Kabila penda ngono kuliko yote

KATELERO at work.Mimi nimekupa statistics za kimataifa juu ya status ya ngono kwenye makabila ya TZ.Wewe ulishawahi kumwonea wapi msukuma wa MWANZA ana wanawake zaidi ya mmoja?.Toa ushahidi kama utakuwa nao.

IKINGO;
Kwanza sahihisha andiko lako, KATELERO ndo mchezo gani huo. Ka ni ule wa kuleee basi kale kamuchezo bwana kanaitwaga; "Katerero" ni kamuchezo maarufu na kana ufundi wake. Si kila mtu anakaweza bwanaa.
Musukuma, hajui kuomba, humwaga mapesa yake happo mwanamke achukue. Yupo tayari kuhonga hata nyumba. Hajali mambo mengine. Chunguza
 
KWA MUJIBU WA CHART ZA JUU SANA ZA BILLBOARD NI KWAMBA WAHAYA HAWAJAPATA MPINZANI KWA HAPA TANZANIA ILA KWA KABILA LISILOPENDA NGONO NI WASUKUMA hasa wale wa mwanza WAKICHUANA VIBAYA SANA NA WAZANAKI.

we IKINGO utakuwa msukuma wewe
 
Last edited by a moderator:
Wachagaa àaaawiii hawajui kitu hasa wanaume. Wanajua kuchomekezea tu. No romance
 
Mshana jr.;
Nisamehe bure tu. Mleta hoja kasema ni kabila gani atii wanaipenda hiyo kitu? Nimesema hawa Wapare kwani ndo vidume tu. Kiila mahali vina wika mpaka vinalia machozi vikiomba kitu.
Sawa na kabila linalopenda ngoma ya mdundiko, Mkwereeee, we acha tu. Hatoki hapo, hata king'ora kingelia, hatoki. Hata asome aende ulaya, Msambaa hasahau kisambaa. Huo ndo ukweli wa mambo, kila kabila na kiu yao, haiishi. Mnyakyusa asione Mpododo! Loh! hata kula hali, aangalie tu. Usichukie Mshana jr.
Hahahaaaaa mangatara... haya bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom