Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Ndugu yangu, tofauti ni kubwa sana. CARE na CRS ni NGO's (non governmental organisations) na hazina binding charter. OIC ni intergovernmental organization na inayo charter ambayo nchi wanachama wanapaswa kuizingatia na kuifuata. Hizi NGO's hazihitaji nchi yoyote iwe mwanachama wake ndipo zifanye kazi nayo, zinahitaji ruhusa tu. Lakini OIC inataka nchi iwe mwanachama, ikubali charter yao, itekeleze majukumu ya mwanachama ambayo yanaendana na imani katika itikadi moja ya kiislamu. Nimesoma OIC charter mara kadhaa, na haiendani hata kidogo na misingi ambayo nchi yetu imejengwa, ni charter ya kidini ilhali nchi yetu si ya kidini.

Vatican ndiyo tofauti zaidi. Ile ni makao makuu ya kanisa katoliki, sawa na makao makuu ya dini nyingine duniani, tofauti ni kuwa nchi ya Itali imewaheshimu na kuwapa eneo la utawala lenye hadhi ya dola, kwa hiyo wana haki za dola huru ikiwamo kufungua ubalozi nje ya nchi yao. Hata Mtukufu Aga Khan angekuwa na dola yake angefungua tu ubalozi Tanzania, hakuna mtu angemzuia.
Mwanamageuko,
jifunze kushusha vitu kama hivi!
I'm learning...
 
Poor proud man!
Pride goes before destruction, and an haughty spirit before a fall.
Don't think unthinkable think' ... I can't think what do you want me think for you. Open your Mind Joshua and free your brain you will see what I am saying... try it now you will see...

Nimekuwekea link ya pdf soma kwa makini uelewe kama wanaibana Nchi ama inabaki na uhuru wake.:smile-big:

Advice:
always try to think wise and positively :smile-big:
 
Mkuu OIC ni jumuiya ambayo inaweza kuwagawa watanzania, ajenda yake ni dini. Inatumia issues nyingine kama elimu,afya na huduma nyingine za jamii kuadvance agenda ya uislamu. Lkini CARE international and alike hazi ajenda kama hiyo. Vatican si organisation of Christian Countries, ni kweli mission yake ni kuendeleza ukatoliki lakini haina ajenda ya kuimpose ukatoliki kwa wakristo wengine na wasio wakristo.
Nakubaliana na wewe time will tell, and it is telling now for sure tunaona ajenda iiliyo nyuma ya pazia.
Lakini nafurahi mkuu wewe at least unaongea kwa uelewa tofauti na baadhi ya wadau wanavyokuponda. TANZANIA DAIMA.
Usijali Mkuu Bongolander, ndio maana kuna Uhuru wa mawazo, Sidhani kama dunia ya leo mtu anaweza kubadili imani yake kwa ajili ya mkate! Siamini katika hilo, kwa maana kama inabidi UNIPE MSAADA ILI NIFUATE MASHARTI YAKO, NITASEMA HAPANA. Na yeyote anaelishwa mkate na akasujudu kwa hilo "HATARI" Pia tatizo huwa tunaangalia upande wa ubaya na hatutaki kuangalia upande wa uzuri.
Ninakubaliana na wewe 100% kwa mfano kama ilivyo CRS, imeajiri watu wa dini na kada mbalimbali zaidi ya nchi mia na ushei. Hakuna mtu mwenye akili timamu awe pentekoste, mhindu au muislamu atakayesema shirika hilo ni la Wakatoliki halitufai. Huyo atakuwa na wazimu wa mchana kweupe. Wamarekani wale wamejitolea kwa hali na mali, ukihesabu kuanzia afya mpaka kilimo na mpaka soko wanatutafutia wenyewe je tunawalipa nini? Na sijaona nchi ambayo OIC imeshazua mgogoro kwani iko mpaka Greece.

