J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

Akamatwe tu...hana msaada wowote kwa watanzania!

Wewe ni mat....a...k....o mkubwa unaongea upupu unaona kutetea ujinga ndo ujanja mtumwa wa fikra za magamba wewe ndo mana wanaku kameroon
 
Lema safari hii kachemka vibaya Polisi wamemwambia wewe tembea kutoka hapa mahakamani kama utapenda nenda mpaka Kia...

Katembea polisi wamemuachia tu wafuasi wake walivyoona hamna polisi kila mtu kakata kona...

Jamaa yangu yupo Arusha ndio kaniambia, kasema Lema hali yake sio nzuri anatoa machozi kila muda sijui kwa nini

mtu mzima ovyooooooooooooooooooooooooooooo, umbeya tu lione
 
Kwa kweli umeniudhi sana wewe Rejao, au ndiye nyie Usalama wa Taifa mnaokaa kutishia hata kwenye bar unanijua mimi ni nani, mimi ni usalama wa Taifa. Hebu ona kitambulisho changu hiki hapa, kina nembo ya ikulu. Ukichunguza ni kweli. Ni mjiinga sana wewe, pamoja na hayo madaraka uliyonayo.[/QUOTE]
Labda madaraka ya kupikia chai wageni wa ccm Lumumba.
 
Lema safari hii kachemka vibaya Polisi wamemwambia wewe tembea kutoka hapa mahakamani kama utapenda nenda mpaka Kia...

Katembea polisi wamemuachia tu wafuasi wake walivyoona hamna polisi kila mtu kakata kona...

Jamaa yangu yupo Arusha ndio kaniambia, kasema Lema hali yake sio nzuri anatoa machozi kila muda sijui kwa nini

Propaganda za kitoto peleka chooni huna jipya na mwisho wenu unakuja wewe ma magamba wenzako masaburi nyie
 
Crashwise tuombe radhi ndio uungwana umesema Lema kukamatwa tena akitembea kwa miguu..

Kaishatoka na katembea kwa miguu, JFsio sehemu ya porojo
 
Mkuu Rejao!

Kwa nini Lema alikataa dhamana akangangania kwenda Jela? Halafu saizi anataka kutoka Jela?

Mfariji mpumbavu mwenzako!hamna haya watu nyie,mnaitakia vp hi nchi yetu!hata kama mnakaa na kula ikulu,nyie ni nyang'au tu!hamna lolote,chumieni na mjaze hizo tupo zenu zenye njaa ya ufisadi!Akili fupi sana mlizonazo kushabikia uonevu wa watu!Lema aliwekwa na wananchi na sio nyie wehu!Thubutuni basi mmuone moto utakaowaka!!Nyie ni ma'inye tu!
 
Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!

Kwani wewe ni nani? Hata kama ungekuwa Rejao-Ojare hatukuogopi hata chembe kwani hata wewe na ID isomavyo inaonekana ni kiumbe mdogo sana hapa.
 
Lema safari hii kachemka vibaya Polisi wamemwambia wewe tembea kutoka hapa mahakamani kama utapenda nenda mpaka Kia...

Katembea polisi wamemuachia tu wafuasi wake walivyoona hamna polisi kila mtu kakata kona...

Jamaa yangu yupo Arusha ndio kaniambia, kasema Lema hali yake sio nzuri anatoa machozi kila muda sijui kwa nini

Kweli wewe ni bingwa wa propaganda, kwa uchanga wangu hapa JF naona ni bingwa wa kuruka vikwazo. Hongera mzee.
 
Hivi Rejao na Crashwise ni mtu na mtani wake au mlishadhulumiana huko kabla? Mbona mwapingana sana kila wakati? Lema kuachiwa ni haki yake kikatiba, Lema kutembea ni haki yake kimaumbile. Mbona mwaka 1967 Mwl Nyerere alitembea toka Musoma hadi Mwanza hakukamatwa? Au Marehemu Seth Benjamin alitembea na vijana wenzake mwaka 1967 kuelekea Dar akafariki na kutangazwa shujaa!!!
Kufanya matembezi siyo tatizo, tatizo linakuja pale mtu anaamua kufanya kitu ambacho hakina tija yoyote, ambacho hakina mbele wala nyuma.
kumbuka kupewa dhamana ni haki ya kila mtanzania kikatiba. Lakini kwanini akatae? kwanini aliamua kujipeleka gerezani mwenyewe?
Umaarufu aliokuwa anautafuta umemtokea puani
 
Mfariji mpumbavu mwenzako!hamna haya watu nyie,mnaitakia vp hi nchi yetu!hata kama mnakaa na kula ikulu,nyie ni nyang'au tu!hamna lolote,chumieni na mjaze hizo tupo zenu zenye njaa ya ufisadi!Akili fupi sana mlizonazo kushabikia uonevu wa watu!Lema aliwekwa na wananchi na sio nyie wehu!Thubutuni basi mmuone moto utakaowaka!!Nyie ni ma'inye tu!

Wewe mwanga tu matusi ni matokeo ya malezi ulioyapata kutoka kwa wazazi wako!
 
hautakuwa wa kwanza kuingia kitanzini jinyonge ni sifa moja ya kabila lililipo mkoa fulani katikati ya nchi
 
Lema safari hii kachemka vibaya Polisi wamemwambia wewe tembea kutoka hapa mahakamani kama utapenda nenda mpaka Kia...

Katembea polisi wamemuachia tu wafuasi wake walivyoona hamna polisi kila mtu kakata kona...

Jamaa yangu yupo Arusha ndio kaniambia, kasema Lema hali yake sio nzuri anatoa machozi kila muda sijui kwa nini

Pamoja na kuwa huu ni umbeya - Ila hapo kwenye red - unachotaka kutuambia ni kuwa vurugu za Arusha huletwa na Polisi. Asante sana kwa kuukiri ukweli.
 
Kiukweli umefika wakati sasa kujikomboa na woga kama huyu rais wa arusha mh lema. Hivi kwani kutembea kwa miguu nayo ni ishu ya kusugua kichwa km sio kuongozwa na vionjo ni nini? Kuwa maarufu kwa lema ni kwa namna pia serikali na vyombo vyake km polisi vinavyomweka kwenye daraja la juu kiasi cha kuto hata tembea kwa miguu. Tunamambo mengi ya kufanya wahisani wanatuibia tunashindwa kutuliza hayo tunabakia kuangaliana kijicho.
 
bango haliwezi kutueleza kama mwandishi alikuwa na akili timamu au la lakini kama alikuwa na akili timamu ni haki kutoa maisha yako ukitaka
 
Kwa kweli umeniudhi sana wewe Rejao, au ndiye nyie Usalama wa Taifa mnaokaa kutishia hata kwenye bar unanijua mimi ni nani, mimi ni usalama wa Taifa. Hebu ona kitambulisho changu hiki hapa, kina nembo ya ikulu. Ukichunguza ni kweli. Ni mjiinga sana wewe, pamoja na hayo madaraka uliyonayo.[/QUOTE]
Labda madaraka ya kupikia chai wageni wa ccm Lumumba.

Ana madaraka gani huyu Rejao? Haya matisho yake hapa ni ya kutumiwa na mafisadi tu! Kama anataka kujifanya kwa ku2mia madaraka yake ya kuwapikia mafisadi hakika huyu humu ndani tutamruhusu MODS amshurutishe sasa hivi yeye aendelee tu. Kibaraka nguruwe huyu!
 
Ikitokea vurugu tena Arusha juu ya suala hili ndo ntajua kweli kuna watu wana matatizo kwenye kufikiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom