Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Baada ya kushindwa kuvuruga cdm wamerudi kwa muajiri wao.
 
Naona matumizi ya kiswahili hayaeleweki.
Shonza alifukuzwa CDM.
NA kwa misingi hiyo hakuwa mwanachama wa chadema tena.

Sasa mtu akisema amehama,inabidi atuambie katokea wapi kwenda ccm?
Maana hajatokea chadema,katokea mtaani.
SHONZA KAJIUNGA NA CCM MANA HAKUWA NA CHAMA MPAKA ANAJIUNGA NA CCM.

Ha ha ha!! Asante sana kwa hili!!! Umekuja kumsemea!!! Unajua statement zake hapa kuwa alisema kuwa yeye ni mwanachama halali wa CDM wakati akilialia hapa jamvini? Mods tunaomba mtuwekee zile thread za Julina Shonza hapa akilialia kuwa hakutendewa haki hasa ile press release yake kuwa eti bado ni mwanachama!!! Amerudi nyumbani baada ya kutimuliwa!!! Alipewa talaka tatu toka CDM!!!
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waliokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA.Kushoto anayevaa kofia ya CCM ni aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa tiketi ya CHADEMA Bwana Mtela Mwampamba na kulia ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA Bi Juliana Shonza.Weninge katika picha ni Katibu mkuu wa CCMNdugu Abdulrahman Kinana(kulia) na kushoto ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula.(picha na Freddy Maro).

TUESDAY, FEBRUARY 12, 2013 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG


8E9U8493.JPG
Naona mzee kapata ki2 tayari!!!
 
Mwisho wa mezi kiongozi akisafiri lazima ondoke na jully kama first lady huyo mwenzangu yeye namwonea huruma labda wamfanyie mpango aende big brother siasa ndio mwisho wake.
 
Nikiwa na Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, comrade mangula na juliana shonza (Mwampamba)

600447_332595483511198_1292812848_n.jpg
juliana shonza na mwenzako mmekubali kujidhalilisha na kuuza utu wenu na kuwasahau wanyonge na hata ndugu zenu masikini dhambi hii itawarudia
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waliokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA.Kushoto anayevaa kofia ya CCM ni aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa tiketi ya CHADEMA Bwana Mtela Mwampamba na kulia ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA Bi Juliana Shonza.Weninge katika picha ni Katibu mkuu wa CCMNdugu Abdulrahman Kinana(kulia) na kushoto ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula.(picha na Freddy Maro).

TUESDAY, FEBRUARY 12, 2013 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG


8E9U8493.JPG
Karibuni nyumbani tupige kazi
Najua magwanda wataumia sana kwa hii picha
 
Kalokaza,

Nakubaliana na yote uliyoyasema hapo juu.Naupongeza pia uongozi wa BAVICHA chini ya Kamanda Heche kwa uamuzi wa kuwafukuza uanachama hawa mamluki.Pongezi pia kwa Ben Saanane kwa kufichua hila za hawa wanafiki.Yaani kwa walichokifanya imedhihirisha pasipo shaka kwamba tuhuma zilizokuwa zikiwakabili za kutumiwa katika kuhujumu chama zilikuwa ni za kweli na kweli tupu.Yaani walivyokuwa wakijipambanua na mapovu kuwatoka mbele ya vyombo vya habari baada ya kufukuzwa kumbe shombo tupu.

Go go Chadema,eliminate all the people who seem to be blocking the way towards the true liberation of our people.I am proud to be a member of Chadema
 
Hivyo vidole vya 'dokta' JK vilikuwa vinatafuta vishikilia bra ya Shonza au kupapasa kwapa...hadi mama 'dokta' kahamaki pale nyuma!!:becky:
Doppelganger ,Nani kakwambia Mama 'Dokta' hana wivu. Penzi halizeeki. Mama lazima aangalie kitu chake kisije kikaacha njia. Sisi wanaume hatuaminiki bana. Muulize Mama Bill Clinton, atakupa story zote. Kama iliwezekana kwa mtu aliyekuwa na ulinzi mpaka chooni itashindikana kwa mtu mwenye ulinzi tu getini.
 
Daaaah kumbe Juliana ana bonge la mtindi!! Sikuwahi kujua,
Usiwe mjinga wewe,
Hata mama yako mzazi ukimuangalia utaona ana mtindi, sio heshima kumdhalilisha mwanamke , au huna mama au dada?
Nyambaf wee!
 
Mi sikumuelewa Mtela aliposema atagombea ubunge kupitia chama cha Kitunguu swaumu,leo ndo nimegundua
 
Hawa watu ni wa kuonea huruma sana tu, ushindwe kuchota maji bombani, uyachote kwenye septic tank?
 
Back
Top Bottom