Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Usiwe mjinga wewe,
Hata mama yako mzazi ukimuangalia utaona ana mtindi, sio heshima kumdhalilisha mwanamke , au huna mama au dada?
Nyambaf wee!

nafikiri jamaa amemaanisha kuwa kwa umri wake hastahili kuwa nayo, labda utuambie kama ananyonyesha au anamatatizo nayo, kwa experience ya kawaida tu ni kuwa atakuwa anatumika sn huyu mdada
 
Aliyoyasema Mwenezi Nape Moses Nnauye akiwapokea Juliana Shonza na Mtela Mwampamba;

KARIBUNI SHONZA NA MWAMPAMBA.,Karibuni CCM...!

Sasa imetimia kauli na maono ya walio wengi wenye busara na hekima ya kutazama mambo kwa weledi mkuu. Kwa yaliyokuwa yanaendelea Chadema yakiratibiwa na kupigiwa chapuo na BABU wa Chama hiko na watu wa kundi lake, sasa yamedhihiri kuwa yanakimaliza na kukizika moja kwa moja Chama hiko.

Ni jambo la hatari kwa chama ambacho viongozi wake wana uwezo wa kukandamiza, kubagua wenzao kwa namna wanavyojisikia bila kuzingatia mchango wao, hadhi yao na muruwa wao., wanaweza kufanya lolote kwa yeyote ndani ya Chama kwa kadri wanavyojisikia wao. Ni hatari kuwepo watu miongoni mwa jamii ambao Ubaguzi kwao ni Sera ya kujinadi kwa watu, ni hatari sana...!

Shonza na Mwampamba wameiona hatari hiyo na vijana na wanachama wengine wa CHADEMA waione hatari hii ya kuongozwa na watu ambao hawajui nini maana ya kuwa kiongozi, hawajiheshimu wenyewe na hawaheshimu wengine, ni watu ambao maslahi binafis yanatangulia maslahi ya wengi, hawana uzalendo na wamekosa hata chembe ya Utaifa. Watu wanaohubiri chuki na kuhamasisha Utengano, watu ambao wamekosa mapenzi na Taifa lao kiasi cha kuwa tayari kufanya lolote ili kuhakikisha kuwa nchi hii haitawaliki na kuandika ripoti za uongo na uchochezi kwa mataifa makubwa na jumuiya za kimataifa kuwa TANZANIA si sehemu salama ya kuishi wala kuwekeza, ni wazandiki wasiolitakia mema Taifa hili.

Chadema kuna Viongozi ambao hawatendi haki baina yao kama viongozi lakini pia hawatendi haki kwa wanaowaongoza, wanaipinga na kuikataa kweli hata ikidhihiri mbele ya macho yao. Ni watu ambao hawaheshimu, hawasimamii na wanapuuza Katiba waliyojitungia wenyewe, hawako balanced katika maamuzi wala katika hukumu.

Natoa ANGALIZO Kwa vijana ambao wanajitoa kuijenga na kuitetea CHADEMA umefika wakati sasa wa ninyi kuiona hatari hii ndani ya Chama hicho mnachokiamini na kutafuta Chama kingine ambacho hayo yanayowakuta chadema hayatowakuta., Karibuni CHAMA CHA MAPINDUZI.,Chama kinachodumisha mapinduzi na mageuzi ya kweli katika jamii.,Chama kinachotoa fursa kwa wanachama wake kusikilizwa na kuthaminiwa kwa michango yao na huduma yao kwa Chama.

Napenda kuchukua fursa hii kumtaka Zitto Kabwe kuiona hatari hii lakini pia kumkaribisha CCM, ambako michango yake itathaminiwa na wala hatobaguliwa na kunyanyaswa bali atathaminiwa na kuheshimika.

Nawapongeza JULIANA SHONZA na MTELA MWAMPAMBA kwa kuiona hatari iliyoko chadema na kuchukua uamuzi wa kujiunga CCM, naamini wataleta michango bora na mawazo yenye kujenga.

