Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

Nimeshawahi kumsikia kijana mmoja akilalamikia jinsi clouds wanavyoweka pesa mbele hasa kwenye kuipiga miziki ya wanamziki chipukizi.. Bila kumpa DJ mshiko mziki wako hauchezwi na hata ukiwakwepa lazima wataanza kukusema -vely kwenye vipindi vyao
 
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

afro
user_offline.gif

afro has no status.
Member

Last Activity: Today 02:03 AM
 
Kusaga anajua biashara za KITANZANIA zinavyofanyika. Ana mtandao mpana, wa uhakika karibu kila mahali ambapo anajua kuna maslahi. Vipindi vyote kwenye radio vina udhamini mzito na matangazo kibao. Anajua sana "KURUDI" kwa wanaompa kazi hizi. Staili hii ya biashara ndio Mzee Mengi amejaribu kuepukana nayo na anaelekea kufunga kila kitu. Wapo wengi wanaoumia kwa staili hii ya Kusaga lakini pia amewabadilishia maisha watu wengi sana. Wengi wamenunua vigari, wamejenga vijumba, wameanzisha vibiashara vidogo kutokana na "UBUNIFU" huu wa Kusaga.
Kama huo ndio ubunifu na namna tunavyofanya biashara katika nchi yetu, sishangai tumeitia unajisi nchi yetu katika kila sehemu.
 
Nilipata habari kijana mmoja tulisoma naye Secondary, siku hizi anaonekana akisali sana na Lowassa kanisani. Wataingia na kukaa viti vya mbele. Hao wote siku hizi wamefanikiwa sana kwa kupewa vimiradi vidogovidogo na wazee. Ubunifu wao wa kukaa karibu na mafisadi umewafikisha na wao mbali.

Yaani Ujanja ujanja tu Tanzania (maneno ya Mzee FMes).
Nafurahia USA, ukijifanya wewe kumonopoly kila kitu, wazee wa Taifa wanaingia na kukushughulikia. Niliona Billy Gates akilia baada ya kubanwa na wazee kisawasawa. Aliulizwa "unasema wewe hukuagiza kuuwa mashirika ya upinzani, hii barua nani aliandika..." Jamaa akaangalia na huku akitokwa machozi akajibu "...Computer".

Kuna siku hawa akina Kusaga nao watakuja kuwekwa chini na kujibu madhambi yao yote. Mwisho wao watakuja kujuta na kusaga meno na kujiuliza kwa nini hawakushtuka mapema na kuacha uharamia wao.

Anaweza aache kupiga miziki ya mtu, na kila kitu ila hii ya kuhakikisha unamzibia kila kitu mwenzio kwa sababu tu kakataa kuwa chini yako, this is too much. Tutaonana siku moja mahakamani.

Mwanakijiji alikuja na wazo la kuchangia Mafuriko. Akawasiliana na akina Makamba. Wazee wa MUJINI wavivu wa kufikiri wakaona hilo wazo zuri kujipandishia chat. Wakaiba mawazo na wakajifanya ni mawazo yao wenyewe. Wakakusanya misaada na kwenda mrundikia Pinda, utafikiri Pinda ndiyo anayeshughulikia misaada ya mafuriko. Lohhhhh!!!!

01.JPG

Genge la watu wasio WABUNIFU na Wavivu wa KUFIKIRI. Wezi wa mawazo ya wenzao.

I wish that could be today, now!!!

ubinafsi tu, its all about maslahi binafsi kwa gharama za watu wengine
afu shemeji umeniudhi na kuniongezea hasira kwa kutundika hii picha ya wavivu wa kufikiri na walafi wa mawazo na juhudi za wenzao!!
 
Nilipata habari kijana mmoja tulisoma naye Secondary, siku hizi anaonekana akisali sana na Lowassa kanisani. Wataingia na kukaa viti vya mbele. Hao wote siku hizi wamefanikiwa sana kwa kupewa vimiradi vidogovidogo na wazee. Ubunifu wao wa kukaa karibu na mafisadi umewafikisha na wao mbali.

Yaani Ujanja ujanja tu Tanzania (maneno ya Mzee FMes).
Nafurahia USA, ukijifanya wewe kumonopoly kila kitu, wazee wa Taifa wanaingia na kukushughulikia. Niliona Billy Gates akilia baada ya kubanwa na wazee kisawasawa. Aliulizwa "unasema wewe hukuagiza kuuwa mashirika ya upinzani, hii barua nani aliandika..." Jamaa akaangalia na huku akitokwa machozi akajibu "...Computer".

Kuna siku hawa akina Kusaga nao watakuja kuwekwa chini na kujibu madhambi yao yote. Mwisho wao watakuja kujuta na kusaga meno na kujiuliza kwa nini hawakushtuka mapema na kuacha uharamia wao.

Anaweza aache kupiga miziki ya mtu, na kila kitu ila hii ya kuhakikisha unamzibia kila kitu mwenzio kwa sababu tu kakataa kuwa chini yako, this is too much. Tutaonana siku moja mahakamani.

