Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Mathias Chikawe asifikiri kwenda kwake kanisani na kutubia zambi zake kwa pengo sisi tunaelewa "itamcost"
 
chikawe.jpg

waziri wetu wa Sheria na masuala ya katiba​

Ametoa kauli ya kuliongopea Taifa wazi wazi kwa kudai kuwa Africa ya kusini kuna waislam wengi sana..ni uwongo hauhitaji kwenda mbali kulijua hilo

lakini background yake ikoje huyu waziri? kwa haraka haraka kumbe alizaliwa tarehe 30/5/1951

lakini more interestingly elimu take ya primary na secondary kumbe alisoma hapa:

St. Joseph's Convert Secondary School O-Level Education 1966 1969 SECONDARY

St. Joseph's Convert Primary School Primary Education 1959 1965 PRIMARY

sasa kwa issue sensitive ya kiimani kama ya kadhi he should have known better na kja na data za kueleweka lakini hilo yeye hakuona umuhimu wake aliamua kukurupuka tuu na kutoa kauli za uwongo usio na kifani

I hope wizara ya sheria inayo members wake humu hivyo watamfikishia habari kuwa tayari na yeye keshatundikwa Jamii Forums...atume watu wake waje humu kumjibia haya anayotuhumiwa na mengineyo....

watakuja tuu wakishaona bosi wao is part of the topics za leo, nyie subirini tuu
 
CCM hili ni suala lao. Ni sera ya CCM na watalitekeleza kwa jinsi wanavyotekeleza sera zao nyingine.

Gazet la mwananchi nalo siku hizi hii ndo sera yao? Naona na wao ni kadhi, ni OIC kwenda mbele!!
 
RA baada ya kupigwa mbele na nyuma kwenye ufisadi, ameamua kuzama kwa kadhi!! Mhhhh shame!!
 
Yule advocate MKONO ni muislam?

jibu swali

Kamuulize Mkono mwenyewe,

halafu labda nikupe siri, inawezekana hujui kuwa Mkristo sio jina. eti kwakuwa huyu anaitwa Edward, Joseph au Janeth basi hawa ni wakristo. Sio kweli, hata kidogo. Kwenye imani ya KIKRISTO, mkristo ni yule anayetekeleza taratibu zilizo ndani ya vitabu vitakatifu especially BIBLIA.
 
Hivi kwenye hili swala si linatakiwa kwnda kwenye katiba? Na mabadiliko ya katiba ni swala la wananchi wote? Sasa inakuwaje waziri mkuu anaweza kulitolea maamuzi kirahisi rahisi hivyo? au mimi ndo sielewi vizuri! Pse advise me.

sasa kwa mawaziri kama hawa kuwepo kwenye katiba unafikiri kuna chances zozote zile?

chikawe.jpg

waziri wetu wa Sheria na masuala ya katiba​

Ametoa kauli ya kuliongopea Taifa wazi wazi kwa kudai kuwa Africa ya kusini kuna waislam wengi sana..ni uwongo hauhitaji kwenda mbali kulijua hilo

lakini background yake ikoje huyu waziri? kwa haraka haraka kumbe alizaliwa tarehe 30/5/1951

lakini more interestingly elimu take ya primary na secondary kumbe alisoma hapa:

St. Joseph's Convert Secondary School O-Level Education 1966 1969 SECONDARY

St. Joseph's Convert Primary School Primary Education 1959 1965 PRIMARY
[/quote]

kazi kweli kweli
 
Kama dini yako inakufanya uwe mbali na Mungu wako iwache hiyo dini.
Kama dini yako inakufanya unamchukia binadamu mwenzako iwache hiyo dini haifai.
Kama dini yako inakufanya unabagua watu walioumbwa na Mungu hiyo dini si ya Mungu wachana nayo.
Kama dini yako inakufanya mnabishana na kugombana badala ya kufundishana wacha hiyo dini Mungu hayupo hapo.
Kama dini yako inakufanya unakuwa fisadi ikimbie hiyo dini sio nzuri.
Kama dini yako inakufanya unapendelea kwenye uongozi wako jua Mungu hayupo hapo.

Acheni ubishani wa dini hamtapata ufumbuzi, jadilini mambo yanayohusu jamii sio kikundi cha imani mwenye kuhukumu yupo juu kila mmoja anasiku yake. Ukiona dini inakuletea kero ungana na Mzee kingunge kanyaga twende haina ngwasu.
 
chikawe.jpg

waziri wetu wa Sheria na masuala ya katiba​

Ametoa kauli ya kuliongopea Taifa wazi wazi kwa kudai kuwa Africa ya kusini kuna waislam wengi sana..ni uwongo hauhitaji kwenda mbali kulijua hilo

lakini background yake ikoje huyu waziri? kwa haraka haraka kumbe alizaliwa tarehe 30/5/1951

lakini more interestingly elimu take ya primary na secondary kumbe alisoma hapa:

St. Joseph's Convert Secondary School O-Level Education 1966 1969 SECONDARY

St. Joseph's Convert Primary School Primary Education 1959 1965 PRIMARY

sasa kwa issue sensitive ya kiimani kama ya kadhi he should have known better na kja na data za kueleweka lakini hilo yeye hakuona umuhimu wake aliamua kukurupuka tuu na kutoa kauli za uwongo usio na kifani
 
