Niliwahi kuwashauri humu JF nashukuru ushauri wangu mmeufanyia kazi japo kabla ya kuhamia huko mlikokuwa mnapalilia,mlipokuwa mnapapigania,sehemu iliyokuwa inawafaa,chama kilichokuwa kinawafaa SHonza ulitoa kijitamko chenye kuwaudhi watu wenye akili zao,na tulijua ulikuwa ni ujinga unawasumbuahaiwezekani watu wote hawa wawachukie bila sababu,wawazushie bila sababu,wamekuwa wakiwaambia ya kweli juu ya usaliti wenu,juu ya njaa zenu,juu ya fitina zenu lakini mlikuwa mnabisha kwa kujidai wajanja kumbe wapuuzi mlioshindwa kuvumilia njaa zenu,leo yako wapi?mbona kama kweli yaliyokuwa yanawatoka mdomoni kujidai ni makamanda,wapigania haki na watu mnaochukia ufisadi mmeshindwa hata kuhamia CUF,TLP,UDP,DP,NCCR na hata kukijenga chama chenu cha CHAUMA.enendeni zenu enyi chui mliokuwa mmejivisha ngozi ya kondoo.FUNDISHO KWENU MJUE CHADEMA iko imara sana na itaendelea kuwa imara zaidi regardless wasaliti kama nyinyi ambao bado wamebaki.
Mngejua watu walikuwa wanawafuatilia mpaka wash room wala msingejifanya kuwaaminisha watanzania eti mnaonewa.MAGAMBA NYIE KWAHERI YA KUONANA