JWTZ ina vikosi vingapi?

JWTZ ina vikosi vingapi?

Duh mbona ni kazi yenye majukumu mazito sana aisee sasa vipi inapotokea anataka kuoa na kuanzisha familia au pale inapotokea mtu wake wa karibu kama mama kupata tatizo kama kuugua huwa wanaruhusiwa kwenda kusalimia ama kuuguza?
Taifa kwanza
 
Jana nimetamani hadi niwe mwanajeshi wale watu wako na vibe nidhamu ya hali juu.

Naomba uliza bunduki zinakua na risasi au hazina.
Bunduki zote hazina Risasi, kabla ya kuja uwanjani TISS wanakagua silaha zote ili kujiridhisha kuwa hazina risasi. Kwenye shughuli kama ile ni wale wanaohusika na ulinzi wa Rais, eneo husika na walipangwa kuwa na silaha ndio huwa na risasi kwenye silaha zao. Wale uliowaona kwenye graride silaha zote ni tupu na zimelaguliwa kabla hawajakabidhiwa. Kwa kifupi wako kwa ajili ya MAONESHO.
 
Duh mbona ni kazi yenye majukumu mazito sana aisee sasa vipi inapotokea anataka kuoa na kuanzisha familia au pale inapotokea mtu wake wa karibu kama mama kupata tatizo kama kuugua huwa wanaruhusiwa kwenda kusalimia ama kuuguza?
Mambo ya kuoa sio kipaumbele,piga puli siku imeisha.
 
Duh mbona ni kazi yenye majukumu mazito sana aisee sasa vipi inapotokea anataka kuoa na kuanzisha familia au pale inapotokea mtu wake wa karibu kama mama kupata tatizo kama kuugua huwa wanaruhusiwa kwenda kusalimia ama kuuguza?
wanaruhusiwa kuja kusalimia mkuu ...,Mimi mwenyewe bro wangu commando na anakuja sana na anafamilia yake
 
MSF hichi ni kikosi kina miaka kadhaa toka kianzishwe, hakikujulikana na umma zaidi ya kufahamika wale makomandoo wa jeshi la ardhi pekee. Nchi ilikuwa na makomandoo wenye uwezo mkubwa kuliko wale waliyozoeleka na iliwaficha wasijulikane. Hii lilikuwa ni lengo zuri, maana haifai kuonesha kila aina ya watu uliyokuwa nao.

Kikubwa sijapenda hao maafisa waliyofichwa na kutotumika na uongozi uliyopita kwenye maonesho kama haya. Kuja kuanikwa hadharani, si kila makomandoo wa kuanikwa tu. Wangeendelea kufichwa kama mwanzo
 
Upo sahihi mkuu lakini hatuwezi jua pengine wapo mahodari hata kuwazidi hao tuliowaona na bado wamefichwa

Ila naomba kujua kirefu cha MFS
 
Ni MSF nilikosea kuandika yaani MARINE SPECIAL FORCE. hao ni makomandoo wa jeshi la maji wenye uwezo wa kupigana majini na nchi kavu

Shukrani ndugu alafu kuna swali niliuliza hapo juu kwamba je kuna kitengo chochote jeshini ambacho kinaruhusu askari wake kufuga ndevu ama nywele?
 
Shukrani ndugu alafu kuna swali niliuliza hapo juu kwamba je kuna kitengo chochote jeshini ambacho kinaruhusu askari wake kufuga ndevu ama nywele?
Ndio kipo, commando special forces wanafuga ndevu na nywele kama raia. Sio kila commando anaweza kuwa special force isipokuwa huwa wanaselect elite soldiers wachache kutengeneza partnership ya special forces. Mimi nimewaona kwa macho sehemu flan Dar es Salam, hata ngerengere pia ukibahatika kufika utawaona. Issue wanafanya hivyo kuna baadhi ya operation ambazo ni very complex zinataitaji participants wasigundulike kirahisi
 
Kwa nnavyoelewa,,,,kikosi kinakua ndani ya kamandi,sabab tanzania tuna kamand 3
Airwing
Navy
Land force

Ndani ya navy ndio tunawapata hao jamaa waliovaa nguo nyeusi wanaitwa marine commando

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
JWTZ kwa sasa ina Kamandi tano mkuu

Kamandi ya Nchi Kavu
Kamandi ya Anga
Kamandi ya Maji
Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
Kamandi ya Jeshi la Kujenga Taifa
 
Back
Top Bottom