sababu hilo neno kwangu lina connotations za kiimla imla na kinyapara.
Pia ushawahi kusikia makampuni yanayoongozwa na wakurugenzi wawili? Basi na kwangu ndiyo itakuwa hivyo hivyo. Yaani mimi na missus wote tutakuwa co-heads of household.
Haya niko tayari kwa mashuti ya waosha vinywa lol
amendment inafanywa na Mungu mwenyewe, na akiona hilo hututimia muongozo wake mpya kabisa. (hapa sitaki kuingia ndani zaidi ntaanza kukufundisha dini yangu bure) Do your own investigation of the truth!
NN sawa ila ule umwanaume lazima uonekane hata kama kwa kujificha maana huwezi kusema wote mtakuwa sawa
Hapo ntatofautiana na wewe kabisaaaa....yaani niwe na upendo wa dhati afu nisimtii/kumheshimu mume? Bado haingii akilini
I am very secure with my manhood and therefore I don't have to prove anything to show that indeed I am a man.
Aisee wewe bana! Bora NN na The Finest wanasomeka kivingine! Lakini wewe unataka mfumo dume wewe. Afu hapa si suala la kutaka haki, ni suala la kuwa na mahusiano bora ya ndoa. Hakuna aliye juu zaidi ya mwenzie. Mbona maisha yanakuwa utumwa na utwana?But the truth remains BHT. Achana na masuala ya wanawake kutaka haki ukweli unabakia kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba na lazima hilo aheshimiwe nalo (sijaweka kutii)
Inawezekana kabisaTF kuna zaidi ya hapo na kuna kitu walioandika maandiko walikiona ndo maana wakaweka kabisa kuwa wanawake wawatii waume zao
Leo bht leo aisee ngoja niombe msaada kwa Kimey lol!!!Kwani unadhani mfumo dume ulianzia wapi The Finest? No kwenye haya haya maandiko!
Lol!! NN umenimaliza kabisaEnheeee wewe ndo uko mstari mmoja na mimi!
Mimi kwenye mji wangu ndiyo itakuwa hivyo. Tutapendana na kuheshimiana kwa dhati. Mambo ya utii sitaki kuyasikia kabisa kwa sababu hilo neno kwangu lina connotations za kiimla imla na kinyapara.
Pia ushawahi kusikia makampuni yanayoongozwa na wakurugenzi wawili? Basi na kwangu ndiyo itakuwa hivyo hivyo. Yaani mimi na missus wote tutakuwa co-heads of household.
Haya niko tayari kwa mashuti ya waosha vinywa lol
"Ukinitii nitakupenda"
...kuna kaukweli lakini hapo, "ukinitii nitakupenda!" and vice versa!
NN what is confusing me ni kwanini mwanamke peke yake ndiye anayezungumziwa linapokuja suala la kutii either way, Je si inapaswa wote WAWILI mume na mke KUTII na KUHESHIMIANA au kwa vile mwanaume ndiye kichwa cha nyumba basi ndio maana mwanamke akaambiwa MTII mume wako.
Aisee wewe bana! Bora NN na The Finest wanasomeka kivingine! Lakini wewe unataka mfumo dume wewe. Afu hapa si suala la kutaka haki, ni suala la kuwa na mahusiano bora ya ndoa. Hakuna aliye juu zaidi ya mwenzie. Mbona maisha yanakuwa utumwa na utwana?
...The Finest, kutii maana yake ni;
KAMUSI YA KISWAHILI;
Utii nm nidhamu au adabu ya tabia;usikivu.
Mke anatakiwa awe na nidhamu, adabu na usikivu kwa mumewe.
Mume ni kichwa cha familia,...bila kusikizwa na kuheshimiwa hakuna utii hapo.
Na mume nae amfanyie nini mke?Mume kichwa cha familia, na mke nae?...The Finest, kutii maana yake ni;KAMUSI YA KISWAHILI;Utii nm nidhamu au adabu ya tabia;usikivu.Mke anatakiwa awe na nidhamu, adabu na usikivu kwa mumewe.Mume ni kichwa cha familia,...bila kusikizwa na kuheshimiwa hakuna utii hapo.
Haya ndo maneno sasa....BHT ungejua mimi ni mmoja wao sana anayelaani huu mfumo dumeSijakomalia mahusiano ya kitwana na kitumwa ndani ya ndoa maana ndoa ni raha bana mkiwa free wote wawiili ndani ya nyumba na sio ile ya kukaa mkiona baba anaingia watoto na mke wanajifanya wamelala kuepuka kipigo na matusi ya babaNdoa ni raha bana mkiwa wote mnajisikia huru na hakuna utwana na utumwaRaha mkiwa level mja ya maelewano na mkiw amko free kuelezea hisia zenu na mnayoiona ndoa na kusikilizana pia
...The Finest, kutii maana yake ni;
KAMUSI YA KISWAHILI;
Utii nm nidhamu au adabu ya tabia;usikivu.
Mke anatakiwa awe na nidhamu, adabu na usikivu kwa mumewe.
Mume ni kichwa cha familia,...bila kusikizwa na kuheshimiwa hakuna utii hapo.
Mpaka hapo freshi.
Ila hapa ndo penye tatizo. Kwa hiyo mume yeye hatakiwi kuwa na nidhamu, adabu, na usikivu kwa mkewe?
Hehehehe!!!! Mbu hebu rudi kwanza hapaNa mume nae amfanyie nini mke?Mume kichwa cha familia, na mke nae?
Nimemwambia ameyataka mwenyewe leo nyumbani hakuendekiMbu unaranda randa sana ....hueleweki! Mara ...you are in ....mara....you are out!
"Ukinitii nitakupenda"
"Ukiniheshimu nitakupenda"
Dah!!!! Mbu msaada kwenye tuta