Hatujiulizi kuja wa OIC kutatengeneza ajira ngapi? Je katika mashirika ya dini yaliyopo likiongezeka lingine mzigo utapungua utaongezeka? Huduma zitaongezeka ama laa? Tuchunguze kwanza kuna migogoro mingapi imeshatokea kutokana na jumuiya hiyo? Jamani tuache kudanganywa na kudanganyika. Wenzenu wanajua ajira zao ziko wapi ninyi mnapelekwa kuwa hili halifai lile linafaa. Hatujiulizi mbona wao ziara zao wanaenda hukohuko inakotoka hiyo OIC? kuna nini kule wanachokipata wao sisi hatukitaki? LAZIMA MJUE, UNALETWA MJADALA FLANI ILI TUTOKE KWENYE MATATIZO YETU YA MSINGI, TUNAIMBISHWA NYIMBO AMBAZO MWISHO WAKE UNAJULIKANA NASI KWA SAUTI KUU TUNAITIKA. Wakati utasema ni heri tuwe na afya.

TATIZO LETU: TUNAWAZA NAMNA YA KUVUKA DARAJA AMBALO HATUJALIFIKIA WALA HATUJUI LILIVYO.
 
you should be the first to practice your advice!
Why was OIC found and what is the meaning of the term?

IOC ni jumuiya ya nchi za kiislamu (so it says) na lengo lake ni kupromote ajenda ya uislamu na uarabu (not overtly). Ukiangalia baadhi ya mistari ya articles zake unaweza kuona kuwa ni jumuiya ya waarabu yenye lengo la kuendeleza interests za waarabu na kuleta welfare kwa waarabu. (waislamu wanaigia tu hapo lakini wao si lengo kuu)

"To promote and to protect human rights and fundamental freedoms including
the rights of women, children, youth, elderly and people with special needs as
well as the preservation of Islamic family values;"

"The Member States undertake that in order to realize the objectives in Article 1, they
shall be guided and inspired by the noble Islamic teachings and values and act in
accordance with the following principles:......."

"International Islamic Court of Justice"

Hii itakuwa ni kwa mujibu wa sharia, sasa sijui kama ni watanzania wote watakubali kuwa subjected to Sharia law. Au sijui kama Tanzania itakubali raia wake hata kama ni mwislamu apelekwe kuhukumiwa kwenye mahakama kama hiyo

"The Independent Permanent Commission on Human Rights shall promote the civil,
political, social and economic rights enshrined in the organisation’s covenants and
declarations and in universally agreed human rights instruments, in conformity with
Islamic values."

" ا ا
ا
In the name of Allah, the most Compassionate, the most Merciful"

Waarabu (SI waislamu) wakileta maneno kama haya basi ujue wana lao jambo, kuna wanaochinja watu wanasema hayo hayo maneno, hata magaidi wanaojilipua wanasema maneno hayo hayo. Sasa ukifikiri kuwa Tanzania inakuwa part ya waarabu hao, lazima uwe na hofu.

"to support the struggle of the Palestinian people, who are presently under
foreign occupation, and to empower them to attain their inalienable rights,
including the right to self-determination, and to establish their sovereign state
with Al-Quds Al-Sharif as its capital, while safeguarding its historic and
Islamic character, and the holy places therein;"

Kwa upande mmoja charter inasema haitaingilia mambo ya ndani ya nchi, lakini inazungumzia kuisaidia Palestina bila kutaja sababu ya kuisaidia Palestina, na inaamua kabisa kuwa mji mkuu wa Palestina. Lakini haitaji kuwasaidia watu wengine kama wakongo, Myanmar, Western sahara ambao wako under occupation of Maroc. Mkuu ukuangalia haya unaweza kuona lengo halisi la jumuiya hii. Kwa non muslims wa Tanzania ni kizunguzungu. Ni vizuri tukiendelea kuwa secular.
 
Inashangaza,

Thread fyongo kama hii sasa imefika mpaka ukarasa wa 165!

Kwa sura moja, we have these the so called, 'religions', au 'religions of peace' or whateva the crap it is..Hizi dini zimeanzishwa na watu wa kale waliokuwa wakiishi mapangoni, wakinywa mikojo ya ngamia, na kuchamba kwa kutumia mawe na mchanga..hizi dini zinaongozwa na maono ya hao watu wa kale kwa kisingizio eti wametumwa na Mungu..not only the it is a fact that these murderous 'prophets' and their religions' can not be traced and tested from any neutral point of view for validity, even their gullibility is ridiculously astonishing..mathalan,baadhi ya madai ya hizi dini ni kama ifuatavyo:-

-- jua huzama kwene matope

--homa husababishwa na joto la jehenamu

--jua huzunguka dunia

--etc etc (list ni ndefu)

Kwa sura nyingine, ktk hali kama hii it is crazy that a modern mind wants to put these religion's garbage into our government system! Our bunge even spends taxpayers money to discuss this crap...halafu ati tunaketi kitako kujiuliza kwanini hatuendelei..hatuendelei simply bcoz we are stupid morons.

