brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 1,014
- 1,587
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichekesho watu wao hapo hapo studio kujidai wanacheza na wanashinda! Likija tangazo la Uber wamepanda,ikija tangazo la Tigo anatumia, ikija tangazo la Voda anatumia, ikija crdb anaweka hela, ikija tangazo la nmb,nbc kote wanatumia huduma zao!!!! Hawa watangazaji wanafanya haya matangazo yanakuwa jokes! Huwezi mtu mmoja kutumia huduma zooooooote zinazotangazwa redioni kwako!
Sent using Jamii Forums mobile app