Jua janja ya Kamali ya Cloudsfm(tatu mzuka jackpot)

!
!
Mimi sijui sana hisabati lakini nadhani namba zote jumla katika hiyo bahati nasibu ni 9*9*9 ambapo inakuwa kama 729 hivi. Na sio 210. Yaani namba ya kwanza unaweza kuchagua kati ya moja hadi tisa, ya pili ni vivyo hivyo na hata ya tatu.

Hapana soma hesabu za conbination vizuri ,mfano ukiwa na namba 3 yaani A B na C unaweza kufanya machaguo ya namba 2 kwa aina mbali mbali tofauti kwa kufuata mpangilio(with repetion) itakuwa nCr zitakuwa

AB, AC, BC, BA, CA, CB ni mara sita tu , sasa wewe kwa njia zako feki ungezidisha 3*3*3 ambayo ingeleta jibu 9 ambalo c la kweli.
 
Okey nimesema mimi sio mtaalamu wa hisabati Kaka, lakini kama ni namba tatu ambazo zinajirudia mchezo utakuwa hivi
001,002,003,004,005,006,007,008,009,010,011,012,013.......
 
Bado hajapita duka la samani akachukua coffee table,picha za ukutani,mapazia....hivi ukitangaza kitu lazima utumie?!
mtu mmoja ana account kila benki kuanzia equity, mkombozi, nbc, crdb, kcb, akiba ili mradi tu hiyo benk imejitangaza kwenye redio yao...clouds bwana...
 
!
!
Okey nimesema mimi sio mtaalamu wa hisabati Kaka, lakini kama ni namba tatu ambazo zinajirudia mchezo utakuwa hivi
001,002,003,004,005,006,007,008,009,010,011,012,013.......
Kama hesabu ilikupita bahati mbaya usijaribu kujifunza kupitia bahati nasibu zinazohusisha matumizi ya hisabati utaliwa mchana kweupe....acha kabisa kwenye hisabati hatubahatishi jawabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana soma hesabu za conbination vizuri ,mfano ukiwa na namba 3 yaani A B na C unaweza kufanya machaguo ya namba 2 kwa aina mbali mbali tofauti kwa kufuata mpangilio(with repetion) itakuwa nCr zitakuwa

AB, AC, BC, BA, CA, CB ni mara sita tu , sasa wewe kwa njia zako feki ungezidisha 3*3*3 ambayo ingeleta jibu 9 ambalo c la kweli.
Ungempuuza tu kishasema hajui hesabu sijui anachangia nini kwa asichokijua?. Wabongo tuna kaz sana yaan lazima useme kila kitu hata usichokijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hesabu ilikupita bahati mbaya usijaribu kujifunza kupitia bahati nasibu zinazohusisha matumizi ya hisabati utaliwa mchana kweupe....acha kabisa kwenye hisabati hatubahatishi jawabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kanikera kweli yaani anabisha tu tena anabisha huku anasema hesabu sizijui...hivi ni lazima kila kitu uchangie humu JF?. Hujui piga kimya waachie wanaojua wadadavue wewe jifunze sio kubishabisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana soma hesabu za conbination vizuri ,mfano ukiwa na namba 3 yaani A B na C unaweza kufanya machaguo ya namba 2 kwa aina mbali mbali tofauti kwa kufuata mpangilio(with repetion) itakuwa nCr zitakuwa

AB, AC, BC, BA, CA, CB ni mara sita tu , sasa wewe kwa njia zako feki ungezidisha 3*3*3 ambayo ingeleta jibu 9 ambalo c la kweli.
Nikusahihishe tu, kwenye hii kamari ORDER doesn't matter. So AB = BA, AC = CA & BC = CB,
Mradi namba ulizobuni wewe ndizo walizobuni wao basi umekula, regardless mpangilio
 
Mkuu kwani wanasema ili uwe mshindi ni lazima namba ya ushindi na ile uliyochagua ziendane kimpangilio au namba uliyochagua iwepo miongoni mwa namba za ushindi?
Mfano; namba ya ushindi ikiwa 233 na ukachagua namba 332 umekula au umeliwa?
Hapa umekula pesa uliyoweka mara mbili.
Nimefuatilia website ya 'tatumzuka' nimegundua ushindi uko wa aina mbili.
1. Kulinganisha namba zote tatu kwa mfuatano huo huo pesa uliyoweka inazidishwa mara 200
2. Kulingalisha namba mbili kati ya zilizotokea kwa mfuatano wowote(mf. Namba yao ya ushindi ni 864 wewe ulibet 408) hapa hela yako inazidishwa mara mbili.
Bahati nasibu hii huchezwa kila saa kamili kwa masaa 24 kwa siku. Na dakika moja baada ya saa kamili wanatoa list ya washindi waliobet kwa saa hiyo na kiasi walichoshinda (nimefuatilia nimegundua wanashinda hadi watu1200 kwa saa)
Bahati nasibu hii ni rahisi kucheza na kuchukua zawadi yako kwani unalipia kwa kutumia mpesa/tigopesa na baada tu ya kulinganisha namba hela yako inatumwa kwenye mpesa/tigopesa yako hapo hapo (nimefuatilia si zaidi ya dakika 2 baada ya ushindi, yaani dakika 2 baada ya saa kamili)
Nimejaribu kucheza hapa kwa kuweka shs.500 nasubiri saa kamili inayofuata, saa12 kamili (bado dakika 15) nione kama nitalinganisha, namba zangu nimechagua 860 mniombee angalao mbili zifanane.

Wamenitumia msg tena hapa kumbe ukishiriki kwa 500 unaingia kwenye jackpot inayochezwa jumapili usiku live ambayo watu wanashinda mil 60.
 
Asante mkuu kwa maelezo mazuri ila huu mchezo hauko fair, ukipatia namba zote 3 wanazidisha pesa yako mara 200 na ukipatia namba mbili wanazidisha mara 2,,, yani kutoka 200 hadi 2, Kwanini wasingeweka hata 100 au 50.
Vp matokeo yako mkuu ulishinda??
 
Back
Top Bottom