Kwa wale wafuata upepo na mashabiki wa siasa, hii ni fursa kwao kujikumbusha fasihi ya TOPAN kwenye MFALME JUHA aliposimulia kisa cha BAKARI na WALII walipofika nchi ya kichaa ambayo mfalme wake alitoa tangazo la kila kitu ratili moja kwa pesa moja na WALII kumtaka BAKARI wahame nchi hiyo ila BAKARI aling’ang’ania kubaki na yaliyomkuta mnayajua…!

Karibuni CCM.,Umoja wetu ndio ushindi wetu.
 
nafikiri jamaa amemaanisha kuwa kwa umri wake hastahili kuwa nayo, labda utuambie kama ananyonyesha au anamatatizo nayo, kwa experience ya kawaida tu ni kuwa atakuwa anatumika sn huyu mdada
Tatizo lenu nyie makamanda ni kwamba yeyote alie tofauti nanyi basi ni mbaya na anafaa kutukanwa,
Mie mwenyewe nimeisha tukanwa sana hapa lakini nime wadharau. Wengine walifikia hadi kusema ninauza unga lakini nikawaona mafala tu kwa hiyo sishangai. kuona leo mnaanza kuzungumzia maumbile ya mtu na siasa sijui kuna uhusiano gani hapo zaidi ya kuvunjiana heshima, hebu fikiria mkeo aandikwe hivyo au dada yako au mwanao au hata mama yako utajkisikiaje.
Suzan ni mrembo sana picha inajionyesha hayo mnayoandika hayatambadilisha na nyie mtabaki mnaganga njaa hapa na keyboard zenu. Kumbukeni uchaguzi hautafanyikia jamii forums au kwenye vikao vya mbege
 
Tangu izaliwe Chadema, sijawahi kuona wala kusikia na ninaamini CCM haina historia ya kuwatumia kisiasa wanachama wake waliojiunga kutoke chadema!

RIP masalia katika ulimwengu wa siasa nchini
 
Maandiko matakatifu yanasema afanyae kazi anastahili ujira.walitumwa bahati mbaya hawakufanikiwa walichotumwa na sasa wanarudi kwa mwajiri wao, ningeshangaa sana kusikia wamehamia ccm B au nccr wamekwenda sehemu sahihi walikokuwa wanalipwa mkate wa kila siku bahati mbaya wamestukiwa mapema
 
Tangu izaliwe Chadema, sijawahi kuona wala kusikia na ninaamini CCM haina historia ya kuwatumia kisiasa wanachama wake waliojiunga kutoke chadema!

RIP masalia katika ulimwengu wa siasa nchini

Unamjuwa mtu aitwae Steven Wassira?
 
Sasa Nape alikuwa anawakaribisha ccm au alikuwa anawahubiria kuhusu CHADEMA..!?? Siku Nape akiambiwa ipite siku nzima bila kuitaja CHADEMA na Slaa atachanganyikiwa. I bet..!
 
hapa ndo maana najickia faraja kuwa chama makini na maamuzi makini
 
Aibu yake Nape. CDM na system nzima ya intelligency wamejipanga. Hawawezi kujipenyeza na kukigawa chama kama wanavyofikiria.

Chukueni Oil Chafu hizo.
 
Tangu izaliwe Chadema, sijawahi kuona wala kusikia na ninaamini CCM haina historia ya kuwatumia kisiasa wanachama wake waliojiunga kutoke chadema!

RIP masalia katika ulimwengu wa siasa nchini
Halafu wewe unamaono kama Mwalimu,hivi wewe ndio last born au?

 
Usiwe mjinga wewe,
Hata mama yako mzazi ukimuangalia utaona ana mtindi, sio heshima kumdhalilisha mwanamke , au huna mama au dada?
Nyambaf wee!

mbona unatokwa povu kiasi hichi wakati iko wazi kuwa usiku wa leo Nchemba atayadandia hayo mavitu mpaka yarefuke kama malapa/ndala.
 
  • Thanks
Reactions: JGG
Fisi na Mkono wa mtu, hihihiiiiii......

a-man-with-a-pet-hyena-nigeria.jpg

Tunamshukuru Ben Saanane kwa kutuletea hawa vijana,ujasusi unaendelea mpaka mwezi march wale wabunge 15 lazima wavue magwanda.
 
Back
Top Bottom