Mwanakijiji alikuja na wazo la kuchangia Mafuriko. Akawasiliana na akina Makamba. Wazee wa MUJINI wavivu wa kufikiri wakaona hilo wazo zuri kujipandishia chat. Wakaiba mawazo na wakajifanya ni mawazo yao wenyewe. Wakakusanya misaada na kwenda mrundikia Pinda, utafikiri Pinda ndiyo anayeshughulikia misaada ya mafuriko. Lohhhhh!!!!

01.JPG

Genge la watu wasio WABUNIFU na Wavivu wa KUFIKIRI. Wezi wa mawazo ya wenzao.

oops ndo yuko wapi hapi bwana Kusaga zaidi namuona Ruge na Pinda
 
FL1, unauliza PUA iko wapi wakati unauona Mdomo?

Kama unamuona Ruge basi kumbuka pembeni yake yuko DON Kusaga.

Bibie Makamba wa kwanza kushoto. Na huyo mtashi ni boss sijui wa Vodacom?

Halafu watu wanasema Wazungu wana akili sana. Mbona hili lilimshinda kuligundua? Hebu tuacheni Vi-complex.

hahaha Sikonge umenichekesha sana mie nimetizama picha .nikawa nahisi kama ndie sio ..ndo Fisadi mwingine kwenye mambo ya starehe nchi hii ina mengi sana ..yaliyofichika ..Afro asante kwa kutufumbua macho !
 
Leo nimeamua kuidadicate post yangu ya kwanza kwa wanaentertainment wote wa Tanzania ambao wengi wao ndoto zao zinaishia hewani kutokana na ufisadi unaofanywa na The Don of entertainment Tanzania Mr. Joseph kussaga kama anavyopenda kujiita The Don aka Mullah.

Afro,
Pole kwa yaliyokukuta!
 
Nawewe pia usikurupuke na kumchagulia staili ya kujieleza, mpe nafasi mwache atueleze kwa staili yake, kama ni ya maswali na majibu
maswali na majibu tuko bungeni hapa?wewe ndio unakurupuka haya sasa mtoa mada haonekani na mada yake hajaimalizia utamuuliza hilo swali nani akujibu?kama yeye aliamua kumwaga maovu ya kussaga na watu wake aweke madai yoote hapa jamvini watu wayajadili kwa uwazi hata yeye akipotea mada itaendelea kujadiliwa mpaka kifo cha JF.
 
Mwanakijiji alikuja na wazo la kuchangia Mafuriko. Akawasiliana na akina Makamba. Wazee wa MUJINI wavivu wa kufikiri wakaona hilo wazo zuri kujipandishia chat. Wakaiba mawazo na wakajifanya ni mawazo yao wenyewe. Wakakusanya misaada na kwenda mrundikia Pinda, utafikiri Pinda ndiyo anayeshughulikia misaada ya mafuriko. Lohhhhh!!!!

01.JPG

Genge la watu wasio WABUNIFU na Wavivu wa KUFIKIRI. Wezi wa mawazo ya wenzao.

Sikonge...hebu tuyaweke mambo sawa kidogo. Ina maana hili wazo la kuchangia wahanga ni jipya kabisa na ni huyo uliyemtaja ndiye aliyekuja nalo na kabla yake hakuna mwingine aliyewahi kuja na wazo la kuwachangia wahanga wa majanga mbalimbali yakiwemo mafuriko? Manake nashindwa kuelewa inakuwaje hawa kina Kusaga & Co waibe hilo wazo wakati ni jambo ambalo ni universal ktk mazingira kama hayo ya majanga....nieleweshe babu.
 
Hivi sasa maisha yamekunja ngumi.

Mijadala mingi hapa kwa ujumla imetoa picha ya 'two schools of thought'...wanaounga mkono ufisadi na wanaoupinga.......

Faida ya ufisadi ni kuwa unakuwa na pesa na heshima, kwa mwonekano wa nje kwa kweli wewe ndio wewe. Ndani ya moyo wako unajisuta lakini makelele ya wapambe yanakupa support. Kwa wanaotazama pesa tu bila kutazama mambo mengine ya kimaadili wanakushangaa sana katika dunia hii iliyokunja ngumi unaposhangaa watu waki-make money. We wa ajabu sana!!!

Hasara ya ufisadi ni kuwa siku zote, mkate uliokuwa uliwe na kila mmoja katika nyumba, unaliwa na mtu mmoja na wengine wanakufa njaa. Halafu yule aliyekula peke yake na kuwaacha wengine wafe anasifiwa kwa kusaidia kuzika vyema waliokufa kwa njaa.

Wanaopinga ufisadi wamegawanyika makundi mawili, kuna wale wanaopinga toka moyoni, na hata damu zao tu zinapinga ufisadi. Anaweza akaamua kukaa kimya ili asiiponze familia yake isije ikaingia matatizoni kwa kushambuliwa na mafisadi lakini anajikuta kuna kitu kinamkereketa mpaka anaibuka tena na kuendelea kupinga......kwa hiyo hawezi kujizuia kupinga ufisadi.

