Jamani eeh!, mimi naona kama Bi Salma kikwete hapo nyumba kaachia mdomo wazi kana kwamba haamini anachokiona. Ile karibishwa ya Juliana inaleta namna ya fingine!. Ona alivyovutwa karibu na JK hadi kagusa kifua lakini Mwampamba mmhhh!. Ni ishara kwamba juli kafanya kazi nzuri zaidi au she is more welcome? Kwa mtaji huu, muda si mrefu, utasikia waziri mdogo wa utalii na mahusiano ya jinsia na safari za kimataifa kwa chama na serikali!. Subirini mtaoana.
Swali langu la msingi, hivi kwa nini ccm kila wakati wanachakachua jina na rangi za chama chao? ccm vile ilikuwa ikiandikwaga mwanzoni haikuwa kama inavyowekwa kwa sasa. Hata ile kijani ya mwanzoni haikuwa kwama ile wanaweka sasa. Hii kitu namaanisa nini?