BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,922
Kikombe cha babu iki kiniepuke,..
Nacheka kwanza then ndio nikuulize ,haya walikuchapa ngapi kwa umbali upi mkuu ?haa haa barbara kaniingiza mkenge nilimsikia anasema jana nimepanda uber kutoka posta hadi kwangu kwa hela kidogo.....
basi nkasema wacha nami niite uber mbona barbara anasema ni cheap..weeeh kilichonikuta sina hamu..
ila wanajua kupiga debe hawa watu khaah
Umeliwa!kwani mkuu unafikiri kuna figisu ndogo hapo?Mkuu kwani wanasema ili uwe mshindi ni lazima namba ya ushindi na ile uliyochagua ziendane kimpangilio au namba uliyochagua iwepo miongoni mwa namba za ushindi?
Mfano; namba ya ushindi ikiwa 233 na ukachagua namba 332 umekula au umeliwa?
Kwa hiyo we unataka mtu atoe tangazo la Ku promote crdb alafu ye aseme anatumia nmb??Kichekesho watu wao hapo hapo studio kujidai wanacheza na wanashinda! Likija tangazo la Uber wamepanda,ikija tangazo la Tigo anatumia, ikija tangazo la Voda anatumia, ikija crdb anaweka hela, ikija tangazo la nmb,nbc kote wanatumia huduma zao!!!! Hawa watangazaji wanafanya haya matangazo yanakuwa jokes! Huwezi mtu mmoja kutumia huduma zooooooote zinazotangazwa redioni kwako!
Hapana. Asioneshe kuegemea upande wowote. Kama umesoma kwa makini nimeandika mtu huyo huyo dakika hii anasema Tigo ndio bora,dakika inayofuata anatuambia Voda ndio bora. Au CRDB ndio bora, baadae anakuja anatuambia NMB ndio bora!Kwa hiyo we unataka mtu atoe tangazo la Ku promote crdb alafu ye aseme anatumia nmb??
Kwa hiyo mitandao miwili tofauti kama imedhamini segments mbili tofauti zinazotangazwa na mtangazaji mmoja unataka mtangazaji afanyaje...my brother ile ni business..kwahiyo kwa kuwa ukifungua tu jamii forum hapo kuna tangazo la tigo unataka voda wakileta tangazo lao hapo wamiliki wa jamiiforum walikatae sababu kuna tangazo la tigoHapana. Asioneshe kuegemea upande wowote. Kama umesoma kwa makini nimeandika mtu huyo huyo dakika hii anasema Tigo ndio bora,dakika inayofuata anatuambia Voda ndio bora. Au CRDB ndio bora, baadae anakuja anatuambia NMB ndio bora!
Naona nimekugusa hivyo hutaelewa ninachoongea. Mchana mwema.Kwa hiyo mitandao miwili tofauti kama imedhamini segments mbili tofauti zinazotangazwa na mtangazaji mmoja unataka mtangazaji afanyaje...my brother ile ni business..kwahiyo kwa kuwa ukifungua tu jamii forum hapo kuna tangazo la tigo unataka voda wakileta tangazo lao hapo wamiliki wa jamiiforum walikatae sababu kuna tangazo la tigo
Good analysisNimekuwa nikisikia clouds fm wakitangaza mchezo mpya wa kamali wanauita tatu mzuka, wao wanagenerate namba tatu ktk system yao na wewe mchezaji inabidi uchague namba 3 kutoka katika namba 10 mfano kama namba ya bahati ni 121 basi ili ushinde inakubidi kutoka katika namba 0 mpaka 9 uchague namba 1 2 na 1 tena zikae katika mpangilio sahihi yaani 121 na wala sio 211.
Wao wanasema ukipatia utalipwa mara 200 ya kiwango cha fedha ulichoweka.
Kwa wale wanamahesabu PCM and others kuna hesabu zinaitwa permutation and combination. Sasa ukiangalia katika namba 0, 1 ,2 ,3,4,5,6,7,8,9 kutoka katika hizi namba unaweza ukafanya machaguo ya namba tatu tofauti tofauti 210 huku ukiruhusiwa kurudia namba yaani mfano112.
Ukiangalia unaweza ukazijua namba zote 210 ambapo moja lazma itakuwa sawa na namba yao ya bahati . Kwa hiyo ata ukicheza kwa namba zote bado utapata hasara. Maana utatumia mfano namba moja kwa 1000 mara 210 utatumia 210000 ambapo wao watskulipa 200 mara 1000.
Kiuhalisia hii c bahati nasibu kwa maana namba inajulikana ila tu ukiatempt kucheza kwa uhakika unapata hasara. Sasa kamali haitakiwi outcome kujulikana.
Kwahiyo serikali lazma iangalie hii kitu kwa jicho la tatu. Maana huu ni utapeli wanachofanya ni kukusanya pesa za watu, lazma control iwepo . Sasa kama ndo hivi basi kila mtu ataanza kuchezeshaa kamali,
Hali ngumu kila mtu anabuni utapelimbona nichezo ya kubahatisha imekua mingi hivyo hapa tz?
umeliwa mkuu...Mkuu kwani wanasema ili uwe mshindi ni lazima namba ya ushindi na ile uliyochagua ziendane kimpangilio au namba uliyochagua iwepo miongoni mwa namba za ushindi?
Mfano; namba ya ushindi ikiwa 233 na ukachagua namba 332 umekula au umeliwa?
Kweli maana majilani zao ss hivi wanakimbiza hatali[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wamecopy na kupaste kutoka Kenya
yani hata wakiletewa tangazo la treni za umeme za mwendo kasi, wao waliisha zipanda wakati wanasoma shule za msingi.Kichekesho watu wao hapo hapo studio kujidai wanacheza na wanashinda! Likija tangazo la Uber wamepanda,ikija tangazo la Tigo anatumia, ikija tangazo la Voda anatumia, ikija crdb anaweka hela, ikija tangazo la nmb,nbc kote wanatumia huduma zao!!!! Hawa watangazaji wanafanya haya matangazo yanakuwa jokes! Huwezi mtu mmoja kutumia huduma zooooooote zinazotangazwa redioni kwako!