IMO, for all ya who think Tz is not Islamic /Christian/Jewish enough, nendeni kule mnakoona mtakuwa karibu na peponi, na miungu yenu na manabii wenu, mtuachie Tz yetu. We don't need ya. We need science and reason to be a guideline to our daily life, sio midini yenu ya kale ambayo inasema jua linazama kwene tope. Btw, hata hiyo midini yenu tu hamuifuati, kazi kutusumbua tu, kushoto na kulia, hatulali na makelele yenu.
 
Hapo ndipo upeo wako ulipo fikia!
 
Nimeipenda thread yako imekwenda shule. kwa hakika waislamu hawana sababu ya kutaka sharia ipitishwe na Bunge, wakae wenyewe na kuamua mambo yako na kuangalia ni namna gani kadhi watalipwa na siyo kutegemea serkali
 
Mkuu sidhani kama ni jambo zuri kwa watanzania wenzetu kuanza kukatwa mikono, kukatwa vichwa au kupigwa mawe wakizini. Hata kama watajilipia wenyewe kitu hii haikubaliki Tanzania. Hawa tunaowaita waislamu, ni watanzania kwanza ni waislamu baadaye, hakuna atakayekuwa na furaha kuona mtanzania mwenzetu anakatwa kichwa au kupigwa mawe, kwa makosa ya uzinzi. We are better off as a secular state than being Islamic country.
 
Hiyo Mahakama ya Kadhi, ambayo Waislam wa Tanzania wanaitaka, wamekwambia kuwa itakuwa kazi yake kukata watu mikono?
 
we don't need ya. We need science and reason to be a guideline to our daily life
You don't know what you are saying! Who told you science have morality? Prove to me scientifically that lying, murdering, stealing et al is wrong!
you better rethink your beliefs!
 
OIC:Hamna kuna tatizo kwa Tanzania kujiunga na OIC.Wizara ya mambo ya nje ya Tanzania ilishafanya utafiti na Kuconclude kwamba hamna tatizo lolote.,na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa JK, Dk Bernard Membe alitangaza wazi wazi mbele ya waandishi wa habari (23 October 2008).na alisema "Serikarli kupitia wataalam wake wake wamefanya utafiti na imejilidhisha kwamba kujiunga na OIC haina madhara yoyote " .
Wasiotaka Tanzania Kujiunga na OIC ni maaskofu ambao walitahadharisha serikali ya CCM kuwa hawatafanya nayo kazi endapo Tanzania itajiunga na OIC,siku chache baada ya membe kuongea na wanahabari
Nukuu" "Tuna uhakika kuwa yaliyomo ndani ya OIC ni hatari kabisa, kwani endapo yakikubalika katiba, nchi itakuwa imevunjika na Watanzania watakuwa wameingia katika migogoro itakayoua maridhiano, mshikamano, utengemano na umoja wa kitaifa, " walisema maaskofu hao katika tamko lao."
KADHI: juu ya mahakama ya Kadhi Tatizo watu wengi hawana elimu ya kutosha wanafikiri watahukumiwa kiislam(Ukiiba unakatwa mkono,Ukizini Bakora 100,ukizini ukiwa na mke/mume utapigwa viboko hadi kufa,ukilewa bakora 80,nk.)Zanzibar kuna mahakama ya kadhi ,Kenya kuna mahakama ya kadhi nani kakatwa mkono,Nani kachapwa."UNAPOPINGA AMA KUKUBALI KITU AMBACHO HUNA ELIMU NACHO NI UJINGA".
Tatizo nikwamba wakristo wanaichukia OIC na Mahakma ya kadhi kutokana na Mafundisho wanayopata kwenye makanisa yao na viongozi wao wa Dini.ambao wana "hidden Agenda"
Endapo hii hoja itapelekwa bungeni haiwezi kukubalika kwa sababu majority wa wabunge ni wafuasi wa dini ya kikristu.wapo zaidi ya asilimia 55,na Mtoto wa nyoka ni nyoka haiwezekani kiongozi wako wa dini akate kitu mfuasi akikubali,Halafu jumapili unakwenda kanisani kwake.
USHAURI WA BURE:Nendeni kwenye nchi ambazo kuna mahakama ya KADHI na OIC kama kuna ubaya wowote.Miongani mwa mataifa ya afrika yaliojiunga na OIC ni Cameroon, Uganda , Côte d'Ivoire, Gabon,Cameroon, Mozambique, Senegal, Benin, Togo, Gambia,n.K. Kadhi waulizeni wakenya.
Mwisho:TUACHE CHUKI KATIKA MAMBO YA MSINGI,WAACHENI WAISLLAM WAWE NA MAHAKAMA YA KADHI NA TANZANIA KUJIUNGA NA OIC IWE RUKSA
 
