Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Kwa kweli mimi sikuwa najua kama Serikali yetu inauhusiano rasmi wa kibalozi na Vatikano! kwani tangu enzi za Mwalimu nchi yetu ilikuwa haina dini na katiba yetu iko wazi kabisa kuwa Serikali haina dini!

sasa haya yamekujaje tena kwani leo nimesoma gazeti moja linaripoti kauli za viongozi wa Kiislamu kuitaka Sirikali kusitisha uhusiano huo mara moja soma hapa ..http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/11/7/habari3.php na mimi nawaunga miguu na mikono viongozi hao kwa uwamuzi wao na kuwashauri waishitaki Serikali Mahakamani kwa kuvunja katiba ya nchi!

Kabla ya kuishitaki serikali kuvunja katiba ya nchi,
Wajishitaki wenyewe kwanza kwa kutaka kuilazimisha serikali kuvunja katiba ya nchi kuanzisha mahakama ya kadhi! ama ni mkuki kwa nguruwe?

Tangiapo nahisi hapo wanachanganya mambo kwani uhusiano uliopo ni wa kibalozi kama nchi na si uhusiano wa kidini!
 
Kadogoo fanya utafiti wa ishuz kabla hujasema chochote! Kuna tatizo gani kwa Vatican kuwa na uhusiano wa kibalozi na Tanzania? Kwa nini unafikiri katiba imevunjwa?

Unaelewa nini unaposikia serikali ya Tanzania haina dini?

Unaelewa nini kuhusu uhusiano wa kibalozi?

Je kwa tafsiri yako unafikiri ni sahihi kwa nchi hisiyo na dini kama Tanzania kuruhusu kuwepo kwa misikiti, makanisa, masinagogi na mahekalu mengine ya kuabudia?
 
Kwa kweli mimi sikuwa najua kama Serikali yetu inauhusiano rasmi wa kibalozi na Vatikano! kwani tangu enzi za Mwalimu nchi yetu ilikuwa haina dini na katiba yetu iko wazi kabisa kuwa Serikali haina dini!

sasa haya yamekujaje tena kwani leo nimesoma gazeti moja linaripoti kauli za viongozi wa Kiislamu kuitaka Sirikali kusitisha uhusiano huo mara moja soma hapa ..http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/11/7/habari3.php na mimi nawaunga miguu na mikono viongozi hao kwa uwamuzi wao na kuwashauri waishitaki Serikali Mahakamani kwa kuvunja katiba ya nchi!


Hayo ni mawazo finyu kabisa. Watu wanashindwa kuelewa kuwa Vatican ni nchi na mahusiano yetu ni ya nchi na si ya dini. Sina haja ya kurudia mifano ambayo imetolewa, lakini ukweli ni kwamba kama dini inatumika kuwa kigezo katika uhusiano, kuna balozi nyingi sana ambazo zipo hapa Tanzania na nchi zake ni za Kiislamu. Kama nilivyosema, mmeshataja baadhi ya mifano hapo juu.


Cha kushangaza, watu wanashindwa hata kupambanua kuwa wanachozungumzia ni madhehebu na si dini. Maana ukitaja Vatican na ukazungumzia dini, unaongelea U-Katoliki pekee na si Ukristo kwa ujumla. Kwa hivyo, kusema kuwa Vatican ni kwa manufaa ya Wakristo ni kupotoka kabisa, kama ni manufaa basi yatajwe kuwa ni ya Wakatolic.

Na Kama mtu anadai tufute uhusiano wetu na Vatican, basi pia tufute uhusiano wetu na Uingereza maana nayo inatawaliwa kwa misingi ya Anglican.
 
Wale waheshimiwa viongozi wa dini ya kiislam inabidi wasikilizwe na wao wajifunze uhalali wa kuwepo ofisi za kibarozi za nchi ambazo ni za kiislam hapa Tanzania (dar es salaam. Vinginevyo watakuwa ni wanafiki na hawatakuwa na hoja ya msingi ya kumshawishi mtu yeyote anayefikiri sawasawa.
 
Waislam hususani wa hapa Tanzania na baadhi ya nchi za Africa wasipokaa chini na kujiuliza kwa makini wanaweza kuendelea kuwa walalamishi kuwa wanaonewa na kujenga hoja dhaifu kila mara.

