Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
mnatutafuta!
vatilonda,eti te tipala kuhongana sana,te tihongana baada ya kumala mahengo ndo mana tiyimba 'ne mdala vangu nikupa saanaa hasa palihele lyuva'
mnatutafuta!
Una maana inatakiwa kuanza na herufi ndogo ndo itakuwa sahihi,we kweli avache
I don argue...!
We nenda kaombe sponsorship kufanya bongo movie au events Za wasanii na uombe kufanya semina to educate the public unadhani ipi itakuwa sponsored
Tuacheni wapare tupumueeee.....!!!
Wahaya ,Warangi ,Wanyiramba ,Wapare wa same, Wazaramo, Wasambaa
Kabila penda ngono kuliko yote me naona ni wazaro ,na wachaga.
Wangoni haswa MEN
khaaaaa mshana na weweKujiandaa kisaikoloji ?kwani unaenda interview au operation room ?
Tuacheni wapare tupumueeee.....!!!
We ndo huji kitu kabisa;
Wahaya bwana hawapendi ngono ila waligundua kuwa hakuna penzi la bure, lazima utoe kitu kidogo. Hao Wasukuma ndo waajabu kabisa, haswa wanaume, wakipenda haswa mwanamke rangi kahawia nyie mwasema mweupe, Msukuma huzimia, Wazanaki ndo usiseme, wanawake wa huko huhonga ugali wampate mwanaume. Wapare ni vidume ndo vinapenda sana hiyo kitu