Labda wanataka atembee kwa mikono....ahaahaaa kweli kuna watu wanatisha hivi polisi hawajui kama ni umaarufu wao ndo wanaomuongezea?Hapo sasa,...nafikiri wanataka jamaa apae
Kama anamsaada...mbona mmemtelekeza gerezani? mnajua yaliyompata huko? alikaa wiki moja tu akazidiwa ikabidi amuombe Mbowe amnusuru lakini kwa bahati mbaya akatoswa!
Akamatwe tu...hana msaada wowote kwa watanzania!
mlioko huko eneo la tukio, Lema ameshatoka???
Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!
Wacha kutisha watu hata kama ikiwa ya ikulu inasaididia nini sisi kujua. Au ndiyo PC ya Wassira?Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!
Kichwa maji kama wewe sihitaji hata kujuwa kama unampikia chai Nape Nnauye wala nini? Eti unanijuwa mimi ni nani! hizo ni style za kizamani za watu mazuzu kama wewe walizokuwa wanatumia kunywa gongo za bure mitaani. mimi unataka nikujuwe wewe hili iweje? u have touch wrong number young man. wewe bado unaishi dunia ya ujima ya mikwala mbuzi, kwani wewe hujui kwamba wanaofanya kazi ikulu wapo mpaka wakata nyasi? na hujui kwamba Usalama wa Taifa wapo ambao kazi yao ni kufunguwa mageti majumbani mwa viongozi?Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!
Jk asiye na msaada wowote kwa watanzania mbona hajakamatwa na kufutiliwa mbali?Akamatwe tu...hana msaada wowote kwa watanzania!
Akamatwe tu...hana msaada wowote kwa watanzania!
Kwa kweli umeniudhi sana wewe Rejao, au ndiye nyie Usalama wa Taifa mnaokaa kutishia hata kwenye bar unanijua mimi ni nani, mimi ni usalama wa Taifa. Hebu ona kitambulisho changu hiki hapa, kina nembo ya ikulu. Ukichunguza ni kweli. Ni mjiinga sana wewe, pamoja na hayo madaraka uliyonayo.Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!
watu wameshasambaa baada ya kuhutubiwa na mbunge...
Kweli moto wa kifuu unatokota nchi hii, Lema big up waongoze wanaATown katika enzi mpya za kutetea haki hadi kieleweke. You are the hero
Mipango inafanywa kumtengenezea UNGO apae nao. Maombi hayo yameshawasilishwa kule. Kuweni na subra jamani.
wanahangaika kumkamata? si wampigie simu tu atarudi mwenyewe!!!Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema atakamatwa muda si mrefu kuanzia sasa ni baada ya kutembea kwa miguu kutoka mahakamani mpaka Ngarenaro zilipo ofisi za CHADEMA..
Habari nilizo zipata kutoka polisi makao makuu Arusha ni kuwa kuna kikao kinaendelea cha jinsi ya kumkamata...tayari jeshi la polisi limesha peleka vijana wao wakiwa wamejichanganya na wana CHADEMA waliokuwa wamefulika kumsindikiza nakufanya shughuli zilizoko uhuru road zisimame kwa mda..
Wale walioitwa panya na Zuberi(kilaza) leo wameandamana kama kawaida pasipo kusumbuliwa na paka, political immaturity ni tatizo kubwa kwako mr.green guard.kwahiyo unataka kuniambia waaandamanaji wa mbeya ni PANYA? dah...amakweli akutukanaye hakuchagulii tusi
hii hapa chini yote inajidai kujibu! Mmekosa cha kufanya??? Mpaka mjibu post zangu? Sipendi mtu anayejipendekeza kwangu!wewe hata uitishwe uchaguzi ndani ya familia yako huwezi kupigiwa kura wala huwezi kushinda, wewe utaishia kuongea upupu tu humu kwenye forum, huwezi kufikia mafanikio ya kimaisha aliyofikia lema mpaka unaingia kaburini.
Wewe kiwango chako ni cha kwenye keyboard tu na sio kwenda front kupigania kile unachoamini. Ur just a loser kid. Na kama unaona lema hana msaada nenda kwa cameroun anatoa misaada ya kumwaga tu, lakini chupi uache nyumbani.
watu wameshasambaa baada ya kuhutubiwa na mbunge...
wacha kutisha watu hata kama ikiwa ya ikulu inasaididia nini sisi kujua. Au ndiyo pc ya wassira?
ovyo! Mtu anaeishi kwa kodi zetu ni rahisi kujitapa!!! Uwe nyani inatusaidia nini sisi!