JWTZ ina vikosi vingapi?

JWTZ ina vikosi vingapi?

Hao wenye nyeusi ni Marine special force

Hivi kati ya hao makomando wa navy na nchi kavu ni wapi wenye majukumu mazito zaidi kiutendaji na hata kwenye mafunzo??

Maana kuna komando mmoja wa navy naona kwenye picha alijitwika mzigo mzito zaidi nafikiri si chini ya kg 50
IMG_0004.jpg

IMG_0005.jpg
 
Nafikiri ni kamandi ila tunachanganya labda utufafanulie vizuri tofauti zake
Kwa nnavyoelewa,,,,kikosi kinakua ndani ya kamandi,sabab tanzania tuna kamand 3
Airwing
Navy
Land force

Ndani ya navy ndio tunawapata hao jamaa waliovaa nguo nyeusi wanaitwa marine commando

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa nnavyoelewa,,,,kikosi kinakua ndani ya kamandi,sabab tanzania tuna kamand 3
Airwing
Navy
Land force

Ndani ya navy ndio tunawapata hao jamaa waliovaa nguo nyeusi wanaitwa marine commando

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Nimekuelewa mkuu sasa kwa mantiki hiyo marine commando watakuwa wanacover kamandi mbili yaani Airwing na Navy

IMG_0006.jpg


Ndiomaana hata tukitazama kwenye hii picha kuna gwanda mbili tu tofauti lakini hata wale paratroopers walivalia gwanda nyeusi

IMG_9999.jpg

IMG_9988.jpg
 
Ila sio kwa kingai
Siwezi Kutoa maoni kwa swali lako ila kwa kukupa maelezo machache mazoezi ya ukomandoo na kazi yenyewe ni kama mabondia, wachezaji Mpra nk ili uwe fit unatakiwa mazoezi kila wakati ukiacha mazoezi ,mwili na akili ya upiganaji inatokea mabadiliko unakuwa hali ya kawaida.
Ndio maana kila wakati wanafanya mazoezi ya mwili na kutumia vifaa hawa wa Tz, USA nk
 
Back
Top Bottom