Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 346
duh.. !! hongereni Waislamu kwa kupata mahakama yenu ya kadhi ambayo ilikuwa inazuiliwa na serikali ya CCM. Jambo hili ni la kujivunia kwani mmepata kile ambacho ni sehemu ya ibada yenu. Kutokana na hilo, nina uhakika serikali itaanzisha kodi maalum kwa ajili ya kufadhili mahakama hii (kama nikweli serikali itaigharimia); kodi ambayo Waislamu tu watatozwa. Hii itaondoa mgongano wa mahakama ya dini ya Kiislamu kufadhiliwa na makafir.
Ingekuwa poa kama Mahakama hizo za Kiislamu zihukumu pia criminal offenses, ili kesi zote za aina zote za washtakiwa waislamu zipelekwe huko, ili wezi wao wakatwe mikono, wazinzi wapigwe mawe hadi wafe, wengine wakatwe vichwa...
Ikiwa hivyo ndio itakuwa poa, kwani wataanzwa kukatwa mikono akina Rostam... Mkulu naye je atapona hapo?
Hapo ndio haki yao itatimia. Inshallah...