Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,976
Mimi nitawaomba hawa masheikh kuwa ktk hizo dua,ziwafikie mpaka hawa wa JF wanaoukejeli UISLAM..
Hizo dua hazijaanza kusomwa leo ndugu yangu, mapepo ambayo hupitia dini yenu huwa yanatimua mbio kwa Jina la Yesu na kwenda kutoa taarifa kwa mashekhe kwamba yameshindwa! Kajihangaishe tena kuwaeleza ili mapepo yao yaje yatimuliwe kwa mara nyingine!