Tukubali tusikubali, matatizo ya Waislam yanasababishwa na dini yao kuwa na "Poor Institutional Capacity". Tukianzia katika utaratibu wao wa kupata viongozi, hawa watu hawana mfumo na miundombinu bora ya kujenga na kupata viongozi walio bora. Kwa mfano, tofauti na Wakristo, hakuna chuo chenye hadhi kinachotumika kumuandaa, kumjenga na kumuimarisha mtu ili aje kutumikia Msikiti kama Sheikh. Utakuta mtu anasoma madrasa kidogo na akishakariri Quran, tayari anakuwa Sheikh. Unakuta mtu elimu yake ni ya chini, hana elimu ya kupambanua mambo na IQ yake ni ndogo anakuwa Sheikh. Wakati mwingine mtu akiwa na pesa yake anajenga msikiti kisha yeye ndio anakuwa Sheikh. Tofauti na madhehebu mengi ya Kikristo, mtu anaandaliwa na anapikwa kielimu na kimaadili kwa muda mrefu hadi anaiva kuwa kiongozi.Hicho ndicho kinachowaangusha hawa wenzetu. Matokeo yake ndio hao tunaowashuhudia wakiropoka hovyo na kutoa hoja dhaifu.
 
The guy promised alot.He promised to bring down the Heaven but now stinks as Hell.Let him feel the heat alidhani usani unakua applicable kila mahali.
Kisa cha yeye kuongea maneno ya kinabii kwenye kampeni likua nini hasa.Hebu tumwache sasa aanze kutabiri ikiwezekana.JK namuonea huruma.
 
Haya....sasa subirini yule gwiji wa udini kupita wote humu aione hii mada...yaani hapa nilipo naona wapi hii inapoelekea...
 
Tatizo hutaki kuangalia ukweli kwamba kuna "slippery slope" hapo mbele, hii ya Mahakama ya kadhi itakuwa kama mvua itayoongeza huo uterezi. Mch Mtikila katoa "preview" tu ya nini kinachoweza kutokea kama mahakama hizi zikiruhusiwa. Sijasikia kwamba Waislam wa Zanzibar ni waislam sana kuzidi wale wa bara ati kwasababu tu wao wana mahakama ya kadhi. Kuna issue mingi sana za maana ndani ya uislam hapo bongo na nchi nzima kwa ujumla, na hii ya kadhi courts sidhani kama itajenga chochote cha maana zaidi ya kugawa watu. Kwanza nani kafanya-research kujua kwamba majority ya waislam wa bara wanataka hizi mahakama?? au ndio "udikteta" wa Bakwata!!? nani ana data kwamba waislam walim-vote kikwete ati miongoni mwa mengine ni kuahidi mahakama za kadhi kwa waislam?? Je hii si kwamba, watu wanataka kumweka Raisi na chama chake kwenye loose loose situation, wakti wakijua kwamba licha issue hii ni feasible lakini ni very diversive, kwa ajili ya political gains?.....baadae iwe raisi mbaya kwasababu kawapa waislam mahakama na wengine waseme mbaya kwasababu hakutimiza ahadi zake, na wengine waseme sisi mbona katubagua!!!!..........mwisho wa siku inakuwa chaos ya kisheria on top ya matatizo lundo ambayo tayari yanatukabili bila ahueni yoyote kwenye forecast. Ladies and gentlemen JUST SAY NO!!!!!.

Baba hizo ndio hoja za nguvu zenyewe kuwa mahakama ya kadhi haifai??? Mhh kazi ipo!!!!!

Bora uungane nami kusubiri sehemu ya pili ya makala ya mzee mwanakjj.
 
🙁
I have never and never will I understand Moslems and Christians in my life.These people think that ONLY them have all rights in this world over people of other religions.Yaani wakristo na waislamu ni wajinga sana na ni wabinafsi since time immemorial.Ni hiziz dini 2 pekee ambazo zimeua na kuibia watu wa dini nyingine kwa kisingizo cha "kueneza neno la Mungu",ni dini hizi hizi 2 ambazo zimewagawa watu wa bara la Afrika!!

Mzee wafikiri Watson alikosea sana??????
 
Hivi hawa waislam wakati mwingine mi wananiacha hoi. Wanafikiri wao ni akina nani mpaka kila wanachotaka wao kifuatwe every time, hata bila aibu wala kufikiri wanaenda kutoa hoja hafifu ambazo hazina hata chembe ya busara. Huyo papa wanayekataa asije wao ni akina nani, au akija anawabana nini? isitoshe hii nchi si yao pekee hata watoe mapendekezo ya aina hii. Jamani wwe wanafikiri kidogo kabla hawajalipuka. Pure non sense!
 
