JWTZ ina vikosi vingapi?

JWTZ ina vikosi vingapi?

Commandos always wako kwa kambi na wanakua wanahamishwa hamishwa yani.
Acha uongo wewe...Chalinze yote Ile imejaa makomandoo wanaishi mtaani. Zaidi ya Mia wapo tu wangejenga na kujenga na Wana familia zao
 
Sawa nimeelewa, kuuliza vipi uvamizi ukitokea?
Pale ni kwa ajiri ya demo au maonyesho wenye back up ya ulinzi wanakuwepo kulinda hizo siraha in case of anything pakinuka hata hao wenye bunduki tupu ni kurushiana magazine then kinawaka.Panel ya ulinzi nayo haijasinzia imejaa hapo ndani ya uwanja na nje.
 
Wapo wale ambao wanafuga ndevu na wengine wana rasta kabisa

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Screenshot_2021-12-14-13-50-43-1.png

mfano kama hao wahuni apo juu wameachia uchebe
 
Hao special marine na washikaji wa 92 ivi kwann hawapendani???? yani wanadisiana mno kila mmoja anajiona bora kuliko mwenzake yani hawapatani hata navy special marine komandoo anajiona yy ni bora kuliko komandoo wa 92 ila twende mbele turudi nyuma ukiniambia mm kati ya Navy komando na komandoo wa 92 nani bora mm nitakuambia komandoo ni 92 wale washenzi wanabalaa ndomana Special marine komando anakuwa na inferiority Complex kwa wazee wa 92 Lakini kiukweli 92 ndo the best kwa sababu wanafanya kozi yao muda mrefu tofauti na Navy miezi 7 tu washamaliza sasa hao 92 sijui nimiezi 18 ndo Kozi yao inaisha noma.

NB,komandoo wa 92 namanisha wenye ballet za Maluni.
Marine special komando navy ni hao waliovaa nguo nyeusi ballet za blue cjui izo...
 
mmmh sio poa man. miez 18 unapiga kozi tu.
na vip kuhusu hao makomando wanao fuga ndevu na rasta, ndani ya hao makomando nao wanakuwa na kikundi chao cha peke yao au inakuaje hapo.?
 
Makomando hao ukiona wanafuga ndevu awo wanakazi maalumu hasa hasa maswala ya intelligencia ili asijulikanike kama yy ni askari mbona hata polisi wapo pia wanaofuga nywele tena rasta na ndevu.
 
ok, nimekupata vyema man
 
Back
Top Bottom