Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Wakatoliki wana mahakama zao zinazoshughulika mambo mbalimbali yakiwemo mambo ya ndoa katika majimbo yao. Uko hapo?
Nipo wapi? kwenye upotofu wako? HAPANA!
Mimi ni mkatoliki na nakuhakikishia kuwa hakuna mahakama..Mambo yote ya kisheria yanayowahusu waumini yanaamuliwa na dola ktk taratibu tulizokubaliana waTz wote. Hakuna popote utakaposikia kanisa limemlipisha mtu faini au kumtia mtu jela muumini awaye yote kuhusiana na kadhia za jinai au madai popote pale.
Sasa labda utuambie kama wewe Babuyao umeanzisha dhehebu jipya linaloitwa ukatoliki..ambalo lina mahakimu na kuhukumu watu.