Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
- Thread starter
- #2,321
duh.. !! hongereni Waislamu kwa kupata mahakama yenu ya kadhi ambayo ilikuwa inazuiliwa na serikali ya CCM. Jambo hili ni la kujivunia kwani mmepata kile ambacho ni sehemu ya ibada yenu. Kutokana na hilo, nina uhakika serikali itaanzisha kodi maalum kwa ajili ya kufadhili mahakama hii (kama nikweli serikali itaigharimia); kodi ambayo Waislamu tu watatozwa. Hii itaondoa mgongano wa mahakama ya dini ya Kiislamu kufadhiliwa na makafir.