Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Kwa sababu pendekezo langu jingine linaweza kuwa baya zaidi katika kufadhili hizi mahakama. Kwa hiyo hilo la kodi ni zuri sana.
 
Kama hiyo habari ni ya kweli,inakuwaje selikari igharimie,wakati hiyo mahakama itakuwa ni kwa waislam,kwani kodi si zinatolewa na watu wa dini zote?waachiwe waliozikomalia waziendeshe kwa gharama zao.
 
wizi ni tabia binafsi ya mtu ...si dini wala kabila...wala taifa!!

sasa mtafanya watu waanze kufuatilia majina ya vibaka wanaokamatwa kila siku au wazembe na wazururaji...tutafika kweli!!
wanaokula ban hapa JF wengi ni waisilamu....si unacheki NN,nyama hatari na yule YNIM...
 
hizo ni hisia zako. Tangu mwanzo nimeunga mkono uwepo wa mahakama ya kadhi kwani sina tatizo nazo kabisa. Tatizo langu lilikuwa ni juu ya uanzishwaji wake na gharama yake. Kwa vile imedokezwa (tusubiri hasa nini kimeamuriwa) kuwa serikali imekubali basi hatuna budi kutoa pongezi hizo. Sasa kutoa pendekezo la Kodi ni pendekezo tu linaweza kuangaliwa kufaa kwake na kutofaa kwake. Au wewe unaonaje kuhusu suala la kodi maalumu kwa Waislamu kugharimia Mahakama hizi?
Kwanini basi msisubiri kwanza au Kuiuliza serikali jinsi hiyo mahakama ya kadhi zitavyo endeshwa?

Mlolongo wote huu wa maneno yanatokea wapi? Kiasi ya kwamba watu wanaleta hoja ambazo hata haziingii akilini!?
 
Last edited:
Mwana Kijiji,
Ukiwa German, unauliza wewe ni dini gani na ukishasema dini basi unakatwa hela kila mwezi kwa ajili ya kugharamia misikiti/kanisa/sinagogi tempo nk nk. Naungana na hili kwamba, Waislam waanzishiwe kodi yao maalumu na pesa wapewe viongozi wao ili kugharamia dini yao. Na hili liwe LAZIMA kwa Waislam wote. Asiyetaka basi atangaze kabisa yeye SI MUISLAAM. Mtoto akililia wembe...... Ila mie kodi yangu kulipia kadhi wala kanisa sitaki. Ntatoa tu pale ninataka na si lazima. Ikibidi basi ntatangaza kuwa SINA DINI...................

Kwani wao wanataka kukata kutoka kwenye ushuru wa mama anayeuza SUPU Ya Lonando?? sijaelewa hapo kidogo
 
Mwana Kijiji,
Ukiwa German, unauliza wewe ni dini gani na ukishasema dini basi unakatwa hela kila mwezi kwa ajili ya kugharamia misikiti/kanisa/sinagogi tempo nk nk. Naungana na hili kwamba, Waislam waanzishiwe kodi yao maalumu na pesa wapewe viongozi wao ili kugharamia dini yao. Na hili liwe LAZIMA kwa Waislam wote. Asiyetaka basi atangaze kabisa yeye SI MUISLAAM. Mtoto akililia wembe...... Ila mie kodi yangu kulipia kadhi wala kanisa sitaki. Ntatoa tu pale ninataka na si lazima. Ikibidi basi ntatangaza kuwa SINA DINI...................
Wewe unafikiri kwamba kama vile waislamu hawataki kutoa kugharamikia dini ...hypothesisi yako ni "wrong" ni nguzo kufanya hivyo katika uislamu,
Lakini pesa za serikali (ambazo waislamu) wanachangia zisitumike kwaupendeleo kama kwenye MuO ya hila... kama haki bin haki mbona hatuna ugomvi na wakristo...
Maaskofu wenu wanakufanyeni tugombane wala christians have no problem "fedha mwanaharamu na maaskofu huyo ni mungu wao"
 
Kwanini basi msisubiri kwanza au Kuihuliza serikali jinsi hiyo mahakama ya kadhi zitavyo endeshwa?

Mlolongo wote huu wa maneno yanatoeka wapi? Kihasi ya kwamba watu wanaleta hoja ambazo hata haziingii akilini!?
ustaadhat una matatizo na H.....anyway sasa si muda mrefu tutaanza kuwaona mmekatwa mikono....
 
