Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

nyamaza wewe hujui ulinenalo..nenda shule kwanza..ni wkt sasa watanzania kuanza kupigania haki zetu za msingi kwa ajili ya maendeleo yetu na watoto wetu..sio upuuzi wa kadhi..ili mwarabu awaone nyie ni wa maana na mpate vimsaada mbuzi..nendeni shule nyie masheikh na waislam wengine ili tujikomboe..upuuzi wa mambo ya kadhi ni kwa wasiokwenda shule...
Sasa wewe chama chako cha CCM ndicho kiliwapa ahadi hao kuwa watapewa mahakama ya kadhi kumbe ni uongo mtupu. CCM ndio waseme na wawape mahakama ya kadhi then na hawa wakristo watadau mahakama za kanisa kwani kuna nini cha ziada hapa
 
chikawe.jpg

waziri wetu wa Sheria na masuala ya katiba​

Ametoa kauli ya kuliongopea Taifa wazi wazi kwa kudai kuwa Africa ya kusini kuna waislam wengi sana..ni uwongo hauhitaji kwenda mbali kulijua hilo

lakini background yake ikoje huyu waziri? kwa haraka haraka kumbe alizaliwa tarehe 30/5/1951

lakini more interestingly elimu take ya primary na secondary kumbe alisoma hapa:

St. Joseph's Convert Secondary School O-Level Education 1966 1969 SECONDARY

St. Joseph's Convert Primary School Primary Education 1959 1965 PRIMARY

sasa kwa issue sensitive ya kiimani kama ya kadhi he should have known better na kja na data za kueleweka lakini hilo yeye hakuona umuhimu wake aliamua kukurupuka tuu na kutoa kauli za uwongo usio na kifani

huyu ni mjumbe tu wa mzee wa kaya kwa hiyo kama unataka kumtupia lawama mtupie mzee wa kaya, mzee wa kaya akimwambia badilisha sema sawa kadhi atasema
au unakwepa kumtumia lawama mzee wa kaya kwa ajili ni muislamu
ukweli ndio huo...
 
Mimi nitawaomba hawa masheikh kuwa ktk hizo dua,ziwafikie mpaka hawa wa JF wanaoukejeli UISLAM..

Wewe hayo mambo hayaendi kirahisi namna hiyo wana JF wengine wana Yesu, ukitaka kujua tamu ya chungu kaulize kigoma mashehe walio msome albadri yule shee alie okoka Simba Ulanga woote walikufa mmoja wao alipoona wenzake wamekufa akajisalimisha kuokoka naye.
Hakuna kama Yesu.
 
Iam completely lost!

GT where are you? Jana uliflood several thread kwamba Mahakama ya Kadhi imeruhusiwa na PM Pinda, na kwamba walikuwa wakiendelea kula ubwabwa, sasa mbona naona wanao changia ni kama vile si kweli? what is not happening?
 
Ina maana gani kuwa na bunge? kama inaweza kupitisha jambo likaudhi kikundi fulani, serikali ikabadilisha,

ina maana basi serikali yetu haina msimamo, kumbukeni ile hoja ya kuondoa misamaha kwenye mashirika ya dini, mahaskofu walipochachamaa tu serikali ikabadilisha.

Kama wameshindwa kazi wajiudhulu tumuweke mtikila atuongoze.
 
Wewe hayo mambo hayaendi kirahisi namna hiyo wana JF wengine wana Yesu, ukitaka kujua tamu ya chungu kaulize kigoma mashehe walio msome albadri yule shee alie okoka Simba Ulanga woote walikufa mmoja wao alipoona wenzake wamekufa akajisalimisha kuokoka naye.
Hakuna kama Yesu.
Uwe na subira ndugu...wengine wapiganaji wazuri humu kupita (born muslim) tuwaombee wafahamu haki .
 
Game Theory,Masatu,Tumain,

..hii maana yake ni haswa?

..i thought Pinda amekubali kuanzisha Mahakama ya Kadhi.
 
Hizo dua zitawarudi wao kwa kuhimiza vurugu,wanachodai kipo kwenye sheria za nchi,washindwe na walegee.
 
