Jua janja ya Kamali ya Cloudsfm(tatu mzuka jackpot)

Jua janja ya Kamali ya Cloudsfm(tatu mzuka jackpot)

Mshaambiwa ni bahati,afu mtu ataka akicheza tu lazima ashinde.
katika njia za kupata utajiri bahati nasibu nayo inatajwa lakini sio kwa hizi za volume ndogo.
 
Mkuu unalosema siyo kweli, kwanza siyo lazima zikae kimpangilio
Pili siyo lazima upatie zote tatu ukipatia mbili unarudishiwa ela yako mara mbili.
Japo sichezi michezo hiyo ila usipotoshe watu mimi nina rafiki yangu amekuwa addicted na huo mchezo
 
Hahaha Siza nlimsikia anasema alipanda uber na mgeni wake kutoka airport hadi kkoo kwa buku tatu..mie nkaja g/mboto kwa ajent wa uber nkamuliza kutoka g/mboto had tazara bei gan akaniambia elfu 15...maisha hayajawahi kuwa na jokes kiasi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo vipi friend's mim ni mgeni katika mtandao huu bt nineupenda mno coz unaelimisha burudisha n.k
Lakini mada nilioileta ubaoni ni ili nielimishwe kidogo najua tu kuna mtu aliomba kuelimishwa kama mimi juu ya swala kama langu lkn ni kwa mda ulio pita
Nna mtaji wa milioni moja naomba ushauli mwema na wenye busara nifanye biashara gani ili niweze tusua hapo mbeleni
 
Kichekesho watu wao hapo hapo studio kujidai wanacheza na wanashinda! Likija tangazo la Uber wamepanda,ikija tangazo la Tigo anatumia, ikija tangazo la Voda anatumia, ikija crdb anaweka hela, ikija tangazo la nmb,nbc kote wanatumia huduma zao!!!! Hawa watangazaji wanafanya haya matangazo yanakuwa jokes! Huwezi mtu mmoja kutumia huduma zooooooote zinazotangazwa redioni kwako!
Hao wahuni sana mkuu ndio maana hawakati kujipendekeza kwa pogba si wanajua hawaishi kwa ukweli na uhalisia.

Sent using Iphone 7+
 
Mambo vipi friend's mim ni mgeni katika mtandao huu bt nineupenda mno coz unaelimisha burudisha n.k
Lakini mada nilioileta ubaoni ni ili nielimishwe kidogo najua tu kuna mtu aliomba kuelimishwa kama mimi juu ya swala kama langu lkn ni kwa mda ulio pita
Nna mtaji wa milioni moja naomba ushauli mwema na wenye busara nifanye biashara gani ili niweze tusua hapo mbeleni

Karibu sana..nikijibu swali lako kuna jukwaa maalum la biashara na mambo yote ya ujasiriamali..mengi utayapata huko..karibu.
 
Kichekesho watu wao hapo hapo studio kujidai wanacheza na wanashinda! Likija tangazo la Uber wamepanda,ikija tangazo la Tigo anatumia, ikija tangazo la Voda anatumia, ikija crdb anaweka hela, ikija tangazo la nmb,nbc kote wanatumia huduma zao!!!! Hawa watangazaji wanafanya haya matangazo yanakuwa jokes! Huwezi mtu mmoja kutumia huduma zooooooote zinazotangazwa redioni kwako!
Unajua maana ya matangazo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya matangazo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui huwa nayaona na kuyasikia tu. From cnn to radio five sijasikia au kuona mtangazaji akijidai kutumia kila bidhaa anayotangaza. Hii nimesikia clouds tu. Kwa wengine cnn/bbc watangazaji wanakuwa neutral kutuacha consumers tuamue. Btw ni mawazo yangu tu yanaweza kuwa potofu.
 
Clouds kwa mara ya mwisho kuiskiliza kukaa kabisa ni turning kipindi nasoma chuo miaka mitano iliyopita
 
haa haa barbara kaniingiza mkenge nilimsikia anasema jana nimepanda uber kutoka posta hadi kwangu kwa hela kidogo.....
basi nkasema wacha nami niite uber mbona barbara anasema ni cheap..weeeh kilichonikuta sina hamu..
ila wanajua kupiga debe hawa watu khaah

Nini kilichokukuta?
 
Sijui huwa nayaona na kuyasikia tu. From cnn to radio five sijasikia au kuona mtangazaji akijidai kutumia kila bidhaa anayotangaza. Hii nimesikia clouds tu. Kwa wengine cnn/bbc watangazaji wanakuwa neutral kutuacha consumers tuamue. Btw ni mawazo yangu tu yanaweza kuwa potofu.
Nadhani mbali ya Tangazo kulipiwa huwa jamaa wanatoa tip kwa watangazaji
 
Nimekuwa nikisikia clouds fm wakitangaza mchezo mpya wa kamali wanauita tatu mzuka, wao wanagenerate namba tatu ktk system yao na wewe mchezaji inabidi uchague namba 3 kutoka katika namba 10 mfano kama namba ya bahati ni 121 basi ili ushinde inakubidi kutoka katika namba 0 mpaka 9 uchague namba 1 2 na 1 tena zikae katika mpangilio sahihi yaani 121 na wala sio 211.
Wao wanasema ukipatia utalipwa mara 200 ya kiwango cha fedha ulichoweka.

Kwa wale wanamahesabu PCM and others kuna hesabu zinaitwa permutation and combination. Sasa ukiangalia katika namba 0, 1 ,2 ,3,4,5,6,7,8,9 kutoka katika hizi namba unaweza ukafanya machaguo ya namba tatu tofauti tofauti 210 huku ukiruhusiwa kurudia namba yaani mfano112.
Ukiangalia unaweza ukazijua namba zote 210 ambapo moja lazma itakuwa sawa na namba yao ya bahati . Kwa hiyo ata ukicheza kwa namba zote bado utapata hasara. Maana utatumia mfano namba moja kwa 1000 mara 210 utatumia 210000 ambapo wao watskulipa 200 mara 1000.

Kiuhalisia hii c bahati nasibu kwa maana namba inajulikana ila tu ukiatempt kucheza kwa uhakika unapata hasara. Sasa kamali haitakiwi outcome kujulikana.
Kwahiyo serikali lazma iangalie hii kitu kwa jicho la tatu. Maana huu ni utapeli wanachofanya ni kukusanya pesa za watu, lazma control iwepo . Sasa kama ndo hivi basi kila mtu ataanza kuchezeshaa kamali,
3! Umenkumbsha pure2 Maths ...

Hakika boss MAANA UTAPATA LOSS MARA 10, HATA UKIATTEMPT ZOTE
 
Back
Top Bottom