Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Kinana anamthaminisha binti kwa makini kwa sababu kuanzia leo watakuwa naye pamoja kwenye msafara wa ziara za chama chao.
8E9U8493.JPG
 
Funza hutokea pale anapoingilia. Shoza na Mwampamba walikuwa funza waliongia Chadema kama mapandikizi na wametoka kwa aibu!!! Saanane wa completely right!!!
 
Kila laheri kwenye chama cha kijani msalimieni Nakaaya!!!!!!!

Nakaaya amekimbia mambo ya siasa baada ya kuzomewa kila mtaa anaopita hapa arusha.
kwa sasa anapendelea kukaa bar hasa za maeneo ya njiro na kuomba bia kwa kila atakayemsalimia.
 
kweli CDM kiboko, waliwawahi sio, maana hii mipango ni yamuda mrefu sana

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waliokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA.Kushoto anayevaa kofia ya CCM ni aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa tiketi ya CHADEMA Bwana Mtela Mwampamba na kulia ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA Bi Juliana Shonza.Weninge katika picha ni Katibu mkuu wa CCMNdugu Abdulrahman Kinana(kulia) na kushoto ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula.(picha na Freddy Maro).

TUESDAY, FEBRUARY 12, 2013 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG

8E9U8493.JPG
 
Mama K, ni kama nakuona kwa kushoto nyuma ya hii ndume inayoingia vyama kukinga njaa. Nakuona unachungulia kwa makini sana. Ni vyema ukaanza kuweka ile miwani inayona mbali kwani hicho cheupe kilichosimama kando ya hiyo ndume ya nyumbani ni hatari sana, hata simama yake ni ushahidi tosha kukipeleka mabepande. Unaona kilivyoegemea hiyo nduma. Kwani hata ushikaji wenyewe huu sio wa kisiasa ni wa kima.... Tena unaona GANGER ZONE imewekwa katika moyo wa msee. Hivi huoni hata ile Katibu Mkubwa inaangalia kwa mshangao? Hii musichana ni Dangerous imeshindwa kudema sasa inataka kusisima. Hii yote NJAA TUPU. Pole msee na Pole sana musichana.
 
Katika kile kinachoitwa ni kujidhalilisha na kuonyesha wazi kwamba kuna baadhi ya vijana wanatumiwa na ccm ya ben saa nane yametimia leo pale shonza na mwenzake bila aibu wameamua kujionesha wazi kuwa wapo tayari kuuza UTU wao na KUWASALITI watu wanyonge. Kila mtu mwenye akili timamu sasa hivi atakuwa nazungumzia masuala ya musatakabali wa taifa letu katika nyanja za kiuchumi ,kisiasa na kiutamaduni. Ni dhahili kwamba ccm imeshindwa kushughulikia matatizo ya wananchi imebaki kuiongezea nchi madeni makubwa ambayo yatalipwa na wananchi masikini na sio walioficha fedha uswisi. Kwa unafiki waliouonesha akina shonza kama vijana hakika watalipwa na mungu maana hiyo ni dhambi yenye adhabu stahiki. Vipaza sauti na waandishi alioambatana nao shonza wakati akiwa BAVICHA ni UNAFIKI mtupu,harakati alizozifanya akiwa BAVICHA kutetea wanyonge hasa wanafunzi wenzake wa kike wa elimu ya juu dhidi ya udhalimu unaotokana na serikali ya ccm ni unafiki mtupu,matamko na maonyo dhidi ya wala rushwa wa nchi hii ni unafiki mtupu nakosa jibu huko mlikohamia mnakufahamu?CCM mlikoenda ndiyo chanzo cha wizi na ubadhilifu wa mali za umma,UFISADI(AMBAO HATA NAAPE NNAUYE UMEMSHINDA SASA HAUZUNGUMZII TENA),DHULUMA DHIDI YA WANANCHI(MFANO kilichotokea katika bomba la gas ya mtwara), MABILIONI YA USWISI, UKOSEFU WA AJIRA kwa vijana, wizi wa tembo na mengine mnayoyajua. Wale mliowaponda siku zile leo wanawafaa...KUMBUKENI kwa imani zenu mtakapokuwa mmeshika vitabu vya dini mkimuomba mungu mnamuomba kwa lipi maana hata roho zenu si safi..unafiki wenu mliouonesha katika macho ya binadamu wenzenu kwa mungu ni njia ya kuelekea jehanamu...hata mkikesha mnaomba hamtasamehewa dhambi hii....HUKO MNAKOENDA MNAKUFAHAMU?ULAFI WENU umezidi kuyaweka pabaya maisha ya wanyonge wa tanzania....Patric lumumba,steven biko,chegue vara,mwalimu nyerere,nelson mandela na wao wangekuwa na roho kama zenu....leo hii tusingewakumbuka....HAKIKA MLIKOKWENDA HAMKUFAHAMU..MUULIZENI WILSON MUKAMA NA NAPE NNAUYE....
 
