Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
No nahisi kuwa mlinzi wa rais iko kiintelijensia zaidiUpo sahihi mwanzoni nilikuwa najua ili uwe mlinzi wa rais ni lazima uwe umepitia mafunzo ya ukomando


No nahisi kuwa mlinzi wa rais iko kiintelijensia zaidiUpo sahihi mwanzoni nilikuwa najua ili uwe mlinzi wa rais ni lazima uwe umepitia mafunzo ya ukomando


Wabongo bhana daahKingai,mahita na good luck ndy kiboko yako hakuna cha ukomandoo


Ramadhan kingai,mahita,jumanne na good luck ni maofisa wa police waliokuwa wakiwatema makomandoo waliokuwa wanamlinda mboweMimi huyo kingai wala simfahamu ndio nani?
Wabongo bhana daah![]()
Ramadhan kingai,mahita,jumanne na good luck ni maofisa wa police waliokuwa wakiwatema makomandoo waliokuwa wanamlinda mbowe
No nahisi kuwa mlinzi wa rais iko kiintelijensia zaidi![]()

Siku ngoja uingie kweny 18 zaoWabongo bhana daah![]()
Out of contentSasa kama ni maofisa wa polisi na hao makomando waliwekwa chini ya ulinzi ulitegemea hao makomando wafanyeje ili wasionekane wameyumba?
Naona wabongo wengi wanajadili hiyo mada kishabiki tu ilihali hawajui uhalisia ulivyo! Na sisi tunasema tu kalagabaho!Siku ngoja uingie kweny 18 zao
Out of content
Uliuliza " hao ni wakinanani " nimekujibu hivyo.
Naona wabongo wengi wanajadili hiyo mada kishabiki tu ilihali hawajui uhalisia ulivyo! Na sisi tunasema tu kalagabaho!

Yaani kisa hao kina Kingai na Mahita eti ndiyo wabongo wanaona kama mapolisi wako vizuri kuliko makomandoo wa jwtz! Hatuna budi kuwaacha wabaki na ujinga wao mkuu!Naaam hata mimi nahisi hivyo![]()
Mim siyo mbongo mkuuNaona wabongo wengi wanajadili hiyo mada kishabiki tu ilihali hawajui uhalisia ulivyo! Na sisi tunasema tu kalagabaho!
Nilisema "wabongo wengi wanajadili"Mim siyo mbongo mkuu
Yaani kisa hao kina Kingai na Mahita eti ndiyo wabongo wanaona kama mapolisi wako vizuri kuliko makomandoo wa jwtz! Hatuna budi kuwaacha wabaki na ujinga wao mkuu!
Mim siyo mbongo mkuu