JWTZ ina vikosi vingapi?

JWTZ ina vikosi vingapi?

Wooote hao ni cha mtoto mbele ya Kingai na Mahita na Jumanne ...wanalizwa kama watoto

matacle yako kama haya
IMG_3959.jpg
 
Ndio kipo, commando special forces wanafuga ndevu na nywele kama raia. Sio kila commando anaweza kuwa special force isipokuwa huwa wanaselect elite soldiers wachache kutengeneza partnership ya special forces. Mimi nimewaona kwa macho sehemu flan Dar es Salam, hata ngerengere pia ukibahatika kufika utawaona. Issue wanafanya hivyo kuna baadhi ya operation ambazo ni very complex zinataitaji participants wasigundulike kirahisi

Umetisha sana mkuu kwaio kumbe unaweza kwenda kiwanja ukakuta jamaa tozi tozi kaachia uchebe anakula vyombo nje kapaki crown mpyaa kumbe komando aiseee
 
Kwa sisi ambao hatufuatilii inakuwaje?
Fungua nyuzi za kesi ya mbowe ziko nying tu.
Ila kwakifupi Huyo afande kingai na afande mahita na afande jumanne waliwakamata makomandoo wa jwtz wamewashushia kichapo kikali na mateso y hali ya juu mpaka hawan hamu nao.kipigo kipigo heavy na wamepew keai wakaswekwa rumande
 
mnapenda sana utani na kingai.

yeye anasema hakuhusika kabisa na hiyo adhabu wanamsingizia
We jamaa kuna uzi niliona unashangaa wanajeshi kufuga ndevu kisa yule wa Guinea kafuga ndevu soma huko juu. Mwanajeshi wa Special Forces anaruhusiwa kufuga ndevu.

Na kumbuka yule Mamady Doumbouya ni Mwanajeshi wa Special Forces. Naonaga comments zako unavyowapondeaga wanajeshi inaonesha una chuki nao sana kuliko kawaida.
 
Back
Top Bottom