OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,175
- 103,643
Wakuu wa Dar na Pwani poleni kwa mvua kubwa zinaendelea.Pamoja na hayo haizuii kuendelea na mijadala.Ili kuweka kumbukumbu sawa ni vyema tukajua kabila penda ngono kuliko yote.Wengine wanasema Wahaya,mara Wapare!sasa ni muhimu kujua ili kujiandaa kisaikolojia
Updates..............
Nimejifunza kuwa ni ngumu ku-generalize tabia za kupenda ngono na kabila. Kwa mujibu kwa memba mmoja humu kuna ''kabila lisilo rasmi'' la ''Wanavyuo''.........hawa wanaonekana kutisha sana. Tuendelee kudadavua