Jua janja ya Kamali ya Cloudsfm(tatu mzuka jackpot)

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,811
Reaction score
5,928
Nimekuwa nikisikia clouds fm wakitangaza mchezo mpya wa kamali wanauita tatu mzuka, wao wanagenerate namba tatu ktk system yao na wewe mchezaji inabidi uchague namba 3 kutoka katika namba 10 mfano kama namba ya bahati ni 121 basi ili ushinde inakubidi kutoka katika namba 0 mpaka 9 uchague namba 1 2 na 1 tena zikae katika mpangilio sahihi yaani 121 na wala sio 211.
Wao wanasema ukipatia utalipwa mara 200 ya kiwango cha fedha ulichoweka.

Kwa wale wanamahesabu PCM and others kuna hesabu zinaitwa permutation and combination. Sasa ukiangalia katika namba 0, 1 ,2 ,3,4,5,6,7,8,9 kutoka katika hizi namba unaweza ukafanya machaguo ya namba tatu tofauti tofauti 210 huku ukiruhusiwa kurudia namba yaani mfano112.
Ukiangalia unaweza ukazijua namba zote 210 ambapo moja lazma itakuwa sawa na namba yao ya bahati . Kwa hiyo ata ukicheza kwa namba zote bado utapata hasara. Maana utatumia mfano namba moja kwa 1000 mara 210 utatumia 210000 ambapo wao watskulipa 200 mara 1000.

Kiuhalisia hii c bahati nasibu kwa maana namba inajulikana ila tu ukiatempt kucheza kwa uhakika unapata hasara. Sasa kamali haitakiwi outcome kujulikana.
Kwahiyo serikali lazma iangalie hii kitu kwa jicho la tatu. Maana huu ni utapeli wanachofanya ni kukusanya pesa za watu, lazma control iwepo . Sasa kama ndo hivi basi kila mtu ataanza kuchezeshaa kamali,
 
mbona kama umepiga hesabu vibaya. ili ushinde mzuka Jackpot unatakiwa ucheze mara 1000.
 
Kichekesho watu wao hapo hapo studio kujidai wanacheza na wanashinda! Likija tangazo la Uber wamepanda,ikija tangazo la Tigo anatumia, ikija tangazo la Voda anatumia, ikija crdb anaweka hela, ikija tangazo la nmb,nbc kote wanatumia huduma zao!!!! Hawa watangazaji wanafanya haya matangazo yanakuwa jokes! Huwezi mtu mmoja kutumia huduma zooooooote zinazotangazwa redioni kwako!
 
tangazo la tigo utasikia washakula, likija la jaza ujazwe utasikia washajanzwa.
 
Gvt Iangalie Kivp Kwan Kucheza Ni Lazma Ebu Acha Kuongezea Mzigo Serikari

Michezo yote ya kubahatisha inasimamiwa na Serikali, hivyo mtoa maada yupo sahihi kwamba kabla mchezo haujaruhusiwa unapaswa kuangaliwa na kuonekana mapungufu yake kama ni kweli wa Kubahatisha au Utapel tu
 
Juzi nmesikiliza Ea Radio nao wana hii bahat nasibu sidhan kama itakua ni Clouds peke yao.
 
Tangazo limkute Babra....hapo upele utakuwa umepata mkunaji

Sent using Jamii Forums mobile app
haa haa barbara kaniingiza mkenge nilimsikia anasema jana nimepanda uber kutoka posta hadi kwangu kwa hela kidogo.....
basi nkasema wacha nami niite uber mbona barbara anasema ni cheap..weeeh kilichonikuta sina hamu..
ila wanajua kupiga debe hawa watu khaah
 
Kichekesho watu wao hapo hapo studio kujidai wanacheza na wanashinda! Likija tangazo la Uber wamepanda,ikija tangazo la Tigo anatumia, ikija tangazo la Voda anatumia, ikija crdb anaweka hela, ikija tangazo la nmb,nbc kote wanatumia huduma zao!!!! Hawa watangazaji wanafanya haya matangazo yanakuwa jokes! Huwezi mtu mmoja kutumia huduma zooooooote zinazotangazwa redioni kwako!
babra ndio kiboko...hata akitangaza duka la nguo utasikia jana nilipita kumchukulia mwanangu nguo pale aisee wana nguo nzuri kila mtu aliniuliza nimenunua wapi...
kuna siku walikuwa wanatangaza chipsy snacks basi jinsi walivyosifia nikajua ni vitu vya maana, kumbe ndio vile watoto wanaitaga chama....mbayaaa!
 
Nimekuwa nikisikia clouds fm wakitangaza mchezo mpya wa kamali wanauita tatu mzuka, wao wanagenerate namba tatu ktk system yao na wewe mchezaji inabidi uchague namba 3 kutoka katika namba 10 mfano kama namba ya bahati ni 121 basi ili ushinde inakubidi kutoka katika namba 0 mpaka 9 uchague namba 1 2 na 1 tena zikae katika mpangilio sahihi yaani 121 na wala sio 211.
Wao wanasema ukipatia utalipwa mara 200 ya kiwango cha fedha ulichoweka.

Kwa wale wanamahesabu PCM and others kuna hesabu zinaitwa permutation and combination. Sasa ukiangalia katika namba 0, 1 ,2 ,3,4,5,6,7,8,9 kutoka katika hizi namba unaweza ukafanya machaguo ya namba tatu tofauti tofauti 210 huku ukiruhusiwa kurudia namba yaani mfano112.
Ukiangalia unaweza ukazijua namba zote 210 ambapo moja lazma itakuwa sawa na namba yao ya bahati . Kwa hiyo ata ukicheza kwa namba zote bado utapata hasara. Maana utatumia mfano namba moja kwa 1000 mara 210 utatumia 210000 ambapo wao watskulipa 200 mara 1000.

Kiuhalisia hii c bahati nasibu kwa maana namba inajulikana ila tu ukiatempt kucheza kwa uhakika unapata hasara. Sasa kamali haitakiwi outcome kujulikana.
Kwahiyo serikali lazma iangalie hii kitu kwa jicho la tatu. Maana huu ni utapeli wanachofanya ni kukusanya pesa za watu, lazma control iwepo . Sasa kama ndo hivi basi kila mtu ataanza kuchezeshaa kamali,

= kamari
= kamari
= kamari
 
Back
Top Bottom