OIC:Hamna kuna tatizo kwa Tanzania kujiunga na OIC.Wizara ya mambo ya nje ya Tanzania ilishafanya utafiti na Kuconclude kwamba hamna tatizo lolote.,na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa JK, Dk Bernard Membe alitangaza wazi wazi mbele ya waandishi wa habari (23 October 2008).na alisema “Serikarli kupitia wataalam wake wake wamefanya utafiti na imejilidhisha kwamba kujiunga na OIC haina madhara yoyote “ .
Wasiotaka Tanzania Kujiunga na OIC ni maaskofu ambao walitahadharisha serikali ya CCM kuwa hawatafanya nayo kazi endapo Tanzania itajiunga na OIC,siku chache baada ya membe kuongea na wanahabari
Nukuu” "Tuna uhakika kuwa yaliyomo ndani ya OIC ni hatari kabisa, kwani endapo yakikubalika katiba, nchi itakuwa imevunjika na Watanzania watakuwa wameingia katika migogoro itakayoua maridhiano, mshikamano, utengemano na umoja wa kitaifa, " walisema maaskofu hao katika tamko lao.”
KADHI: juu ya mahakama ya Kadhi Tatizo watu wengi hawana elimu ya kutosha wanafikiri watahukumiwa kiislam(Ukiiba unakatwa mkono,Ukizini Bakora 100,ukizini ukiwa na mke/mume utapigwa viboko hadi kufa,ukilewa bakora 80,nk.)Zanzibar kuna mahakama ya kadhi ,Kenya kuna mahakama ya kadhi nani kakatwa mkono,Nani kachapwa.”UNAPOPINGA AMA KUKUBALI KITU AMBACHO HUNA ELIMU NACHO NI UJINGA”.
Tatizo nikwamba wakristo wanaichukia OIC na Mahakma ya kadhi kutokana na Mafundisho wanayopata kwenye makanisa yao na viongozi wao wa Dini.ambao wana “hidden Agenda”
Endapo hii hoja itapelekwa bungeni haiwezi kukubalika kwa sababu majority wa wabunge ni wafuasi wa dini ya kikristu.wapo zaidi ya asilimia 55,na Mtoto wa nyoka ni nyoka haiwezekani kiongozi wako wa dini akate kitu mfuasi akikubali,Halafu jumapili unakwenda kanisani kwake.
USHAURI WA BURE:Nendeni kwenye nchi ambazo kuna mahakama ya KADHI na OIC kama kuna ubaya wowote.Miongani mwa mataifa ya afrika yaliojiunga na OIC ni Cameroon, Uganda , Côte d'Ivoire, Gabon,Cameroon, Mozambique, Senegal, Benin, Togo, Gambia,n.K. Kadhi waulizeni wakenya.
Mwisho:TUACHE CHUKI KATIKA MAMBO YA MSINGI,WAACHENI WAISLLAM WAWE NA MAHAKAMA YA KADHI NA TANZANIA KUJIUNGA NA OIC IWE RUKSA
 
Mwisho:TUACHE CHUKI KATIKA MAMBO YA MSINGI,WAACHENI WAISLLAM WAWE NA MAHAKAMA YA KADHI NA TANZANIA KUJIUNGA NA OIC IWE RUKSA
Nani kawakataza? Jiungeni ninyi kama waislamu na sio nchi!
Kwani si mna BAKWATA? Iambieni ijiunge JMT ni ya imani zote, sio mali ya waislamu, upo?
 
Back
Top Bottom