Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 43
Weka hapa ulichotaka kumwambia kwenye simu
Hana lolote huyo KALEWA KAHAWA ya kwa MTORO...... kazi kulalama tu na kuvuta jezi badala ya kukimbilia mpira.....
NDIVYO WALIVYO.......
Weka hapa ulichotaka kumwambia kwenye simu
No two countries are the same. Sisi si Kenya, Ethiopia au Afrika ya Kusini. Si kila wafanyalo wao linatufaa sisi. Kwa mfano, Afrika ya Kusini ina lugha zaidi ya moja ya kitaifa. Sasa na sisi tuamue Kisukuma na Kichaga navyo viwe lugha za taifa? Afrika ya Kusini hawana Waziri Mkuu. Sasa na sisi tumfutilie mbali Mizengo Pinda? Kenya wana wagombea binafsi lakini sisi hatuna.
Kumwomba Mungu amwadhibu mwanadamu mwenzio ni inverse religion. Kumtakia mabaya mwezio ni kutompenda, na hicho ni kinyume cha sheria za Mungu! Sasa mkiombea Tanzania mabaya na ikapata mafuriko makubwa mtafurahi?
Kama mnaombea CCM mabaya mbona zaidi ya nusu ya CCM yenyewe ni Waislamu?
![]()
waziri wetu wa Sheria na masuala ya katiba
Ametoa kauli ya kuliongopea Taifa wazi wazi kwa kudai kuwa Africa ya kusini kuna waislam wengi sana..ni uwongo hauhitaji kwenda mbali kulijua hilo
lakini background yake ikoje huyu waziri? kwa haraka haraka kumbe alizaliwa tarehe 30/5/1951
lakini more interestingly elimu take ya primary na secondary kumbe alisoma hapa:
St. Joseph's Convert Secondary School O-Level Education 1966 1969 SECONDARY
St. Joseph's Convert Primary School Primary Education 1959 1965 PRIMARY
sasa kwa issue sensitive ya kiimani kama ya kadhi he should have known better na kja na data za kueleweka lakini hilo yeye hakuona umuhimu wake aliamua kukurupuka tuu na kutoa kauli za uwongo usio na kifani
I hope wizara ya sheria inayo members wake humu hivyo watamfikishia habari kuwa tayari na yeye keshatundikwa Jamii Forums...atume watu wake waje humu kumjibia haya anayotuhumiwa na mengineyo....
watakuja tuu wakishaona bosi wao is part of the topics za leo, nyie subirini tuu
Mkuu Game theary nakuaminia..
Unajua mkuu ukiongea ukweli unauma.. washazowea hao. unafkiri ataweza kupokea simu? jawabu la mwisho utaambiwa is not reachable,we ngojea tu mkuu..
Mashekh wote wote waliomsomea Mrema dua kuzimu iliwapokea, wakamwacha anadunda.kamuulize mrema kilichomsibu nini kisha utaelewa
nyamaza wewe hujui ulinenalo..nenda shule kwanza..ni wkt sasa watanzania kuanza kupigania haki zetu za msingi kwa ajili ya maendeleo yetu na watoto wetu..sio upuuzi wa kadhi..ili mwarabu awaone nyie ni wa maana na mpate vimsaada mbuzi..nendeni shule nyie masheikh na waislam wengine ili tujikomboe..upuuzi wa mambo ya kadhi ni kwa wasiokwenda shule...
karibu mahakama ya miguu na mikono..! by the way mungu wa kweli hawezi kumdhuru mtu.! kama kweli mna uchungu na nchi hii waombeeni dua akina karamagi,rostam na manji..! hypocrite