JWTZ ina vikosi vingapi?

JWTZ ina vikosi vingapi?

Yaani kisa hao kina Kingai na Mahita eti ndiyo wabongo wanaona kama mapolisi wako vizuri kuliko makomandoo wa jwtz! Hatuna budi kuwaacha wabaki na ujinga wao mkuu!
Hamna jipya nyie ujanja wenu mukiwa kikundi ila linapokuja suala la mmoja mmoja huwa mnakuwa wapole kama kuku wa mdondo.
 
Hamna jipya nyie ujanja wenu mukiwa kikundi ila linapokuja suala la mmoja mmoja huwa mnakuwa wapole kama kuku wa mdondo.
Kwamba polisi ndiyo yuko vizuri kimafunzo kuliko mwanajeshi? Endeleeni kujifariji tu kwa kuwatolea mifano hao hao wahuni wenzenu kina Kingai na Mahita ila msije mkajichanganya!
 
Hivi wale wanaochukuliwa kwenda kwenye parade huwa ni wanajeshi tayari au huwa ni wale service wanaovaaga gwanda za kijani wanaokua wanasubiri ajira?
Wanakuwa vijana wa jkt ambao ni guard ya 5 na ya 6 kuwakilisha kamandi ya JKT me nimewaona mwaka huu wanavojiandaa na uhuru day hata ile guard ya jeshi la uhamiaji wale ni vijana wa jkt wanatumika sana na majeshi ila tuu hawawajali wanarudishwa kitaa wakateseke

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Aisee ndugu yangu sijakuelewa
 
wa kisarawe huyu jamaa?? maana naona kama sura inakuja inakata...
 
Back
Top Bottom