KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,320
Hili wimbi la hii michezo, ivi wanakatwa kodi kweli.
Sio kweli, kwenye hii kamari lazima mtiririko ufanane na namba ya ushindi.Nikusahihishe tu, kwenye hii kamari ORDER doesn't matter. So AB = BA, AC = CA & BC = CB,
Mradi namba ulizobuni wewe ndizo walizobuni wao basi umekula, regardless mpangilio
wajinga ndio waliwao wapenda KitongaNimekuwa nikisikia clouds fm wakitangaza mchezo mpya wa kamali wanauita tatu mzuka, wao wanagenerate namba tatu ktk system yao na wewe mchezaji inabidi uchague namba 3 kutoka katika namba 10 mfano kama namba ya bahati ni 121 basi ili ushinde inakubidi kutoka katika namba 0 mpaka 9 uchague namba 1 2 na 1 tena zikae katika mpangilio sahihi yaani 121 na wala sio 211.
Wao wanasema ukipatia utalipwa mara 200 ya kiwango cha fedha ulichoweka.
Kwa wale wanamahesabu PCM and others kuna hesabu zinaitwa permutation and combination. Sasa ukiangalia katika namba 0, 1 ,2 ,3,4,5,6,7,8,9 kutoka katika hizi namba unaweza ukafanya machaguo ya namba tatu tofauti tofauti 210 huku ukiruhusiwa kurudia namba yaani mfano112.
Ukiangalia unaweza ukazijua namba zote 210 ambapo moja lazma itakuwa sawa na namba yao ya bahati . Kwa hiyo ata ukicheza kwa namba zote bado utapata hasara. Maana utatumia mfano namba moja kwa 1000 mara 210 utatumia 210000 ambapo wao watskulipa 200 mara 1000.
Kiuhalisia hii c bahati nasibu kwa maana namba inajulikana ila tu ukiatempt kucheza kwa uhakika unapata hasara. Sasa kamali haitakiwi outcome kujulikana.
Kwahiyo serikali lazma iangalie hii kitu kwa jicho la tatu. Maana huu ni utapeli wanachofanya ni kukusanya pesa za watu, lazma control iwepo . Sasa kama ndo hivi basi kila mtu ataanza kuchezeshaa kamali,
Tunapenda easy money kuliko kupambana alafu asilimia moja ya kipato chako ukaiwekeza kwenye kamari ila sie watu wanakopa wanakwenda kucheza kamarimbona nichezo ya kubahatisha imekua mingi hivyo hapa tz?
= kamari
= kamari
= kamari
Umevurugwa ni 1000 play ndo unaweza shinda kwa uhakika ambapo kwa jelo jelo utatumia laki tano utapata laki moja.ni hasara isiyokuwa na kifani 90%lossNimekuwa nikisikia clouds fm wakitangaza mchezo mpya wa kamali wanauita tatu mzuka, wao wanagenerate namba tatu ktk system yao na wewe mchezaji inabidi uchague namba 3 kutoka katika namba 10 mfano kama namba ya bahati ni 121 basi ili ushinde inakubidi kutoka katika namba 0 mpaka 9 uchague namba 1 2 na 1 tena zikae katika mpangilio sahihi yaani 121 na wala sio 211.
Wao wanasema ukipatia utalipwa mara 200 ya kiwango cha fedha ulichoweka.
Kwa wale wanamahesabu PCM and others kuna hesabu zinaitwa permutation and combination. Sasa ukiangalia katika namba 0, 1 ,2 ,3,4,5,6,7,8,9 kutoka katika hizi namba unaweza ukafanya machaguo ya namba tatu tofauti tofauti 210 huku ukiruhusiwa kurudia namba yaani mfano112.
Ukiangalia unaweza ukazijua namba zote 210 ambapo moja lazma itakuwa sawa na namba yao ya bahati . Kwa hiyo ata ukicheza kwa namba zote bado utapata hasara. Maana utatumia mfano namba moja kwa 1000 mara 210 utatumia 210000 ambapo wao watskulipa 200 mara 1000.
Kiuhalisia hii c bahati nasibu kwa maana namba inajulikana ila tu ukiatempt kucheza kwa uhakika unapata hasara. Sasa kamali haitakiwi outcome kujulikana.
Kwahiyo serikali lazma iangalie hii kitu kwa jicho la tatu. Maana huu ni utapeli wanachofanya ni kukusanya pesa za watu, lazma control iwepo . Sasa kama ndo hivi basi kila mtu ataanza kuchezeshaa kamali,
Kichekesho watu wao hapo hapo studio kujidai wanacheza na wanashinda! Likija tangazo la Uber wamepanda,ikija tangazo la Tigo anatumia, ikija tangazo la Voda anatumia, ikija crdb anaweka hela, ikija tangazo la nmb,nbc kote wanatumia huduma zao!!!! Hawa watangazaji wanafanya haya matangazo yanakuwa jokes! Huwezi mtu mmoja kutumia huduma zooooooote zinazotangazwa redioni kwako!
Hii ni promo. Wewe utaku unahusika na tatu mzukaHapa umekula pesa uliyoweka mara mbili.
Nimefuatilia website ya 'tatumzuka' nimegundua ushindi uko wa aina mbili.
1. Kulinganisha namba zote tatu kwa mfuatano huo huo pesa uliyoweka inazidishwa mara 200
2. Kulingalisha namba mbili kati ya zilizotokea kwa mfuatano wowote(mf. Namba yao ya ushindi ni 864 wewe ulibet 408) hapa hela yako inazidishwa mara mbili.
Bahati nasibu hii huchezwa kila saa kamili kwa masaa 24 kwa siku. Na dakika moja baada ya saa kamili wanatoa list ya washindi waliobet kwa saa hiyo na kiasi walichoshinda (nimefuatilia nimegundua wanashinda hadi watu1200 kwa saa)
Bahati nasibu hii ni rahisi kucheza na kuchukua zawadi yako kwani unalipia kwa kutumia mpesa/tigopesa na baada tu ya kulinganisha namba hela yako inatumwa kwenye mpesa/tigopesa yako hapo hapo (nimefuatilia si zaidi ya dakika 2 baada ya ushindi, yaani dakika 2 baada ya saa kamili)
Nimejaribu kucheza hapa kwa kuweka shs.500 nasubiri saa kamili inayofuata, saa12 kamili (bado dakika 15) nione kama nitalinganisha, namba zangu nimechagua 860 mniombee angalao mbili zifanane.
Wamenitumia msg tena hapa kumbe ukishiriki kwa 500 unaingia kwenye jackpot inayochezwa jumapili usiku live ambayo watu wanashinda mil 60.
Serikali ina kodi yake kwenye hizo kamali!Gvt Iangalie Kivp Kwan Kucheza Ni Lazma Ebu Acha Kuongezea Mzigo Serikari
hii ni id ya masoud kipanyaHapa umekula pesa uliyoweka mara mbili.