uraia wa uingereza uliukana lini?Karibuni nyumbani
Tender ya TBS ilikufanya ujifanye kusema ccm wamejenga barabara kuliko za UK kisa ili ubwebwe kwenywe ile zabun. mtoto wa kiume huoni aibu kupapatikia wanaume ili upate kula mwishoni utapakatwa jitambue.Karibuni nyumbani
![]()
unafiki in 3-D.
Taarifa zilizopatikana muda huu ni kwamba JUliana Shonza na Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mbozi mashariki(MTELA ALLAM MWAMPAMBA) wamehamia CCM NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA RaisKIKWETE
Tukio la kuwapokea vijana hao limefanyika Dodoma mbele ya Rais wa nchi (MWENYEKITI WA CCM TAIFA) Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.
Vijana hao ambao wameteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa, Wamepewa nafasi ya kutoa ushuhuda wa kile kinachofanyika ndani ya CHADEMA. Kila mmoja ametoa ushuhuda wake kadri alivyotendewa na yanayotendeka ndani ya CHADEMA.
Mapokezi yao yamekuwa makubwa sana kutokana na kuunganishwa na shughuli zingine za kichama zinazomalizika muda si mrefu.
Taarifa zaidi itakujia nikifanikiwa kupata VIDEO nitaiweka, Dr J.Kikwete awapokea rasmi muda huu,,!!
![]()
Juliana Shonza akijitambulisha kwa wana CCM leo tarehe 12/2/2013, katika Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma
![]()
Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM, wakati wa sherehe za utambulisho wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM.
![]()
Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Rais Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya wa CCM, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba, kushoto kwenye picha ni Makamu Mwenyekiti CCM-Bara ,Ndugu Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana.
Huyu ana hadhi ya kupokelewa na mwenyekiti taifa? Kikwete unaidhalilisha hadhi yako.
Kwangu mimi kiongozi anayehamahama chama ni ishara ya udhaifu. Ni upuuzi na upuuzi wa hali ya juu kushangilia ujio wa mwanachama anayetoka chama kingine.
Maskini, Prezoo aliwaingiza mkenge ngoma ilipokolea yeye aliyehamasisha wenzake kuwa wasicheze akaingia na kuwa wa kwanza kuonyesha ufundi sasa watoto wa watu hawa wafanye nini ????
Ila naona kama Zambi Godfrey kapewa ujumbe kuwa jimbo linaondoka