Kundi la pili la wapinga ufisadi ni wale wenye huruma ya fisi. Fisi huyu anasikitika kumwona swala analiwa na simba. Lakini kumbe ni kwa sababu yeye kakosa.....sasa usilogwe ukampatia nafasi...bora simba anabakiza kichwa na mifupa......fisi anakula mpaka nyasi zilizolaliwa na mzoga, yaani ili ujue kuna swala kaliwa mpaka uitishe 'Forensic Investigation"......hakuna ushahidi wa wazi.

Na wengi wanaounga mkono ufisadi wala hata hawafaidiki na ufisadi wenyewe...upambe tu.....we unaanza kumtetea huyu 'don' wakati data zake chafu ziko waaaaaazi......ni nini?...hakuna lingine ni upambe tu...kujipendekeza tu kusikokuwa na maana. Unafikiri utasifiwa na PB, au unatafuta ajira????Au unadhani utalipwa? Hizo ndo njaa zenyewe sasa.......

Bado tuko pale pale.....schools of thoughts.....kwa wengine uchafu huo ni life ya kusifika.....kidumee....eenh!!! sishangai sana ninapomkumbuka nguruwe na maisha yake, au inzi na matamanio yake!!!Lakini binadamu na tabia ya nguruwe...!!!!!!!!!!au mbwa!!!!!!au inzi!!!!!!!!!!! sijui!!!!!!!!!!
 
Afan alek kufa hakuna breki, manake haya sasa sio ya Musa ni ya firauni. no matter what kuna ukweli ndani yake.

Ili kuthibitisha haya tuanze na kupima wenyewe mtoa hoja kamaliza yake, let now connect the dots. Bora nyimbo ya Jaydee ipigwe mara 6 kutwa kuliko kusikia mwimbo mmoja wa afande sele, mnahitaji ushahidi gani zaidi hata kama for good reason.
 
mimi nimesikia mengi.lakini kuna hili la ushirikina.kuwa clouds wanatumia mpaka ushirikina
kupambana na watu na kujipandisha chati,
ningefurahi kama kuna mtu anaeligahamu vizuri,atueleze........
 
la Tanesco mashaka, eti wanakata umeme mtaa mzima, kisha anakuwa amekodi Transfoma zote kubwa DAR. Hii kali!!
 
yes huyu jamaa kweli huwa ana sabotage any events au companies which are trying to do the same biz as hiz.
 
Afro najua kuna mengi sana ambayo unayo, sema umekosa tu nafasi ya kutupatia sasa nafikiri unaweza kuweka kama episode ili watu tufatilie, pole yaliyo kusibu lakini ninakupongeza kwa kujikwamua kwenye utumwa.
 
la Tanesco mashaka, eti wanakata umeme mtaa mzima, kisha anakuwa amekodi Transfoma zote kubwa DAR. Hii kali!!

naungana na wewe kwenye hii dukuduku

Kuna baadhi ya hoja labda ZINAWEZA kuwa na ukweli laikini hii ya kushikilia magenerator yote ya dar si kweli. Kusaga akawape Mpomabiva Investment, Micronix system, Car and General na wengine wote hela wasikodishe magenerator yao?!!!!!!! Nadhani kipengele hiki umelazimisha

Tamasha kubwa kabisa linatumia generator la Kv ngapi??

Ni vema ueleze kipengele kimoja lakini chenye ukweli na taarifa za kueleweka. kuliko kutaka kuandika insha ndefu yenye vipengele viwili vya ukweli na viwili vya uwongo.
 
yaani hakuna jipya kabisa kuhusu clouds.
labda la ushirikina ndo halijaandikwa vya kutosha,
 
Kama jamaa ndiyo mkodishaji mkubwa wao wa siku nyingi, anaweza kuwatishia. Na wao kwa kufahamu kuwa jamaa asipokuja kukodisha watakaa bila kipato, wanaweza kusalimu amri.

Mbona kuna jama kanunua vitabu vyote Mwanza hapo juzi na kuvichoma? Mafia wanaweza lolote lile. Hii nchi kila mtu ana matatizo yake na makosa yake. Kubanwa kwenye mlango na ukakosa pa kutokea ni rahisi sana.

naweza kukubali hizo hoja nyingine sio hoja ya kukodisha majenereta. kuna wahindi wenye makampunizi zaidi ya 20 dar wana business hiyo. Labda kama watu wake wa logistic walitaka wakakodi kampuni ile ile anayokodi kusaga sasa hapo itabidi tuhoji competency yake na watu wake wa logistic.

Kuhusu vitabu
Its easy kununua vitabu sababu msambazaji ni wa mkoa ni 1ja kama ilivyo kwa magazeti.
 
Back
Top Bottom