Wanyakusya i guess
Ni kweli wasukuma tumetulia sana.
Wahaya ,Warangi ,Wanyiramba ,Wapare wa same, Wazaramo, Wasambaa
Wachina !!!
KWA MUJIBU WA CHART ZA JUU SANA ZA BILLBOARD NI KWAMBA WAHAYA HAWAJAPATA MPINZANI KWA HAPA TANZANIA ILA KWA KABILA LISILOPENDA NGONO NI WASUKUMA hasa wale wa mwanza WAKICHUANA VIBAYA SANA NA WAZANAKI.
Hivi kupenda ngono ni dhambi? Ndio maana kwenye ndoa matatizo hayaishi,,,,mshaambiwa msinyimane....sasa kama ngono ni kero (haipandi) si mnakuwa mnabakana daily??????
Hizo saikolojia za 'ngono dhambi' ndio zinawaharibu mood mnakuwa mizigo kwa wenzenu...
Kuna nini tena huku jamani mbona sielewi elewi. Anyway habari za masiku upo wewe hatuonani!!!!!!!!! Nikutakie Juma kuu jema na sikukuu njema ya pasaka
KWA MUJIBU WA CHART ZA JUU SANA ZA BILLBOARD NI KWAMBA WAHAYA HAWAJAPATA MPINZANI KWA HAPA TANZANIA ILA KWA KABILA LISILOPENDA NGONO NI WASUKUMA hasa wale wa mwanza WAKICHUANA VIBAYA SANA NA WAZANAKI.
uuupsi mapenzi hakuna kabila kama una papuchi na mgegedo utakavyoutumia ni wewe ndo tabia yako
utapungua siku ukijitoa jf
Papuchi ni kitu gani?
We ndo huji kitu kabisa;
Wahaya bwana hawapendi ngono ila waligundua kuwa hakuna penzi la bure, lazima utoe kitu kidogo. Hao Wasukuma ndo waajabu kabisa, haswa wanaume, wakipenda haswa mwanamke rangi kahawia nyie mwasema mweupe, Msukuma huzimia, Wazanaki ndo usiseme, wanawake wa huko huhonga ugali wampate mwanaume. Wapare ni vidume ndo vinapenda sana hiyo kitu
Ni papuchi