Mwana Kijiji,
Ukiwa German, unauliza wewe ni dini gani na ukishasema dini basi unakatwa hela kila mwezi kwa ajili ya kugharamia misikiti/kanisa/sinagogi tempo nk nk. Naungana na hili kwamba, Waislam waanzishiwe kodi yao maalumu na pesa wapewe viongozi wao ili kugharamia dini yao. Na hili liwe LAZIMA kwa Waislam wote. Asiyetaka basi atangaze kabisa yeye SI MUISLAAM. Mtoto akililia wembe...... Ila mie kodi yangu kulipia kadhi wala kanisa sitaki. Ntatoa tu pale ninataka na si lazima. Ikibidi basi ntatangaza kuwa SINA DINI...................

serikali kukata kodi waislamu haitakuwa halali....baadaye inaweza kuitokea serikali puani ..kama ilivyowatokea puani kwa kukamata fedha za deci[viongozi wa deci wanawaambia washiriki wakadai pesa zao serikalini]

serikali ikijiingiza kukusanya hii kodi inaweza kupata kashfa au hisia kuwa zinatumika kufanya majukumu mengine..au ikitokea zimefujwa na watumishi wa umma [TRA]..itasababisha mgogoro mkubwa...

Njia pekee ya makanisa au misikiti kutoza kodi ni ..SADAKA....hata maandiko yanasema...MISIKITI IWE WAKALA WA KUKUSANYA MICHANGO YA WAUMINI KUHUDUMIA MAHAKAMA HIZI.....viongozi wa dini wanajuwa utaratibu wao wa kukusanya michango kwa madhumuni mbali mbali...
 
kazi ipo kweli kweli. Kwani wa kuhukumumiwa huko ni watu wote au ni kwa ajili ya waislamu tu. Imani zao zinapingana na imani za dini zingine kwa hivi nadhani ni vyema kama ni kwa ajili ya waislamu tu na wao wanapashwa kuigharamia na si serikali mbona wakristu hawana mahakama ya kikristu sijui inaitwa nini. Safari tunayo kwa kweli sasa sijui ndio tumefika mwisho au ndio tunaanza safari
 
mnadai mnapiga vita ufisadi lakini walioimaliza pesa za EPA na waliofikishwa mahakamani ni akina nani?

kaangalie waislam wangapi na wakristo wangapi

Mahakama ya kadhi inakuja na wenye wevu wajinyinge

GT wewe ni ndezi tuuu
Waislamu walioiba EPA ni hawa hapa
J.Kikwete, Rostam, Karamagi, .....

Give me a break
 
Wajinga ndio waliwao
Utaumia sana, ukiwa huna hoja.
a) Fedha siyo za Serikali ni za walipa kodi...j
b) Je walipa kodi ni kina nani? (waislamu, wakristo, na wasio na dini),
c) Composition iko vipi? (35% 30% 35%) divide on pro-rata
d) kesi ngapi za mirathi na ndoa zimeshughulikiwa (wananchi waislamu) -release the fund from treasuary--just simple logic?
Tatizo mnafikiri kama waislamu siyo watanzania (shame)
 
Mkandara
Hebu jitokeze uniweke sawa kuhusu mahakama ya kadhi inafanya je kazi? ili nipate angalau kadira kiduchu.

Hivi yale machungwa yenu pale Nansio bado yapo maana nilikuwa mkwapuaji mzuri sana enzi hizo yalikuwa matamu sana ama kwa vile yalikuwa tu kwa mzee Mkandara
 
Utaumia sana, ukiwa huna hoja.
a) Fedha siyo za Serikali ni za walipa kodi...j
b) Je walipa kodi ni kina nani? (waislamu, wakristo, na wasio na dini),
c) Composition iko vipi? (35% 30% 35%) divide on pro-rata
d) kesi ngapi za mirathi na ndoa zimeshughulikiwa (wananchi waislamu) -release the fund from treasuary--just simple logic?
Tatizo mnafikiri kama waislamu siyo watanzania (shame)
Hata kama hutaki kukubali, serikali ikijiinhgiza kwa namna yoyote ktika kugharimia, waislamu hawatakuwa na choa... remember who pays the piper...
 
Back
Top Bottom