Jua janja ya Kamali ya Cloudsfm(tatu mzuka jackpot)

Pambana na mkeka tu. (M bet)
Nimesha notice Kama Mara mbili au tatu hivi Nina nunua tickets zao kwa tigo pesa bila kupata any response

Ukiwapigia tigo wanasema kweli umenunua na wanakutajia namba ulizonunua..ila tatu mzuka hawaku reply na msg yeyoye Kama ilivyo utaratibu wao.je hela zinaenda wapi??

Mara ya kwanza mmenipiga elfu 10..na Leo tena elfu 10.huu ni wizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni Muongo, yani umepigwa Mara ya kwanza elfu 10 then ukatoa tena 10?
 
Nimesha notice Kama Mara mbili au tatu hivi Nina nunua tickets zao kwa tigo pesa bila kupata any response

Ukiwapigia tigo wanasema kweli umenunua na wanakutajia namba ulizonunua..ila tatu mzuka hawaku reply na msg yeyoye Kama ilivyo utaratibu wao.je hela zinaenda wapi??

Mara ya kwanza mmenipiga elfu 10..na Leo tena elfu 10.huu ni wizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi mbona mechi zipo nyingi tu. Ogopa bahati Nasibu inayochezeshwa na computer.
 
wale vijana wanaotegemea kupata pesa kwa kubet,wataliwa sana na hizi kamari.
 
Back
Top Bottom