utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Ccm wampe shonza uongozi wa kuratibu vyuo mana kule anakubalika sana
Umipendeza mwee!! Sasa mboni umenuna??
CHADEMA chonde chonde muondoleeni Ben Saanane ile adhabu ya kuwa chini ya uangalizi kwa mwaka mzima kwa kosa la kuwataja viongozi inshu ya Masalia.
Amefanya kazi nzuri sana inayostahili kupongezwa na kila mpenda mabadiliko. Bado Masalia wengine Zitto aka Prezoo, Kitila Mkumbo Shibuda Gwakisa na wengineo
...m a k a p i !
upumbavu ni kuamini kuwa kila anayetofautiana na wewe ni mjinga
Naona matumizi ya kiswahili hayaeleweki.
Shonza alifukuzwa CDM.
NA kwa misingi hiyo hakuwa mwanachama wa chadema tena.
Sasa mtu akisema amehama,inabidi atuambie katokea wapi kwenda ccm?
Maana hajatokea chadema,katokea mtaani.
SHONZA KAJIUNGA NA CCM MANA HAKUWA NA CHAMA MPAKA ANAJIUNGA NA CCM.
Eowange-Upumbumbavu ni KUDHANI Kila anayetofautiana na MTAZAMO wako ni MJINGA au amekosea,na MPUMBAVU zaidi ni wewe unayedhani Kila unachokiona wewe Sawa,Sharti Kila Mmoja aone Sawa.KAMA NILIVYOWAHI KUMPONGEZA KAFULILA KWA KUONDOKA CHADEMA NA KUAMUA KUFANYA SIASA NJE YA CHADEMA,NARUDIA KUMPONGEZA SHONZA NA MWAMPAMBA KWA KUAMUA KUFANYA SIASA NJE YA CHAMA CHAKO.
Usiwe mjinga wewe,
Hata mama yako mzazi ukimuangalia utaona ana mtindi, sio heshima kumdhalilisha mwanamke , au huna mama au dada?
Nyambaf wee!
Mtamaliza maneno yote,laana wameiacha Chadema.Mtafukazana mpaka zibaki meza na viti mtaa wa Ufipa.Wajalaana, wanakwenda sepeni zenu mbafu..
Walikuwa wanaimba mwimbo wa VUA GAMBA VAA GWANDA leo hii walivuliwa GWANDA wameenda kuvaa GAMBA du! ni aibu kwa vijana hili GAMBA litawakaba hadi watajilaumu kwa huo uamuzi wao sura zao zenyewe zinaonyesha uhovu waliozifanyia nafsi zao.I can see the guilty mind through their desperate face.![]()
![]()