Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Mapandikizi wengine ni wakihamia huko ni kama wanasema "Sizitaki mbichi hizi" baada ya kuzirukia na kushindwa kuzifikia kama Sungura!!
 
Tumsamehe bure kwani si kosa lake bali ni tatizo la kusoma bila kuwa na mitaala inayotambulika; Shonza amesahau alikotoka na anako kwenda hapafahamu.
 
IS IT A RIGHT THING???Ooh no!KWA NCHI YETU ILIPOFIKA UKIONA MTU ANATOKA UPINZANI NA KUINGIA CHAMA TAWALA HUYO NI WA KUOGOPA KULIKO UKOMA.,"ILA KWA SASA TUNASEMA ENENDENI WANA NENDENI".Mlichowatendea WATZ HAWATAWASAHAU NA MALIPO STAHIL YAKE MTAYAPATA KAMA C HAPAHAPA DUNIANI HATA AKHERA.AMIN.
 
kweli njaa mbaya,cjui kutaka umaarufu na mwisho wa siku watapotea wote ktk siasa
 
Wameamua kumfuata kaka yao, NAPELILE MWANDOSYA, wanafiki waungane kuyazika maCCM
 
Maskini huyu mdada alikuwa ameishiwa kabisa angalia kifuani ni kama ana maziwa matatu jamani hata kasidiria ka mitumba kalikosekana ili angalau uwe smart kweli njaa mbaya
cheki kiblausi hakifungi anadhihirisha mshiko umepwaya
8E9U8493.JPG
Mkuu!
Totoz za Mbeya huwa na Nido kubwa sana, sijui kwaa nini hakuweka hata hiyo jeki,
Na huyo jamaa na suruali yake ka kakurupusho kutoka sitimbi, aise!
 
Kama wamelazimishwa kupiga picha vile,kweli usaliti ni mbaya sana hasa usaliti wa kuendekeza njaa.ngoja tuone whats next!
 
Hebu fikiria watu kama hao ndio tungesonga nao kwenye mbio za ukombozi wa taifa hili?

Na bado mtashuhudia makkubwa zaidi kwakuwa chama kinasafisha mtambo yake ya kazi hivyo lazma vipuri vibovu viondolewe na kuwekwa vipya!

Hongera Mbowe, Hongera Dr Slaa!
mkuu hapo mnaposema kuleta ukombozi ndo mnanichanganya kabisa ukombozi si tulishapata 1961 sasa mbona hayo matusi?
 
Mkuu!
Totoz za Mbeya huwa na Nido kubwa sana, sijui kwaa nini hakuweka hata hiyo jeki,
Na huyo jamaa na suruali yake ka kakurupusho kutoka sitimbi, aise!

Badala ya kujadili hoja unajadili upuuzi.
 
Mkuu!
Totoz za Mbeya huwa na Nido kubwa sana, sijui kwaa nini hakuweka hata hiyo jeki,
Na huyo jamaa na suruali yake ka kakurupusho kutoka sitimbi, aise!
si walikuwa huko utumwani wana wapotevu?? sasa wamerudi kwa baba watakula na kusaza:target:
 
1:hongera kwa kuvua gwanda na kuvaa gamba .
2:kwa unafiki wenu ccm panawafaa sana kwani nape ni baba wa unafiki kama ninyi

so big up
 
Wameamua kumfuata kaka yao, NAPELILE MWANDOSYA, wanafiki waungane kuyazika maCCM
hapana wametoka nchi ya wageni wameseka sana sasa wamerudi kwa baba:majani7::target::target:
 
Bwana mukubwa mlidhani mmetupa jalalani taka wenzio wameona almasi!!
Kuthibitisha hili cheki hii ni posti ya ngapi toka asubuhi(zaidi ya 430) na cheki hii:There are currently 755 users browsing this thread. (157 members and 598 guests)

All the best kwa kupata hiyo "almasi"!
 
i mic you so much TAYADI rudi kwa baba na wewe:target::target::target:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom