JWTZ ina vikosi vingapi?

JWTZ ina vikosi vingapi?

Watu kama hawa ni wakuwapotezea tu unakuta hapo alipo mfukoni hana hata mia wala hajui leo atakula nini asubuhi kaamkia maji tu na bando lakukopa kwaio anakuja humu kutafuta watu wa kuwabugdhi
Kwamba Anataka kuondoa stress zake kupitia JF?!!.
 
IMG_0008.jpg

Hivi ndugu zangu hawa maafande tunaishi nao uraiani ama wao hukaa kwenye makambi yao kipindi chote cha ajira?
 
Commandos always wako kwa kambi na wanakua wanahamishwa hamishwa yani.

Duh mbona ni kazi yenye majukumu mazito sana aisee sasa vipi inapotokea anataka kuoa na kuanzisha familia au pale inapotokea mtu wake wa karibu kama mama kupata tatizo kama kuugua huwa wanaruhusiwa kwenda kusalimia ama kuuguza?
 
Hao unakuwa kama umewasahau kwanza unaweza ruhusiwa usioe kabisa
 
kingai alaaniwe na kizaz chake makomando wetu wamelia kama watoto mbele ya kingai
Halaf mimi zaman nilikuaga najua eti makomando huwa wana train ulaya il hawa inaonekana wame train hapa locally na wao wanakua tena waalim wa wenzao sasa hawa akina JIDE a.k.a "komando machozi"
 
Back
Top Bottom