Waislamu wangetoa MoU kama kanisa ingekuwa sawa tu, tatizo la waislamu wanashindwa kutetea hoja zao za msingi na kubaki kutumia nguvu kutetea imani yao. Imani inatetewa kwa hoja zenye mashiko, masuala ya kunyima kura 2010 sio point. Ilani ya CCM 2005 ilisema kuwa serikali ya CCM italishughulikia suala la MyK sio itaanzisha MyK. Leo hii watu wanalalama kuwa CCM ilihahidi kuanzisha, nani alisema hayo, kwahiyo ina maana waislamu waliichagua CCM 2005 ili waanzishiwe MyK pekee, haya mengine hayawahusu. Na sasa ndio nagundua kitu kumbe ndio maana hata kwenye vita ya ufisadi naona variations eeh!!
Hapo umedanganya ndugu! hatuna hata one presedent waislamu wakaomba kitu toka serikalini wakristo wasilalamike ntakupa mfano
a) waislamu wanaomba MyK kwa serikali siyo (kwa wakristo!) badala serikali ijibu wenyewe wakristo wanakaa kupinga madai ya waislamu as if tulipeleka madai kanisani i.e wivu, chuki, siasa kali?
b) wakiteuliwa viongozi waislamu hata kama ni ratio ya say 20 waislamu 80 wakristo utasikia udini why christians particualry maaskofu always wanalalamika ....(hii ni real ratio ya wakuu wa wilaya Tanzania bara) sasa udini ni upi???
c) wakristo walipoingia MoU tena kwa siri (waislamu serikalini walikuwa wanajua) lakni hakuna mtu aliyepiga kelele kwakuwa hatuna wivu wala chuki kama zenu....
"Kama nchi itaingia matatizoni wakulaumiwa ni maaskofu wa kikristo" wanapenda sana kupendelewa...
 
Duh! sujaona kichwa maji kama huyu Abdul-halim,tena huyu mtu tumuangalieni back-groud yake..hajui hata anachokiongea, yaani anatia kichefu chefu,hajui kama humu ni vichwa vitupu.. think b4 talk..
 
Kama dini yako inakufanya uwe mbali na Mungu wako iwache hiyo dini.
Kama dini yako inakufanya unamchukia binadamu mwenzako iwache hiyo dini haifai.
Kama dini yako inakufanya unabagua watu walioumbwa na Mungu hiyo dini si ya Mungu wachana nayo.
Kama dini yako inakufanya mnabishana na kugombana badala ya kufundishana wacha hiyo dini Mungu hayupo hapo.
Kama dini yako inakufanya unakuwa fisadi ikimbie hiyo dini sio nzuri.
Kama dini yako inakufanya unapendelea kwenye uongozi wako jua Mungu hayupo hapo.

Acheni ubishani wa dini hamtapata ufumbuzi, jadilini mambo yanayohusu jamii sio kikundi cha imani mwenye kuhukumu yupo juu kila mmoja anasiku yake. Ukiona dini inakuletea kero ungana na Mzee kingunge kanyaga twende haina ngwasu.

Naam kinepi_nepi hapa umenena, binafsi sio mtu wa kujadili dini lakini hapa kuna michango inayokera ambapo roho inanisuta nisipomwelewesha mtu, lakini naona no understanding. Ngoja nirudi zangu kwenye Mahusiano na Mapenzi nikatimize taaluma yangu niliyojipinda miaka. Hapa naona kuna watu wametumwa kubishana wamepewa muda na pesa hata ufanyeje hawakuelewi
 
Nitajie lawyer hata mmoja muislam aliyehusishwa na kesi za kifisadi

Kwani yule Mnkono ni Muislam?

hebu nipumzishe mie...mnataka sources from Masatu...vyenu mbona huwa hamtoi sources?

au ushasahau kuwa JF ni mabingwa wa exclusives?

GT unasumbuliwa na HANG OVER....... nilitegemea ungejenga HOJA badala yake unaingiza MoU ya wakristo na serikali tutafika????? is this JF of great thinkers?
 
haya ndio mambo ya uwafaya watu wajinga

sasa huyu waziri mzima wa katiba anaongopa mchana mchana...hivi kweli inahitaji shule kujua kama waislam in South Africa ni minority?

huyu MATHISA sijui MATAYO CHIKAWE alifikiri waislam hawajaenda shule au alifikiri kila mtu mjinga?

ngoja nitafute background yake huyu jamaa who knows usikute keshatoa kauli nyingi za kuongopa in the past maana kama anaongopa kwa hili lililowazi makes you wonder...

Kila tamko la serikali huwa linapitia Baraza la Mawaziri, usimlalie mzee wa watu bure!
 
Jana Mizengo PINDA alikutana na masheikh wakiongozwa na Mufti Simba ili kujadili mhahakama hiyo, na kukubalina kwamba inasemekna kwamba wamekubali serekali kuanzisha. taarifa hizi nilizipta kupitia sheikh Khamis Mataka kaytika kupitia Redio IMAN iliokuwa inarusha kipindi moja kwa moja kuadili mahakama ya kadhi ambapo masheikh walionyesha hasira kubwa kuhusu serekali kuwanyima mahakama hiyo. lakn waislam wawe makini kwani inawezekan tayari bAKWATA WAMENUNULIWA AU mTOA TAARIFA sHEIKH khamis Mataka amegeuza mabo

Mwanzo mlidemand kuona MoU ya kanisa na serikali mkasema wee ohh uzushi ohhh uzandiki sasa kiko wapi!!

On a flipside kuna mu aliniambia kuwa waislam wasilalamike...wenzao Kanisa walikuwa sharp na wajanja sasa what waqislam wanachokifanya ni same thing...u sharp tuu kama watu wakanisa walivyofanya

We HUSTLE in different ways[/QUOTE]
 
Duh! sujaona kichwa maji kama huyu Abdul-halim,tena huyu mtu tumuangalieni back-groud yake..hajui hata anachokiongea, yaani anatia kichefu chefu,hajui kama humu ni vichwa vitupu.. think b4 talk..

What do you mean? Ina maana hapa ndani watu hawana viwili wili
 
Back
Top Bottom