Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Kumbe dada shonza povu lilikuwa linakutoka ukidai ww bado m/kiti wa bavicha,imekuwaje sasa umeibukia chama cha majangili??,viva CDM hawa chawa wangehama kabla hamjawafukuza wangechachua sana chama chetu,ila kwasasa kila baya watakalo sema juu ya cdm wataonekana mazuzu tu
 
ni sawa na kutarikiana na mmeo /mkeo then baada ya wiki moja tu unatangaza kuoa au kuolewa - jamii itakushangaa na pia nafsi yako itakusuta kwani utaonekana wazi kuwa ulilikuwa unatoka nje ya ndoa.
 
Hebu angalieni kwa makini picha hii


attachment.php

We unaiona?
 
Hebu angalieni kwa makini picha hii


attachment.php

Umeonaeee...Namuona mama Mwanaasha akichungulia kwa Mbaaali na kwa uchungu ....pole zake...lakini si anamjua huyu au wivu hauzoeleki? chezea shonza wewe!!
 
Ni umburula kudhani vyama vya siasa ni wazazi,shonza na mwampamba wanahaki ya kwenda kokote watakako,ili mradi nafsi iamini tu kwamba huko aendako atapata akitakacho,kukejeli au kutukana hakuna tija.nawapa hongera sana kwa maamuzi yao,wametii haja ya nafsi zao.

Usiwe mpumbavu wana haki ya kwenda popote hata kama wanakosea? Mbona una mawazo finyu kwa hiyo walitumwa kazi maalum Chadema na wameshindwa kuitekeleza hivyo wamerudi kwa mwajiri wao? VIJANA NA MNAOJIITA WASOMI WA TANZANIA NJAA ZITAWAUA KAMA NDIVYO MLIVYO kalaghabaho
 
kwani hilo ni ajabu,pesa walianza kupewa muda sasa.Ni kodi zetu wamehongwa hawa chini ya mbunge 1 na waziri ili waje kupiga picha na mku wa nchi.Aibu kwako JK.
 
Huo ndo ulikuwa utabili wa Wasira kifo cha CDM? ama kweli siasa zao zimefikia ukingoni- mwisho wa kufikiri na janja y ccm. Hawana hata aibu hawa jamaa. CDM hongera sana kwa ushindi huu. Nasubiri magazeti kesho.
 
CHADEMA chonde chonde muondoleeni Ben Saanane ile adhabu ya kuwa chini ya uangalizi kwa mwaka mzima kwa kosa la kuwataja viongozi inshu ya Masalia.

Amefanya kazi nzuri sana inayostahili kupongezwa na kila mpenda mabadiliko. Bado Masalia wengine Zitto aka Prezoo, Kitila Mkumbo Shibuda Gwakisa na wengineo
 
Last edited by a moderator:
They've made my day sweeter for proving once and for all their true colors!

Pongezi za dhati kwa CHADEMA, kama taasisi mmeonesha nia, uwezo na msimamo tokea wale madiwani wasaliti wa Arusha mpaka sasa.

Kwa waliobaki chamani kwa sasa kama Shibuda wanajua siku yoyote shoka litaangukia shinani na ndio utakuwa mwisho wao CHADEMA.
 
Eowange-Upumbumbavu ni KUDHANI Kila anayetofautiana na MTAZAMO wako ni MJINGA au amekosea,na MPUMBAVU zaidi ni wewe unayedhani Kila unachokiona wewe Sawa,Sharti Kila Mmoja aone Sawa.KAMA NILIVYOWAHI KUMPONGEZA KAFULILA KWA KUONDOKA CHADEMA NA KUAMUA KUFANYA SIASA NJE YA CHADEMA,NARUDIA KUMPONGEZA SHONZA NA MWAMPAMBA KWA KUAMUA KUFANYA SIASA NJE YA CHAMA CHAKO.
 
Ukichaa uliokubuhu kwa wanaojidai wasomi,alitangaza kwenye Press kwamba yeye Juiana Shonza bado ni kiongozi Cdm kumbe ni kutaka abembelezwe,hebu endelezeni majungu huko kwa kugombea madaraka au mchafueni Kikwete kama mlivyokuwa mkifanya kwa viongozi wa Chadema ili mpewe posho na viongozi hao
 
Back
Top Bottom