Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Ndugu zangu tusiwalaum Shonza na mwenzake mimi nawaunga mkono isipokuwa bora wangeenda NCCR kuliko huko kwa MAGAMBA.Dk slaa ni mbinafsi sn na wasipoangalia wengi watatimka.Nahisi babu uzee unamsumbua,otherwize vijana wako sahihi.
hustahili kuitwa apetizer labda uitwe kibaka
 
Kazi waliyotumwa wamemaliza (regardless imefanikiwa ama la) sasa wanakwenda kuvalishwa taji.

Bahati mbaya wameenda kuvaa taji la miiba without their knowledge. CCM ilishafanya mbwembwe kama hizi kwa Tambwe Hiza na Dr. Walid, wako wapi leo?
 
Tunashukuru, sasa tutapumua na kujenga chama. Eti kapokelewa na Mwenyekiti wa ccm taifa...so what??? Mwenyekiti mwenyewe Kikwete huyu kilaza? Hakuna kitu, kama anaota kuwa atapata madaraka kama aliyokuwa nayo CDM, ataisoma, naamini kuwa ataikumbuka CDM, huko jina lake limekufa. Safari njema mamaaa!!!
 
Alijidhihirisha mapema sana kuwa yeye ni Gamba,ilikuwa hainiingii akili kwa matendo ya Shonza kuona eti naye yuko CDM tena kiongozi mkubwa ktk taasisi ya vijana,NO WAY ni afadhali uongo na ukweli umejitenga asubuhi tu,jamani ukamanda ni kazi ngumu sana kwenye mazingira ya njaa.na hakika tutawamaliza wale wote mliojificha kwenye gwanda.jiondooeni mapema tukiwagundua wengine waliojificha ficha tutatafuta njia nyingine ya kuwaadabisha,tunapimia upepo tu wa Shibuda na wenzie ambao wameshajulikana,ila kama kunawaliojificha tukiwanasa ama zao ama zetu,maana dkk hizi ni za majeruhi then tutaingia mwaka wa uchaguzi
 
Tangu izaliwe Chadema, sijawahi kuona wala kusikia na ninaamini CCM haina historia ya kuwatumia kisiasa wanachama wake waliojiunga kutoke chadema!

RIP masalia katika ulimwengu wa siasa nchini
Kamanda Yeriko hawajatokea chadema bhana ni watu waliopigwa talaka tatu shauri ya umala....wao na sasa ni ruksa tu kurukiwa na yule jamaa aliyefumaniwa igunga naskia na zana ashanunua kwa ajili ya kujisevia yule manzi.....
 
Heko vijana kwa upeo wenu mzuri.mna nafasi nzuri ya kuongoza mabadiliko ya nchi hii kupitia chama hiki cha wanyonge.kule mlipotea.kule mnyonge ,mkulima,mfanyakazi hana nafasi.
 
Hakuna kitu kibaya kama njaa duniani.
Hawa wote wanadhani watapata umaarufu huko kwa kusema mabaya ya cdm?Huko sasa wamekwisha.Wangejiuliza ni vijana wangapi huko hawapati sauti?Kwa mdomo mchafu alionao Shonza huko ccm watamtimua au kumkolimba.
Kama wanapenda kuishi wakae kimya.Najua Mwigulu atakuwa anatembea nao kila mkoa kueneza mabaya ya cdm.
Njaa inaweza kukufanya umsaliti mke, mama yako,mume wako,familia yako,rafiki yako na hata jamii nzima.Njaa haina uvumilivu.Ndicho kilichowatokea hawa vijana.Na hawatapata nafasi ya kugombea ubunge kama wanavyofikiria.Kwa sasa labda wasubiri fadhila za ukuu wa wilaya na wakikaa ovyo wataishia kusugua benchi.Yuko wapi Tambwe Hizza?Ana umaarufu wowote?Amefurukuta kuandika makala nyingi magazetini lakini hajapata hata ukuu wa wilaya.Tupo hapa tuwasubiri.Shonza atakuja tu kujikosha hapa.
 
Ni vizuri akijua CCM kuna changamoto za kutosha labda kuliko CDM kwa hiyo ajiandae kuzikabili.
 
Sasa mimi naona mnaenda mbali sana kusiana na huyo Juliana,katumia uamuzi wake kujiunga na chama tawala.Watu wana njia nyingi za kutoka kimaisha ameona huku mnambania sasa milango imefunguka upande mwingine.Hivyo mlango umefunguka kwake acha atimize ndoto yake kwani hakuna anayejua kilichomo moyoni mwake.Na kubwa zaidi usishangae akaapishwa kuwa mbuge bunge la bajeti.teh!teh! chezea ulaji wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Vicky kamata mwingi huuuyoo.rais wetu ni handsome baaana.ushamba wa shonza kajimwaga kilaini.asanteni mwenda kwao si mtoro.hiyo ni vitu maalum ya mkuu na sio viti maalumu.hilo rapa kifuani unamgusisha makusudi eeeh?
 