Ila ccm imefanya haraka sana kuwaonesha hawa watu,Juliana wiki iliyo pita alitoa tamko kuwa anataka kugombea uenyikiti wa bavicha taifa na alisema bado mwana chama wa CDM,leo zimepita siku tano au sita toka kuhojiwa na gazeti la mtanzania,anapokelewa na CCM,sijuiiii ngoja tuone kinachoendelea,maana vijana wa siku hizi wanavituko sana.
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waliokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA.Kushoto anayevaa kofia ya CCM ni aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa tiketi ya CHADEMA Bwana Mtela Mwampamba na kulia ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA Bi Juliana Shonza.Weninge katika picha ni Katibu mkuu wa CCMNdugu Abdulrahman Kinana(kulia) na kushoto ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula.(picha na Freddy Maro).

TUESDAY, FEBRUARY 12, 2013 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG

8E9U8493.JPG

Hawa vijana wangekuwa wamepolewa na vijana wenzao wa CCM (UVCCM) ningeelewa. Lakini kwa rais wa nchi (Mwenyekiti CCM-Taifa), Makamu mwenyekiti na Katibu mkuu kuwapokea vijana hawa inaonesha tatizo kwenye thinking ya CCM!

Inaenesha ni jinsi gani watu wazima wanawatumia vijana kwa manufaa yao ya kisiasa. Shonza, hadi siku 10 zilizopita alikuwa anasema kuwa anapanga kugombea uenyekiti BAVICHA, leo hii yuko CCM, tena na safu ya uongozi wa juu wa CCM! Ni lini alibadili msimamo wake wa kuhama chama na kujiunga CCM? Na ni lini maombi yake ya kujiunga CCM yalifika kwa uongozi wa juu (CCM)?
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waliokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA.Kushoto anayevaa kofia ya CCM ni aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa tiketi ya CHADEMA Bwana Mtela Mwampamba na kulia ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA Bi Juliana Shonza.Weninge katika picha ni Katibu mkuu wa CCMNdugu Abdulrahman Kinana(kulia) na kushoto ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula.(picha na Freddy Maro).

TUESDAY, FEBRUARY 12, 2013 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG

8E9U8493.JPG

Cheki mama salma anavyowashanglia kinafki au anawacheka.r.i.p shonza na mwampamba
 
Hongereni Shonza na Mwampamba. Huko ndiko mlikostahili kuwemo.

Ni kweli kuwa mlikuwa CHADEMA kimwili lakini kiroho mlikuwa CCM. Vipi Shonza kuhusu matamko yako kuwa wewe bado ni mwanachama wa CHADEMA na M/Kiti wa BAVICHA kulikuwa na maana gani? Baada ya sherehe na majukumu mapya tafadhali unijibu mdogo wangu.

Nawatakia safari njema ktk mtumbwi wenu huo mchakavu!
 
Hongereni Shonza na Mwampamba. Huko ndiko mlikostahili kuwemo. Shonza sijui kule kujitapa kwako kuwa bado ni mwanaCHADEMA na M/Kiti wa BAVICHA kulikuwa na maana gani.

Safari njema ktk mtumbwi wenu huo mchakavu!
Nia ilikuwa kuwavuruga tu ili mtokwe mapovu
 
Back
Top Bottom