Why are they seeking attention every where now, and then? Badala waende maelezo wakaongelee mambo muhimu yanayohusu jamii yote, wanaishia bla, bla, oh papa, vatican,katukanwa mtume, KADHI,sijui nini. sHIIIIT
 
This is all sheer and pure bullshit,
Badala ya kuongelea mambo ya maana ni kwa jinsi gani watanzania tujikwamue na umasikini,maradhi na ujinga pia namna ya kuwabana wezi wa rasilmali zetu tunakaa kujadili mambo ya Kadhi na udini,kweli ndo maana Watson alikuwa sahihi kabisa (bokassa unanipata?),waafrika nadhani something is wrong with our intellectual make-up;Uislamu na Ukristo ni dini za kigeni,na actually ndo ambazo zimechangia na zinazidi sana kuturudisha nyuma na kutufanya tuwe watumwa wa tamadauni na ustaarabu wa wajanja wachache wa dunia hii,Waarabu na Wazungu,wakati wao hizi ni dini zao asilia (hasa hasa Waarabu na Uislamu) na zimewafanya wapore,kuiba na kutumis nguvu kazi za wajinga kama sisi na hviyo kuwasukuma mbele kimaendeleo,sisi tumeabandon dini na tamaduni zetu na leo hii tuko masikini wa kutupwa tukigombea misaada kutoka nchi "takatifu" hali hao jamaa wako comfortable kabisaaa.In fact I don't understand why should we keep on discussing dini za watu wengine badala ya kujitafutia maendeleo...Ohhh God Have mercy on Poor Africa...
 
mjomba Ibambasi thats why nimeanza kuelewa kwanini mchina alipiga marufuku makanisa na misikiti,angalia wanavyoendelea sasa,kazi tunayo kweli kweli!
 
Waislam hususani wa hapa Tanzania na baadhi ya nchi za Africa wasipokaa chini na kujiuliza kwa makini wanaweza kuendelea kuwa walalamishi kuwa wanaonewa na kujenga hoja dhaifu kila mara.

Tukubali tusikubali, matatizo ya Waislam yanasababishwa na dini yao kuwa na "Poor Institutional Capacity". Tukianzia katika utaratibu wao wa kupata viongozi, hawa watu hawana mfumo na miundombinu bora ya kujenga na kupata viongozi walio bora. Kwa mfano, tofauti na Wakristo, hakuna chuo chenye hadhi kinachotumika kumuandaa, kumjenga na kumuimarisha mtu ili aje kutumikia Msikiti kama Sheikh. Utakuta mtu anasoma madrasa kidogo na akishakariri Quran, tayari anakuwa Sheikh. Unakuta mtu elimu yake ni ya chini, hana elimu ya kupambanua mambo na IQ yake ni ndogo anakuwa Sheikh. Wakati mwingine mtu akiwa na pesa yake anajenga msikiti kisha yeye ndio anakuwa Sheikh. Tofauti na madhehebu mengi ya Kikristo, mtu anaandaliwa na anapikwa kielimu na kimaadili kwa muda mrefu hadi anaiva kuwa kiongozi.Hicho ndicho kinachowaangusha hawa wenzetu. Matokeo yake ndio hao tunaowashuhudia wakiropoka hovyo na kutoa hoja dhaifu.

Umeongea TRUE TUPU
 
I have never and never will I understand Moslems and Christians in my life.These people think that ONLY them have all rights in this world over people of other religions.Yaani wakristo na waislamu ni wajinga sana na ni wabinafsi since time immemorial.Ni hiziz dini 2 pekee ambazo zimeua na kuibia watu wa dini nyingine kwa kisingizo cha "kueneza neno la Mungu",ni dini hizi hizi 2 ambazo zimewagawa watu wa bara la Afrika na ni dini hizi ambazo zimechochea na zinazidi kuchochea chuki miongoni wa binadamu leo hii duniani.Hebu tutazame,hawa Waislamu wanadai Mahakama ya Kadhi ambayo itakuwa fully supported financially na Serikali ya Nchi katika kutekeleza kazi za dini hiyo tu.Does that make sense to any sensibly thinking individual?Yaani Budha au Mwanamalundi au whoever it may be achangie kusubsidize imani ya mwingine!!!

Hata hawa Wakristo na vivyo hivyo,huwa wanaibuka na madai yao ya ajabu tu,yaani nchi hii utafikiri ni ya Waislamu na Wakristo pekee...what about Hindus,Afrikan Traditionalists,Budhists,etc?Don't they have the same rights accorded to Christians and Moslems?Or is it because Islam and Christianity are the only "true" religions?

What sheer religious hipocrisy!!!