Wanachoshindwa kuelewa waislamu ni kuwa, hakuna sababu yoyote kwa mujibu wa katiba ya nchi ya kuingiza mahakama ya kadhi katika mfumo wa serikali. Wao kwa kuwa wana uchungu na dini waanzishe tu serikali haijakataa lakini kulazimisha serikali ibebe mzigo tena kwa shinikizo la mpaka kulaani naona ni kama kupotoka na kutafuta umaarufu usio na msingi. Anzisheni wenyewe, serikali ibaki kama ilivyo.

Pili lazima waislamu watambue kuwa si kila anayepinga hoja ambayo wao wanaona inafaa eti ni lazima awe anauchukia uislamu. Hii ni hoja ya isiyo na mashiko. Katika jamii lazima kuwe na mawazo tofauti lakini haimaanishi kuwa asiyeunga mkono hoja yako ana chuki na wewe. Pengine wewe ndio unaweza kujikuta unajenga chuki na chuki ni uovu mbele za Mungu.
 
..nimefika mahali naona Waislamu wapewe tu Mahakama ya Kadhi.

..kama ni gharama mbona tunalipa mishahara na kutoa umeme bure kwa Zanzibar?
 
Serikali yetu ni makini,haiwezi kudabo vitu kwani sheria za kiislamu zipio kwenye sheria za nchi.
 
..nimefika mahali naona Waislamu wapewe tu Mahakama ya Kadhi.

..kama ni gharama mbona tunalipa mishahara na kutoa umeme bure kwa Zanzibar?

Kikwete na ccm wameanza kukumbatia mambo ya udini (maana ndiyo njia pekee iliyobaki ya kugawanya watu ili watawale forever) so tegemea hili litatokea tu bila kuchelewa.
 
chikawe.jpg

waziri wetu wa Sheria na masuala ya katiba​

Ametoa kauli ya kuliongopea Taifa wazi wazi kwa kudai kuwa Africa ya kusini kuna waislam wengi sana..ni uwongo hauhitaji kwenda mbali kulijua hilo

lakini background yake ikoje huyu waziri? kwa haraka haraka kumbe alizaliwa tarehe 30/5/1951

lakini more interestingly elimu take ya primary na secondary kumbe alisoma hapa:

St. Joseph's Convert Secondary School O-Level Education 1966 1969 SECONDARY

St. Joseph's Convert Primary School Primary Education 1959 1965 PRIMARY

sasa kwa issue sensitive ya kiimani kama ya kadhi he should have known better na kja na data za kueleweka lakini hilo yeye hakuona umuhimu wake aliamua kukurupuka tuu na kutoa kauli za uwongo usio na kifani

I hope wizara ya sheria inayo members wake humu hivyo watamfikishia habari kuwa tayari na yeye keshatundikwa Jamii Forums...atume watu wake waje humu kumjibia haya anayotuhumiwa na mengineyo....

watakuja tuu wakishaona bosi wao is part of the topics za leo, nyie subirini tuu

Kumshambulia Matt Chikawe kwa misingi ya imani yako wewe GT, is lurking on absurdity.
Ni vyema kama ungeonyesha dhahiri dhamira yako na ya wale wa aina yako kiligeuza Baraza La Mawaziri kuwa kikao cha Madrassa.
 
Mimi sijajua kisa cha kumweka huyu jamaa hapa , maana inabidi CCM yote ndio wa kulaumiwa na sio yeye. Yeye kama mtoa ujumbe tu, Baraza lote la mawaziri
 
GT,

"Wengi sana" ni relative, wewe ulitaka wawe wangapi ili ku qualify kuwa wengi sana?

http://web.uct.ac.za/depts/religion/documents/ARISA/2000_J_SA.pdf

If you want to make a case make a case, ukija una half step na vijineno tutakuona sawa sawa or even worse than the worst of Mwanakijiji.Tutakuona na wewe ni kama hao religious nuts unaowabonda kila siku. What's this preoccupation with uislam/ukristo? Mimi nilifikiri ume declare kuwa atheist mwenzangu, kulikoni?

Unataka kuwa worked up na mpango wa illuminati hawa? Kama unawashtukia basi njoo correct na vitu vya kueleweka, vitu vya GT wa siku zile u redeem credibility, hizi habari za kuja nusunusu, au kuja na witchhunt zisizoeleweka, au kuja na vistory vilivyo barely a case wakati kuna mi issue ya nguvu.
 
Last edited:
Back
Top Bottom