Jua janja ya Kamali ya Cloudsfm(tatu mzuka jackpot)

Jua janja ya Kamali ya Cloudsfm(tatu mzuka jackpot)

Yaani kwa urawala huu jero mtaiita vzuri,watu mambo yamewakaaa vbaya so wanahisi wanaweza badili maisha kwa tatu mzuka manake zile mishe mishe zetu zote zimefungwa na ukichukulia tulikua ma sponsor
 
haa haa barbara kaniingiza mkenge nilimsikia anasema jana nimepanda uber kutoka posta hadi kwangu kwa hela kidogo.....
basi nkasema wacha nami niite uber mbona barbara anasema ni cheap..weeeh kilichonikuta sina hamu..
ila wanajua kupiga debe hawa watu khaah
Uzuri bei unaiona kabla hujaingia makubaliano ya kuita ubber
 
Kichekesho watu wao hapo hapo studio kujidai wanacheza na wanashinda! Likija tangazo la Uber wamepanda,ikija tangazo la Tigo anatumia, ikija tangazo la Voda anatumia, ikija crdb anaweka hela, ikija tangazo la nmb,nbc kote wanatumia huduma zao!!!! Hawa watangazaji wanafanya haya matangazo yanakuwa jokes! Huwezi mtu mmoja kutumia huduma zooooooote zinazotangazwa redioni kwako!
Ukiwa unafanya kazi hizi inatakiwa uwe kigeugeu mkuu
 
Hiyo winning probability ni ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ingia website yao uone watu wanavyopiga hizo laki 2 na laki moja. Bado dakika tano ichezeshwe ya saa 3 kamili. Kila saa kuna washindi zaidi ya 100 wa laki mbili mbili na laki moja moja.
 
Cloudsfm ni wabunifu kwenye Matangazo. Ndio maana wanapata Matangazo mengi kuzidi Redio zingine.
Wanayatendea Haki Matangazo.

Nami nitapeleka hapo Tangazo langu soon.

sent by Samson Cyper
They are stragegists, kama sijakosea, wajuvi wa lugha mnasemaje, msije sema nimetoka kolomije leo
 
Taifa linangamia kwa kamari daaah vyuma vimekaza kila upande, saivi kila hatua 100 lazima ukutane na betting sports, bado wazee wa buku, jero, waje na wengine ili wakusanye ela za bure,izi ela tungekuwa tunazichanga tunampa Magufuli tungekuwa tumeisha komboa panga boy letu kule kwa wenyewe,
 
Nimekuwa nikisikia clouds fm wakitangaza mchezo mpya wa kamali wanauita tatu mzuka, wao wanagenerate namba tatu ktk system yao na wewe mchezaji inabidi uchague namba 3 kutoka katika namba 10 mfano kama namba ya bahati ni 121 basi ili ushinde inakubidi kutoka katika namba 0 mpaka 9 uchague namba 1 2 na 1 tena zikae katika mpangilio sahihi yaani 121 na wala sio 211.
Wao wanasema ukipatia utalipwa mara 200 ya kiwango cha fedha ulichoweka.

Kwa wale wanamahesabu PCM and others kuna hesabu zinaitwa permutation and combination. Sasa ukiangalia katika namba 0, 1 ,2 ,3,4,5,6,7,8,9 kutoka katika hizi namba unaweza ukafanya machaguo ya namba tatu tofauti tofauti 210 huku ukiruhusiwa kurudia namba yaani mfano112.
Ukiangalia unaweza ukazijua namba zote 210 ambapo moja lazma itakuwa sawa na namba yao ya bahati . Kwa hiyo ata ukicheza kwa namba zote bado utapata hasara. Maana utatumia mfano namba moja kwa 1000 mara 210 utatumia 210000 ambapo wao watskulipa 200 mara 1000.

Kiuhalisia hii c bahati nasibu kwa maana namba inajulikana ila tu ukiatempt kucheza kwa uhakika unapata hasara. Sasa kamali haitakiwi outcome kujulikana.
Kwahiyo serikali lazma iangalie hii kitu kwa jicho la tatu. Maana huu ni utapeli wanachofanya ni kukusanya pesa za watu, lazma control iwepo . Sasa kama ndo hivi basi kila mtu ataanza kuchezeshaa kamali,
Ndugu 10 combination 3 ni 120 siyo 210. Ukiorodhesha the 120 possible outcomes na kubet Tsh 30000 kwa kila namba unayo uhakika wa kushinda milioni Sita kwa gharama milioni tatu na laki Sita. Tatu mzuka jipangeni.
 
Namba ya ushindi tatu mzuka muda wowote siku yeyeto Ni moja yapo Kati ya hizi
Combination


0 1 2
0 1 3
0 1 4
0 1 5
0 1 6
0 1 7
0 1 8
0 1 9
0 2 3
0 2 4
0 2 5
0 2 6
0 2 7
0 2 8
0 2 9
0 3 4
0 3 5
0 3 6
0 3 7
0 3 8
0 3 9
0 4 5
0 4 6
0 4 7
0 4 8
0 4 9
0 5 6
0 5 7
0 5 8
0 5 9
0 6 7
0 6 8
0 6 9
0 7 8
0 7 9
0 8 9
1 2 3
1 2 4
1 2 5
1 2 6
1 2 7
1 2 8
1 2 9
1 3 4
1 3 5
1 3 6
1 3 7
1 3 8
1 3 9
1 4 5
1 4 6
1 4 7
1 4 8
1 4 9
1 5 6
1 5 7
1 5 8
1 5 9
1 6 7
1 6 8
1 6 9
1 7 8
1 7 9
1 8 9
2 3 4
2 3 5
2 3 6
2 3 7
2 3 8
2 3 9
2 4 5
2 4 6
2 4 7
2 4 8
2 4 9
2 5 6
2 5 7
2 5 8
2 5 9
2 6 7
2 6 8
2 6 9
2 7 8
2 7 9
2 8 9
3 4 5
3 4 6
3 4 7
3 4 8
3 4 9
3 5 6
3 5 7
3 5 8
3 5 9
3 6 7
3 6 8
3 6 9
3 7 8
3 7 9
3 8 9
4 5 6
4 5 7
4 5 8
4 5 9
4 6 7
4 6 8
4 6 9
4 7 8
4 7 9
4 8 9
5 6 7
5 6 8
5 6 9
5 7 8
5 7 9
5 8 9
6 7 8
6 7 9
6 8 9
7 8 9
 
Back
Top Bottom