IOC ni jumuiya ya nchi za kiislamu (so it says) na lengo lake ni kupromote ajenda ya uislamu na uarabu (not overtly). Ukiangalia baadhi ya mistari ya articles zake unaweza kuona kuwa ni jumuiya ya waarabu yenye lengo la kuendeleza interests za waarabu na kuleta welfare kwa waarabu. (waislamu wanaigia tu hapo lakini wao si lengo kuu)
"To promote and to protect human rights and fundamental freedoms including
the rights of women, children, youth, elderly and people with special needs as
well as the preservation of Islamic family values;"
"The Member States undertake that in order to realize the objectives in Article 1, they
shall be guided and inspired by the noble Islamic teachings and values and act in
accordance with the following principles:......."
"International Islamic Court of Justice"
Hii itakuwa ni kwa mujibu wa sharia, sasa sijui kama ni watanzania wote watakubali kuwa subjected to Sharia law. Au sijui kama Tanzania itakubali raia wake hata kama ni mwislamu apelekwe kuhukumiwa kwenye mahakama kama hiyo
"The Independent Permanent Commission on Human Rights shall promote the civil,
political, social and economic rights enshrined in the organisations covenants and
declarations and in universally agreed human rights instruments, in conformity with
Islamic values."
" ا ا
ا
In the name of Allah, the most Compassionate, the most Merciful"
Waarabu (SI waislamu) wakileta maneno kama haya basi ujue wana lao jambo, kuna wanaochinja watu wanasema hayo hayo maneno, hata magaidi wanaojilipua wanasema maneno hayo hayo. Sasa ukifikiri kuwa Tanzania inakuwa part ya waarabu hao, lazima uwe na hofu.
"to support the struggle of the Palestinian people, who are presently under
foreign occupation, and to empower them to attain their inalienable rights,
including the right to self-determination, and to establish their sovereign state
with Al-Quds Al-Sharif as its capital, while safeguarding its historic and
Islamic character, and the holy places therein;"
Kwa upande mmoja charter inasema haitaingilia mambo ya ndani ya nchi, lakini inazungumzia kuisaidia Palestina bila kutaja sababu ya kuisaidia Palestina, na inaamua kabisa kuwa mji mkuu wa Palestina. Lakini haitaji kuwasaidia watu wengine kama wakongo, Myanmar, Western sahara ambao wako under occupation of Maroc. Mkuu ukuangalia haya unaweza kuona lengo halisi la jumuiya hii. Kwa non muslims wa Tanzania ni kizunguzungu. Ni vizuri tukiendelea kuwa secular.