Ujinga huu inawezekana ukawa nao wewe.Hawa wakristo na waislamu kwa kudai mahakama ya kadhi au kukataa hawamanishi kuwa hii nchi ni yao pekee,ila wanamaanisha ni sehemu ya hii nchi.Hakuna wa kuwasemea hapa kama nyie wenyewe hamtaonyesha msimamo wenu.Waislamu wao wanataka mahakama ya kadhi.Wakristo wao wanasema hapana inakiuka katiba.Nyie wapagani,wahindu,wabudha mnasenaje? Sio kuja unaanza kuwaita watu wajinga eti tu kwa kueleza misimamo yao.Hawawezi kuwasemea kwani hawajui mnafikiri nini au mna msimamo gani!Labda mnamchango zaidi ya majibu hayo mawili.
 
Mzee Mwanakijiji Tanzania kuna Mashekhe wa aina mbali mbali na wengi wao wamesoma tu Qur'an lakini kwa bahati mbaya hawakusoma Biblia au Turat (Torah).

1.Ndoa kwa mfano imelezwa vizuri ni nani mtu aoe na ni wake wangapi. Vile vile talaka pia zimelezwa katika Qur'an na jinsi zinzvyotolewa.

2. Sasa Muislamu akioa mke wake wa Kikristo/Kiyahud katika ofisi ya Kiserikali inayohusika na ndoa hiyo Mahakama ya kadhi haitaitambua ndoa hiyo?

3. Kama Muslamu ana Life Insuarance yake na akafariki hiyo Mahakama ya kadhi itawarithisha vipi mke na wanawe?

4.Sheria za Life Insuarance zinataka mke apewe urithi na watoto. Lakini pengine aliyefariki ameandika statement maalum kuhusu urithi wake basi hiyo statement itafuatwa na Kampuni ya Life Insuarance kwa vile huo ndio WASIA WA MWENYEWE.

5. Katika Qur'an amendikwa kwamba mtu ukiona kwamba pengine siku zako za kufa haziko mbali umuachie mkeo posho la mwaka mmoja. Wangapi wanafanya hivi?

6.Watanzania wangapi ambao wanaifuata Qur'an kama inavyotakiwa?

7. Kuna vitu vingi ambavyo Mwenyenzi Mungu amevirahisha kwa waja wake. Kwa mfano mtu mwezi wa Rammadhani akiwa safarini anarusiwa kula na akirudi kwakwe azilipe zile siku ambazo hakufunga. Pia swala ya aduhuri na alaasiri anaweza kuzijumlisha akiwa safarini , Ishaa na Maghribi pia.

8.Kama mwenyewe Mnyenzi Mungu amarahisisha vitu kwa waja wake kwa nini sisi Watanzania tunataka kuvifanya vigumu?

9.Watanzania wangapi wanafuata Sunna za Mtume?,Waulize hao Mashekhe wa Tanzania Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa akiamka usiku na kuswali rakaa 11 za Swalat TAHJUUD na kumalizia na swala ya WITRI kabla ya swala ya Alfajiri(Asubuhi), ni wangapi kati ya hao Mashekhe wanaofanya hivyo?

TUSIVURUGE NJI KWA SABABU YA KUUNDA MAHAKA YA KWANZA!

"OBEY THE PROPPHET (Muhammad (S.A.W)) AND OBEY THOSE IN POWER".hii ni aya mojawapo katika Qur'an. "Those in Power" hapa ni serkali na mahakama yake.
 
Nyangumi, haki ya nani ibambasi yuko sahihi!!!!

Shida si kuwa na hizo dini, shida ni kutawaliwa nazo!!!

Hivi miungu wa afrika wako wapi waingilie kati????
 
Bokassa,
Uliyosema ni kweli nilisoma ile quote alofanya Ibambasi na maneno aloongeza pale chini,nilikosa mbavu.Maana ameiunganisha kitaalam.
 
Mzee Mwanakijiji Tanzania kuna Mashekhe wa aina mbali mbali na wengi wao wamesoma tu Qur'an lakini kwa bahati mbaya hawakusoma Biblia au Turat(Torah).


Dr. Khamis.. maswali unayoyauliza ndiyo maswali ambayo wale wanaotaka Mahakama ya Kadhi inabidi waweze kuyajibu. Zaidi ya yote, Mahakama za Kadhi zipo na zinafanya kazi na ni kweli zinatofautiana sana na hakuna modeli moja ambayo tunaweza kusema ndiyo iliyo kamilifu zaidi.

Kama utakavyoona katika sehemu ya pili ya makala yangu naamini ipo njia ya kuweza kuwa na mahakama ya kadhi pasipo kuogopa jambo lolote au kuhofia lolote hasa kama itaundwa kwa kufuata kanuni zinazoeleweka.
 
Back
Top Bottom