natofautiana na wana jf waliyochangia. isiwe "sizitaki mbichi hizi!" juliana alikua kiongozi bavicha. alikua na msimamo wa kuwakosoa viongozi wa juu hasa slaa na mbowe. sidhani kama hili ni kosa. inapotokea mwanachama anahoji jambo asiloridhika nalo asikilizwe.

baada ya kumkosoa slaa alionekana ni mhalifu, mtovu wa nidhamu, msaliti, kibaraka wa ccm......... siasa haiendi hivyo! kwa upande wangu naona kuwa ni pigo kubwa kwa chdm juliana kujiunga na ccm. chdm ijenge utamaduni wa kuwasikiliza wanachama wote. utukufu wa slaa na mbowe uhojiwe. tukiendelea kuwaacha watukufu, chama kitakufa

Hivi kwanini watu mnakuwa na vichwa butu namna hii? mbona hampendi kufatilia habari bali kudandia hoja pasipo hakika? kwa taarifa yako juliana shonza na mtela mwampamba walishafukuzwa uanachama wa chadema kabla hawajahamia leo kwenye chama chao halali ccm! au hukuona barua ya mwampamba humu jf ya kukata rufaa kufukuzwa uanachama? cdm walishawang'amua mapema wakawapiga chini mapemaaa! kwa hiyo wale hawakuwa na chama ni ''vinyesi'' vya chadema ambavyo ccm wameamua kula!! next time uwe na kumbukumbu ya matukio yaliyopita ili uweze kujenga hoja sahihi!!
 
Uchafu kama huu hautakiwi CDM, Tunawatakia safwari njema! Ovyooo....!!!
 
Ahaha vijana wenzangu awajaiva ukacheleo unasomea ukiongeza na juhudi binafsi.
 
Maskini huyu mdada alikuwa ameishiwa kabisa angalia kifuani ni kama ana maziwa matatu jamani hata kasidiria ka mitumba kalikosekana ili angalau uwe smart kweli njaa mbaya
cheki kiblausi hakifungi anadhihirisha mshiko umepwaya
8E9U8493.JPG
 
Yericko Nyerere;

Bila shaka haya ni cha mtoto!

Nahisi mapandikizi ni mengi sana!

Viva Chama cha Demokrasia na Maendeleo.


Hebu fikiria watu kama hao ndio tungesonga nao kwenye mbio za ukombozi wa taifa hili?

Na bado mtashuhudia makkubwa zaidi kwakuwa chama kinasafisha mtambo yake ya kazi hivyo lazma vipuri vibovu viondolewe na kuwekwa vipya!

Hongera Mbowe, Hongera Dr Slaa!
 
Last edited by a moderator:
Huo ndo mpango mzima wa sisiemu, uvurugaji. Hata hapa mORO kuna habari kuwa Nnape ameongea na aliyekuwa mgombea wa CDM uchaguzi uliopita na kundi lake wakijiita M23.... Ovyo.... ni mamluki tu....
 
Daima mke anapotaka kuasi huendesha dharau kwa mume na ana kiburi sana kipindi hicho. Yameshajiri....
 
Taarifa zilizopatikana muda huu ni kwamba JUliana Shonza na Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mbozi mashariki(MTELA ALLAM MWAMPAMBA) wamehamia CCM NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA RaisKIKWETE

Tukio la kuwapokea vijana hao limefanyika Dodoma mbele ya Rais wa nchi (MWENYEKITI WA CCM TAIFA) Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.

Vijana hao ambao wameteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa, Wamepewa nafasi ya kutoa ushuhuda wa kile kinachofanyika ndani ya CHADEMA. Kila mmoja ametoa ushuhuda wake kadri alivyotendewa na yanayotendeka ndani ya CHADEMA.

Mapokezi yao yamekuwa makubwa sana kutokana na kuunganishwa na shughuli zingine za kichama zinazomalizika muda si mrefu.

Taarifa zaidi itakujia nikifanikiwa kupata VIDEO nitaiweka, Dr J.Kikwete awapokea rasmi muda huu,,!!




919665090.jpg

Juliana Shonza akijitambulisha kwa wana CCM leo tarehe 12/2/2013, katika Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma
​

119763348.jpg

Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM, wakati wa sherehe za utambulisho wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM.
​

700794081.jpg

Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Rais Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya wa CCM, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba, kushoto kwenye picha ni Makamu Mwenyekiti CCM-Bara ,Ndugu Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana.

​


​

Mungu uwa hamfichi mnafiki hata mara moja, uwa wanafahamika mapema na tena kwa urahisi sana. Haya ni matunda ya unafiki na uchawi. Hawa ndio waliokuwa wanasema kuwa wanaonewa ndani ya CHADEMA. Hivi inaingia akilini kabisa? Mimi nashukuru sana kwa hawa watu kuhamia CCM, wamedhihirisha kile walichokuwa wanakifanya ndani ya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom