Mambo ya msingi ya kuyafahamu kabla ya kuingia kwenye ndoa

Bachelor ll

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,562
6,119
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.

2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.

3. Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.

4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.

5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.

6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.

7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa:
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wagomvi.

Aina tano za wanawake wa kuepukwa;
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wachawi
(d) Wagomvi
(e) wasio tii

8. Kuolewa na Mchekeshaji hakutakufanya uwe na Ndoa yenye furaha.

9. Maneno matatu yanayojenga amani katika Ndoa:
(a) Nakupenda.
(b) Samahani.
(c) Asante.

10. Kupiga punyeto kwa mwanaume na kujichua kwa mwanamke ni kuharibu mwili wako mwenyewe.

11. Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni kama gari bila mafuta. Hamuwezi kufika popote.

12. Mafanikio ya Ndoa siku zote ni pembetatu:
Mungu mmoja
Mume mmoja
Mke mmoja.

13. Furaha ya kudumu maishani hutegemea na chaguo lako la mwenzi katika Ndoa.

14. Usioe/kuolewa na pesa au mali. Oa/Olewa na mtu. Pesa/Mali hufilisika lakini utu hudumu milele.

15. Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko Ndoa isiyo na amani wala furaha.

16. Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano mzuri wa mwanamke. Hakuna mwanamke mbaya, bali anahitaji kupendezeshwa.

17. Mapenzi si upofu. Upofu ni kuoa ama kuolewa na mwanamume/mwanamke kwa sababu tu anakidhi haja zako kingono.

18. Ukiwa rafiki mwema, utawavutia marafiki wema. Vivyo hivyo kwa marafiki wabaya (Bad company corrupt good character).

19. Asili ya mikono inayojali ni moyo unaojali.

20. Iepuke Ndoa mbaya kabla haijaanza.

MUNGU AWABARIKI SANA.

Credits: KamigakikuMbise
 
Kukosa kuweka point ya kwamba kila kitu baada ya wanandoa kuoana ni shared hizo zote zinaweza kuwa useless.

Ndoa nyingi za kisasa zinavunjika kwa sababu ya umimi,hasa kwenye issue ya vifaa vya mawasiliano unakuta mume na mke hakuna mwenye uwezo wa ku-access hata calling list ya simu ya mwenzake,unakuta kuanzia msg,gallery,simu zilizopigwa,mitandao yote ya kijamii wameweka nywila tena hazifanani namba sasa ktk mazingira kama haya nani atamwamini mwenzake nani hatamwamini mwenzake?

Mke akishamuona mumewe simu password zimekuwa nyingi lazima aanze kuhisi kuna nini anachokificha?kwenye kuhisi ndipo atapata jibu kumbe mume ana mawasiliano asiyotaka yeye ayajue na yeye sasa anaamua kujiongeza kufanya yale anayofanya mumewe na always ktk situation kama hizi anayeumia zaidi ni mume maana ataletewa mpaka watoto wasiokuwa wake.
 
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.

2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.

3. Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.

4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.

5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.

6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.

7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa:
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wagomvi.

Aina tano za wanawake wa kuepukwa;
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wachawi
(d) Wagomvi
(e) wasio tii

8. Kuolewa na Mchekeshaji hakutakufanya uwe na Ndoa yenye furaha.

9. Maneno matatu yanayojenga amani katika Ndoa:
(a) Nakupenda.
(b) Samahani.
(c) Asante.

10. Kupiga punyeto kwa mwanaume na kujichua kwa mwanamke ni kuharibu mwili wako mwenyewe.

11. Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni kama gari bila mafuta. Hamuwezi kufika popote.

12. Mafanikio ya Ndoa siku zote ni pembetatu:

13. Furaha ya kudumu maishani hutegemea na chaguo lako la mwenzi katika Ndoa.

14. Usioe/kuolewa na pesa au mali. Oa/Olewa na mtu. Pesa/Mali hufilisika lakini utu hudumu milele.

15. Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko Ndoa isiyo na amani wala furaha.

16. Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano mzuri wa mwanamke. Hakuna mwanamke mbaya, bali anahitaji kupendezeshwa.

17. Mapenzi si upofu. Upofu ni kuoa ama kuolewa na mwanamume/mwanamke kwa sababu tu anakidhi haja zako kingono.

18. Ukiwa rafiki mwema, utawavutia marafiki wema. Vivyo hivyo kwa marafiki wabaya (Bad company corrupt good character).

19. Asili ya mikono inayojali ni moyo unaojali.

20. Iepuke Ndoa mbaya kabla haijaanza.

MUNGU AWABARIKI SANA.

Credits: KamigakikuMbise
..
 
Kwenye ndoa hayo hayasaidii
 
Msingi wa mahusiano ni dini yaan kuamini kitu ambcho hujakiona na unapata stori za kutisha kukihusu..hapo ndoa itadumu ila syo mengne binadamu ana macho miwili,masikio na pua yeny matundu mawil kwa maana wema na ubaya vyote vinamuingia mwilini na jambo by huwekwa sawa na vitisho vya kiimani
 
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.

2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.

3. Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.

4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.

5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.

6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.

7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa:
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wagomvi.

Aina tano za wanawake wa kuepukwa;
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wachawi
(d) Wagomvi
(e) wasio tii

8. Kuolewa na Mchekeshaji hakutakufanya uwe na Ndoa yenye furaha.

9. Maneno matatu yanayojenga amani katika Ndoa:
(a) Nakupenda.
(b) Samahani.
(c) Asante.

10. Kupiga punyeto kwa mwanaume na kujichua kwa mwanamke ni kuharibu mwili wako mwenyewe.

11. Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni kama gari bila mafuta. Hamuwezi kufika popote.

12. Mafanikio ya Ndoa siku zote ni pembetatu:

13. Furaha ya kudumu maishani hutegemea na chaguo lako la mwenzi katika Ndoa.

14. Usioe/kuolewa na pesa au mali. Oa/Olewa na mtu. Pesa/Mali hufilisika lakini utu hudumu milele.

15. Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko Ndoa isiyo na amani wala furaha.

16. Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano mzuri wa mwanamke. Hakuna mwanamke mbaya, bali anahitaji kupendezeshwa.

17. Mapenzi si upofu. Upofu ni kuoa ama kuolewa na mwanamume/mwanamke kwa sababu tu anakidhi haja zako kingono.

18. Ukiwa rafiki mwema, utawavutia marafiki wema. Vivyo hivyo kwa marafiki wabaya (Bad company corrupt good character).

19. Asili ya mikono inayojali ni moyo unaojali.

20. Iepuke Ndoa mbaya kabla haijaanza.

MUNGU AWABARIKI SANA.

Credits: KamigakikuMbise
Upo sahihi kiongzi
 
Back
Top Bottom