Kabila penda ngono kuliko yote

Kabila penda ngono kuliko yote

Unapimaje, kwa vigezo vipi, kuwa huyu anapenda ngono na yule hapendi:
  1. Je unaangalia idadi ya wapenzi alionao mtu?
  2. Anafana mara ngapi ndani ya ndoa?
  3. Anafanya mara ngapi nje ya ndoa?
  4. Anafanya round ngapi kila anapofanya ngono?
  5. Anafanya mara ngapi kwa siku, mwezi au mwaka
  6. Anafanya hivyo katika umri gani?
  7. Ni jinsia gani ke au me? Maswali haya yakijibiwa kwa ustadi tutapata jibu
    Wakuu wa Dar na Pwani poleni kwa mvua kubwa zinaendelea.Pamoja na hayo haizuii kuendelea na mijadala.Ili kuweka kumbukumbu sawa ni vyema tukajua kabila penda ngono kuliko yote.Wengine wanasema Wahaya,mara Wapare!sasa ni muhimu kujua ili kujiandaa kisaikolojia
 
Salute kwako mkuu
 
Hivi kupenda ngono ni dhambi? Ndio maana kwenye ndoa matatizo hayaishi,,,,mshaambiwa msinyimane....sasa kama ngono ni kero (haipandi) si mnakuwa mnabakana daily??????

Hizo saikolojia za 'ngono dhambi' ndio zinawaharibu mood mnakuwa mizigo kwa wenzenu...
 
nilichogundua kabila fulani mwanamke anaweza kuwa malaya lakini mwanaume asiwe.mf kabila langu
 
Sidhani kama yana uhusiano na ukabila....huku kwetu kuna binti wa kisomali amepewa notisi coz ameshindikana.........
 
Unakuta uzi kama huu unafikisha page 20. Umasikini tanzania utapungua kweli?
Umasikini hauwezi kupungua kwani hata wewe uliyelitambua hilo bado unachangia posti kama hii.Kuna usemi ukiona kichaa kajitambua jua kapona sasa wewe ni tofauti!
 
Nina mashaka na huo utafiti wako hasa hapo kwenye RED, niliendaga Musoma wakati fulani kumtembelea jamaa yangu kule kwenye mgodi wa BOT, niliambiwa (kwa Wazanaki wenyewe) niliambiwa na Wakurya kadhaa kwamba Mzanaki ni kama Mzalamo tu, anatoa Papuchi kwa mtu yoyote na waenda mbali zaidi kwamba hawa kudumu kwenye ndoa ni nadrwa sana, Anyway najiuliza tu maswali, kwanini takwimu za virusi vya Ukimwi mkoa wa Kigoma zipo chini sana!?
Kupata ukimwi si kigezo cha kutongonoka kwani mikoa hiyo ya pembezoni ikiwa ni pamoja na Rukwa/Katavi kila ukikutana na mwanamke unampata na tawi (mtoto) mgongoni na wakati mwingine mkononi anamkokota mwingine.Au labda hao watoto wanapatikana kwa uwezo wa roho mtakatifu?
 
Wakuu wa Dar na Pwani poleni kwa mvua kubwa zinaendelea.Pamoja na hayo haizuii kuendelea na mijadala.Ili kuweka kumbukumbu sawa ni vyema tukajua kabila penda ngono kuliko yote.Wengine wanasema Wahaya,mara Wapare!sasa ni muhimu kujua ili kujiandaa kisaikolojia

Cc..Elli9
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom